Kama unaogopa kumfata mwanamke kuongea naye, basi jiwekee haya ma 5 akilini ili kuondoa woga

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
661
Hili swali naulizwa sana,

“nawezaje kumfata mwanamke na kuongea naye?” mana naogopa.

Mara nyingi huwa ni uoga wa utaonekanaje ukimfata alafu akakukataa.

Wengine wakaniambia
…haina haja ya kumfata mwanamke usiye mjua kuongea naye. Utakutana na wengine mahali unapokua mara kwa mara. Alafu mzoeane taratibu.

Huwa nawauliza, utaweza kutana na mwanamke unayemtaka haswa kwenye mzunguko wako? Au huwa unakubali tu unachopata kishingo upande ili nawe uwe na mwanamke?

Pia hao katika mzunguko wako mnakua mmezoeana kirafiki tu. Na wote mliopo hapo ni kama mnamgombania. Ila akitoka akakutana na mtu mwingine asiyemjua wakaongea atajisikia tofauti na wale aliowazoea.

Yote hayo ni kutokana na uoga wa kumfata mwanamke kuongea naye.
Ila sio kwamba uko peke ako,
Hata mimi nilikua hivyo, na wengi ninaowasaidia walikua hivyo pia.

… ukweli ni kwamba, kila mtu ana wasi kiasi fulani.

Kinachotakiwa ni kupunguza tu wasi/ uoga. Wala usijiumize unawezaje kuondoa uoga, mana hakuna anayeweza kuondoa woga/ wasi.

Na kuchukua hatua.

Na sababu woga unaanzia akilini, basi unaweza ukaupunguza kwa kujiwekea na kujikumbusha haya mambo ma 5 kabla hujamfata mwanamke, wengi imewasaidia kupata nguvu ya kumfata na kuongea na mwanamke.
.
Chukulia/ jiaminishe kuwa anavutiwa na wewe.
Wengi huwa wanafikiria “aah hawezi nikubali”/ “hawezi vutiwa na mimi”.
Ukifikiria hivyo hautamfata. Sababu utakua umeshajishusha.
Na ukishajishusha ukitaka kujilazimisha woga ndo unaongezeka.

Badala yake, we jiwekee tu kwamba atavutiwa na wewe.
Jiwekee kwamba atafurahia ukimfata kumwambia mambo.

Pia utajishusha mzigo kwamba inabidi umshawishi sana avutiwe na wewe. Sababu unajua kwamba tayari amevutiwa na wewe.
.
Hauna cha kupoteza.
Jiulize unapoteza nini ukimfata kuongea naye?

Kiukweli hupotezi kitu, sababu kabla hujamfata ulikua kwenye 0 na baada ya kumfata ndo unaanza kupanda.

… ila akikataa kuongea na wewe, bado upo kwenye zero hiyo hiyo.
Naamini umepata picha.

Utagundua kuwa hata ukataliwaje haujapoteza kitu. Hakuna anayejali. Pia hautumia sana kama unavyodhani.

Itakufanya pia usifikirie kama ndo mke wako tayari.
Wakati wa kuendana na wewe anakusubiri umfate uongee naye.
.
Ushindi ni kumfata, sio namba
Jiwekee kwamba kitendo cha kujitoa na kumfata ndio ushindi wako.

Sio kwasababu umeweza kuongea naye bali ni kwasababu umeweza kuishinda hali ya woga/ wasi/ aibu.

Pia namba ya simu sio ushindi, anaweza kukupa hata ya mganga (japo hawafanyagi hivyo haha).
Lakini namaanisha namba isiwe kitu kikubwa kwako, ni kama tu nyongeza.

Ushindi wenyewe ni kuushinda uoga wako.

Ukiungua mdomo na kuanzisha mazungumzo umeshashinda.

Ndo mana nasisitiza usijione mshindi/ mwenye bahati kumpata mwanamke yoyote, bali jione mshindi ukiishinda ile hali ya woga/ wasi au aibu iliyo ndani.
.
Wanapenda kufatwa.
Jiwekee kwamba mwanamke anataka kufatwa kutongozwa.

Ila ukiamini kuwa hawapendi. Utaanza kujitafutia sababu kwanini usimfate, ndo utajikuta…

… “ah huyu inaonekana hana mpango”/ “huyu hawezi nikubali”/ “huyu itakua anafatwa sana” (ujue pia wanaume wengine wamefikiria hivyo na hawajamfata) au kama hizo.

Ilimradi tu uendelee kuamini kwamba hawapendi kufatwa na kutongozwa.

Ukweli ni kwamba wanawake wanapenda wafatwe na watu wenye heshima kwa heshima.
.
Kila mwanamke ana kasoro.
Hata kama ni mzuri kiasi gani.

Angalia kama utaona kasoro za juu juu na ujikumbushe hilo.

Labda pua haipo sawa/ hana nyusi au chochote ili mradi usimuone ni malaika wa kumtukuza kwa uzuri wake…
… umeelewa nachomaanisha.

Pia ukiongea naye jiwekee kwamba “sawa, ni mzuri, lakini je anafurahisha? Ana kauli nzuri?” na umjue kiundani kuliko kumjaji kwa muonekano.

Pia ni muhimu kujua kwamba sio kwamba sababu umemuona mwanamke na ukampenda basi naye akukubali.

Mwingine anaweza kuwa na mume au hana mpango wa mahusiano.
Kwaiyo usiumie ukikataliwa.

Nikutakie Siku Njema Yenye Baraka.

Share Na Wengine Wapate Kujifunza.
 
FB_IMG_1684424747306.jpg
 
Sawa chief leomba kuanzia na dem wa marioo,🤣🤣
 
Nanukuu

"Mwingine anaweza kuwa na mume au hana mpango wa mahusiano.
(Kwaiyo usiumie ukikataliwa)."

Ugonjwa wa vijana wengi upo hapo kwenye mabano ndugu yangu, na ndiyo unapelekea vijana kuwa waoga kufata mwanamke..

Kijana wa kiume jifunze kukubali ukikataliwa na pia uambie moyo wako haijalishi hata atanikataa hovyo mbele za watu mimi nakubali tuu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hili swali naulizwa sana,

“nawezaje kumfata mwanamke na kuongea naye?” mana naogopa.

Mara nyingi huwa ni uoga wa utaonekanaje ukimfata alafu akakukataa.

Wengine wakaniambia
…haina haja ya kumfata mwanamke usiye mjua kuongea naye. Utakutana na wengine mahali unapokua mara kwa mara. Alafu mzoeane taratibu.

Huwa nawauliza, utaweza kutana na mwanamke unayemtaka haswa kwenye mzunguko wako? Au huwa unakubali tu unachopata kishingo upande ili nawe uwe na mwanamke?

Pia hao katika mzunguko wako mnakua mmezoeana kirafiki tu. Na wote mliopo hapo ni kama mnamgombania. Ila akitoka akakutana na mtu mwingine asiyemjua wakaongea atajisikia tofauti na wale aliowazoea.

Yote hayo ni kutokana na uoga wa kumfata mwanamke kuongea naye.
Ila sio kwamba uko peke ako,
Hata mimi nilikua hivyo, na wengi ninaowasaidia walikua hivyo pia.

… ukweli ni kwamba, kila mtu ana wasi kiasi fulani.

Kinachotakiwa ni kupunguza tu wasi/ uoga. Wala usijiumize unawezaje kuondoa uoga, mana hakuna anayeweza kuondoa woga/ wasi.

Na kuchukua hatua.

Na sababu woga unaanzia akilini, basi unaweza ukaupunguza kwa kujiwekea na kujikumbusha haya mambo ma 5 kabla hujamfata mwanamke, wengi imewasaidia kupata nguvu ya kumfata na kuongea na mwanamke.
.
Chukulia/ jiaminishe kuwa anavutiwa na wewe.
Wengi huwa wanafikiria “aah hawezi nikubali”/ “hawezi vutiwa na mimi”.
Ukifikiria hivyo hautamfata. Sababu utakua umeshajishusha.
Na ukishajishusha ukitaka kujilazimisha woga ndo unaongezeka.

Badala yake, we jiwekee tu kwamba atavutiwa na wewe.
Jiwekee kwamba atafurahia ukimfata kumwambia mambo.

Pia utajishusha mzigo kwamba inabidi umshawishi sana avutiwe na wewe. Sababu unajua kwamba tayari amevutiwa na wewe.
.
Hauna cha kupoteza.
Jiulize unapoteza nini ukimfata kuongea naye?

Kiukweli hupotezi kitu, sababu kabla hujamfata ulikua kwenye 0 na baada ya kumfata ndo unaanza kupanda.

… ila akikataa kuongea na wewe, bado upo kwenye zero hiyo hiyo.
Naamini umepata picha.

Utagundua kuwa hata ukataliwaje haujapoteza kitu. Hakuna anayejali. Pia hautumia sana kama unavyodhani.

Itakufanya pia usifikirie kama ndo mke wako tayari.
Wakati wa kuendana na wewe anakusubiri umfate uongee naye.
.
Ushindi ni kumfata, sio namba
Jiwekee kwamba kitendo cha kujitoa na kumfata ndio ushindi wako.

Sio kwasababu umeweza kuongea naye bali ni kwasababu umeweza kuishinda hali ya woga/ wasi/ aibu.

Pia namba ya simu sio ushindi, anaweza kukupa hata ya mganga (japo hawafanyagi hivyo haha).
Lakini namaanisha namba isiwe kitu kikubwa kwako, ni kama tu nyongeza.

Ushindi wenyewe ni kuushinda uoga wako.

Ukiungua mdomo na kuanzisha mazungumzo umeshashinda.

Ndo mana nasisitiza usijione mshindi/ mwenye bahati kumpata mwanamke yoyote, bali jione mshindi ukiishinda ile hali ya woga/ wasi au aibu iliyo ndani.
.
Wanapenda kufatwa.
Jiwekee kwamba mwanamke anataka kufatwa kutongozwa.

Ila ukiamini kuwa hawapendi. Utaanza kujitafutia sababu kwanini usimfate, ndo utajikuta…

… “ah huyu inaonekana hana mpango”/ “huyu hawezi nikubali”/ “huyu itakua anafatwa sana” (ujue pia wanaume wengine wamefikiria hivyo na hawajamfata) au kama hizo.

Ilimradi tu uendelee kuamini kwamba hawapendi kufatwa na kutongozwa.

Ukweli ni kwamba wanawake wanapenda wafatwe na watu wenye heshima kwa heshima.
.
Kila mwanamke ana kasoro.
Hata kama ni mzuri kiasi gani.

Angalia kama utaona kasoro za juu juu na ujikumbushe hilo.

Labda pua haipo sawa/ hana nyusi au chochote ili mradi usimuone ni malaika wa kumtukuza kwa uzuri wake…
… umeelewa nachomaanisha.

Pia ukiongea naye jiwekee kwamba “sawa, ni mzuri, lakini je anafurahisha? Ana kauli nzuri?” na umjue kiundani kuliko kumjaji kwa muonekano.

Pia ni muhimu kujua kwamba sio kwamba sababu umemuona mwanamke na ukampenda basi naye akukubali.

Mwingine anaweza kuwa na mume au hana mpango wa mahusiano.
Kwaiyo usiumie ukikataliwa.

Nikutakie Siku Njema Yenye Baraka.

Share Na Wengine Wapate Kujifunza.
unamfata mwenyeo alafu ukiombwa hela unakuja kulalamika na kulia lia hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom