kuondoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Jinsi ya kuondoa vumbi katika barabara zisizokuwa za lami

    Tuna wasomi wengi sana wa sayansi na uhandisi. Je hakuna namna ya kuchanganya udongo au changarawe na kitu fulani ili kuondoa kusagwa na magurudumu na kutoa vumbi ambalo linaathiri mazingira? Hapa msomi anaweza kupata PHD kwa kutupatia ufumbuzi wa tatizo hili.
  2. Lord Denning

    Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

    Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania --- Kamishna Jenerali wa Jeshi la...
  3. The Supreme Conqueror

    UN yatoa tamko sakata la Loliondo, yataka Tanzania kuondoa maafisa wa Polisi Ngorongoro

    Umoja wa mataifa (UN) umeitaka Tanzania kuondoa maafisa wake wa usalama Loliondo ili kukomesha ukiukwaji wa haki za binadamu na unyanyasaji unaodaiwa kufanyika katika eneo hilo ili kuruhusu waandishi wa habari, wanasheria, waangalizi wa haki za binadamu na asasi za kiraia kuingia Loliondo...
  4. B

    Dawa za ARV ziondolewe ili kuondoa janga la UKIMWI Duniani

    Habarini za usiku wapendwa Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine...
  5. Jidu La Mabambasi

    Hongera Rais Samia kwa kujitahidi kuondoa ukakasi wa uadui wa kisiasa nchini

    Makamba na Kinana wamerudishiwa heshima zao. Membe karudi CCM alikofukuzwa. Mashitaka ya Mbowe yakafutwa. Waliokuwa lupango kwa kesi za kubambikwa wameachiwa. Mikutano ya kisiasa imerudi upya. Polisi wameanza kuwaheshimu wananchi wa itikadi tofauti na chama tawala Tundu Lissu alionana na...
  6. M

    Msaada namna ya kuondoa lock katika line ya airtel

    Hello, naomba msaada namna ya kuondoa lock, nilizima simu nlikuwa naicharge ,then mtoto kaiwasha akaanza kubashiri wrong password ili acheze game. Now inanitaka ni input 8digits .Sina ata kumbukumbu wapi niliweks puk naomba za line. Naomba mwenye uelewa anisaifie please
  7. F

    Ukristo unapaswa utunge sheria ya mirathi ya kikristo kuondoa migogoro kama uislam ulivyo na sheria yao

    Naona ni wakati sasa wakristo tuamke na kuomba dini yetu itunge sheria yake ya mirathi. Tuache kutegemea sheria ya kiserikali kuamua mirathi ya kila mkristo. Tazama matajiri wa kiislam wakifariki mifarakano hakuna. Sababu ni Mara nyingi misiba ya waislamu huwa wanatumia sheria za mirathi za...
  8. Jemima Mrembo

    Natafuta kwa udi na uvumba dawa ya kuondoa vyakula tumboni ili kitambi kiishe haraka

    Nimechanganyikiwa kichizi, bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney. Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni. Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati.
  9. Part Asifiwe kilen Malila

    Zifahamu mbinu za kuondoa umasikini katika familia 👨‍👩‍👧‍👦

    Umasikini ni tatizo kubwa hususani ktk mataifa yanayoendelea kama Tanzania. Sababu za umasikini ni ujinga,maradhi , uzalishaji hafifu ktk shughuli za kiuchumi kama kilimo, viwanda na biashara. Vilevile umasikini husababishwa na mfumo mbovu wa elimu. Hoja zifuatazo zitaeleza kuhusu mbinu za...
  10. Magazetini

    Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  11. D

    Kamati ya ulinzi na usalama DSM naomba ipitishe huu utaratibu kwa dharula kuondoa panya road

    Juzi nilihoji humu juu ya sintofahamu kuhusu Sera ya ulinzi shirikishi! Nilisema ulinzi shirikishi mijini kinadhalia inawezekana lakini kivitendo haiwezekani! (Niliainisha sababu ikiwemo upigaji wa michango ya ulinzi na ukubwa wa maeneo) Panya road ni vikundi vinavyoratibiwa na watu kwa...
  12. mitale na midimu

    Fanya hivi kuondoa Nuksi/Mikosi kwa kutumia Biblia

    Nuksi ni neno la Kiarabu lenye maana ya machafuko, maharibiko, mivurugano katika maisha. Ni hali inayomfanya MTU kuwa na ugumu katika kutenda mambo yake. Hii unaweza kusababishwa na mambo kadhaa. 1: Ukosefu wa Maarifa sahihi. 2: Kulogwa,laana au majini. 3: Mitihani ya mwenyezi Mungu ili...
  13. K

    Mheshimiwa Samia,fanya hivi ili kuondoa utata ulionao kuliko kuendelea kumchafua Mtangulizi wako.

    Kila sehemu ambapo CAG kagusa inasemekana kuna upigaji wa pesa,na wafuasi wa genge lako wameenda mbali wanasema Mheshimiwa Magufuli ndiye kaiba hizo pesa. Sasa wewe ukiwa ndiye kiongozi mkuu wa nchi kwa sasa naamini unajua siri zote za hii nchi,unajua pia mahali viongozi wenzio walipoficha...
  14. Jidu La Mabambasi

    Serikali ya wenzetu Kenya kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yliyoundwa nchini Kenya.

    Katika hatua ambayo integemewa kukuza uchumi kwa kiwango kikubwa kupitia uwekezaji, serikali ya Kenya inatazamiwa kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yatakayoundwa nchini Kenya. Kwa sasa hivi Kenya tayari imetoa exemption ya import Duty ya 25% wa magari yanayoingizwa. Tahadhari kwa...
  15. kavulata

    Kuondoa na kurudisha sh. 100 kwenye bei ya mafuta nani awajibike?

    Rais Mama Samia alirejesha tozo ya Sh.100 iliyokuwa imetolewa kwenye mafuta ya petrol, dizeli na mafuta ya taa ni nani alikosea kuitoa na ni nani kati ya wafuatao ajitafakari kati ya Waziri wa nishati na waziri wa fedha na afanye hivyo lini ili iwe fundisho kwa wengine? Kama Ndugai...
  16. L

    China na Afrika zikishirikiana vizuri kwenye kilimo zinaweza kuondoa baa la njaa Afrika

    Pili Mwinyi Bara la Afrika, ambalo lina watu zaidi ya bilioni 1.3, hivi sasa linakabiliwa na mtihani mkubwa wa baa la njaa. Mbali na sababu nyingine nyingi zikiwemo ugaidi na vita vya wenyewe kwa wenyewe, baa la njaa pia linatokana na ukosefu wa mvua unaopelekea ukame na hatimaye kuwa na uhaba...
  17. Analogia Malenga

    Kenya: Kupanda kwa bei ya viazi na mafuta kwasababisha migahawa kuondoa chipsi kwenye menyu

    Bei ya mafuta ya kupikia na viazi mviringo imeonekana kuwa tatizo kwa baadhi ya maeneo ya Kenya kiasi cha wauza chakula, Chepchikoni Eateries kuondoa chipsi kati menu yao Mmiliki wa Chepchikoni amesema bei ya mafuta na viazi inasababisha apate hasara. Muuza chipsi mwingine anayetambuli kama...
  18. Crocodiletooth

    Msaada wa wataalamu jinsi ya kuondoa hiki katika simu

    Msaada
  19. mwilawi

    Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows

    Salama wakuu. Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows. Asante nisaidieni. Nipo dodoma na mafundi wengi wananiambia ni lazima kupiga chini window then kuweka antivirus na kuscann
  20. L

    Je, juhudi za kuondoa plastiki isiyooza zitafanikiwa na kusafisha kabisa taka za plastiki duniani?

    Pili Mwinyi Mkutano wa tano wa Baraza la Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira (UNEA-5), uliomalizika katika makao makuu ya UNEP jijini Nairobi, umeshuhudia kupitishwa kwa agizo la kihistoria linalotaka kuanzishwa kwa mkataba wa kimataifa wa plastiki. Kwa mujibu wa agizo hilo, mkataba huo...
Back
Top Bottom