kuondoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuondoa lawama sasa kila mtu abaki na mali zake. Wadada mubaki na mali zenu na wakaka tubaki na mali zetu.

    Kila kukicha kundi moja linalaumu kundi jingine. Eeeehh mara hivi mara vile. Dawa ni kila mmoja abaki na kitu chake anachoona ni cha thamani. Mapenzi zama hizi hayana faida . Mambo ya kugeuzana ATM machine hapana. Ni biashara ya upande mmoja.
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania The problem of evil and jealousy solved. ( Suluhisho la kuondoa tatizo la wivu na husda duniani)

    Wakati akina mwenzangu na Mimi bado wapo gizani waki ji stress kutafuta hela za kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za English Mediums ili waje wapate ufaulu mzuri secondary ili wafike Chuo kikuu ili wakimaliza Chuo kikuu wawe marketable kwenye soko la ajira ( a very stupid mission), akina...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sinza kila nyumba ni kama JALALA. Walioshinda zabuni ya kuondoa taka/uchafu ni kama wameshindwa

    Wakazi wa Sinza tunawaomba uongozi wa juu kuchukua hatuola stahiki kwa uongozi ulipo sasa kuanzia ngazi ya Diwani kuja hadi serikali za mitaa kwakuwa wameshindwa kusimamia zoezi la uzoaji taka majumbani kwa ukamilifu. Tangu mwezi wa 11 mwishoni 2023 hadi leo kuna maeneo mfano Sinza c uchafu...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makandokando na kujenga mshikamano

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo, amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makando kando na kujenga mshikamano kuakikisha CCM inashika dola. MNEC Khamis Hamza Chilo alisema hayo kata ya Ilala katika mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya chama...
  5. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Israel kuondoa baadhi ya vikosi vyake ukanda wa Gaza ili kulinda Uchumi wake

    Habari ndo hiyo kwamba baadhi ya vikosi vya wanajeshi wa Taifa teule la Mungu, vitaanza kupunguzwa kutoka uwanja wa vita huko Gaza ili kulinda uchumi wa Taifa la Mungu...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSUNSHIDA HII Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa, nimejaribu aftershave nyingi tu lakini naona bado hazijanikubali. Kwa sasa hivi nilikuwa natumia...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

    Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Njia za kuondoa matangazo kwenye Android

    Habari wakuu! Kwenye simu yangu nilikuwa na shida ya matangazo kila sekunde 30 tangazo, kibaya zaidi nikiwasha tu data, matangazo yanaanza kujitokeza! Hii simu nilinunua kwa mtu nahisi aliuza kwasababu ya matangazo haya! Nilikuwa nimetafuta kila njia ya kuuondoa lakini imeshindikana, ilikuwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nina Imani kupitia thread yangu hapa JF, Waziri Ummy amesaidia kipande hiki cha barabara kusambaza (grading) malundo ya udongo

    The other day niliandika kuwa Mh Ummy Mwalimu atusaidie kipande cha kutoka Chalinze (Mwakidila) to at least Machui junction wakikwangue (grading) kwa sababu kilikuwa hakipitiki kabisa na ilikuwa shida kubwa sana. Jana naona wamekipiga grada (grading) na sasa kinapitika vizuri. Kama ni hivyo...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tungejipanga kwenye Majanga kama tulivyowekeza Polisi bila shaka tusingetumia mikono kuondoa tope Hanang

    Tukio hili la kusikitisha la Hanang linanikumbusha maporomoko kama haya yaliyotokea Uganda miaka kadhaa iliyopita , watu walizikwa na udongo , huku vifaa vya uokozi vikiwa Machepeo na Sululu , kiukweli baada ya jambo lile niliona aibu sana kuzaliwa Africa , na hasa Africa Mashariki , nilijiona...
  11. Uncle Livege

    JamiiForums Tanzania Msaada kuondoa kulipa simu ya mkopo

    nimechukua simu ya mkopo nmeshindwa kulipia nataka kuendelea kutumia msaada tafadhari
  12. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Waisraeli kuua watoto kule Gaza na kuondoa matibabu bure kwa watoto chini ya miaka 5 siyo kitu sawa

    Iko wapi huruma ya serikali kwa watoto kutoa matibabu bule kwa walio chini ya miaka mitano Mbona tunawalaani wazayuni kushambulia na kuuwa watoto wa Gaza na huku tukiona sawa kutokuweka na kuendeleza sera ya matibabu bule kwa watoto wetu walio chini ya miaka mitano? Panatofauti gani kati ya...
  13. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Mkuu wa Mkoa Rwegasira kuondoa makahaba Dar es Salaam

    MWALIMU NYERERE ALIMZUIA BALOZI JOSEPH RWEGASIRA KUWAONDOA MAKAHABA JIJINI DAR Tanzania imepitia simulizi nyingi zenye kusisismua lakini nyingi zikiwa hazisemwi sana kwenye vyombo vya habari na hivyo kupelekea vizazi vya sasa na vijavyo kutokujua mengi yaliyowahi kutokea na kuleta changamoto...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa Kitaalam (Kisayansi) na ule wa Kiutamaduni (Kienyeji) wa namna ya kuondoa nyuki

    Msaada unawezaje Kuondoa Nyuki kwa njia ya Kitaalam au ya Kienyeji walioko Nyumbani Kwako na wasio na Madhara? Nitaushukuru.
  15. Faana

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza au kuondoa kero ya upepo mkali wenye vumbi Dodoma?

    Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema...
  16. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Serikali Ina mkakati gani wa kuondoa foleni ya malori Tunduma

    Takribani malori elf 10 toka nchi mbalimbali uvuka kwa mwezi mpaka wa Tanzania na Zambia mji mdogo wa Tunduma,shida kuu ni foleni sababu ya miundombinu mibovu. Unakuta foleni ya malori inafika hadi kilometers 30 sawa na kutoka Posta Dar hadi mlandizi. Yakingojea kuvuka yakiwa na mizigo ikiwemo...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya operation ya kuondoa bawasiri

    Wakuu nahitaji kufanya hiyo operation husika napata maumivu ya hatari. Ni hospital gani yenye watu makini katika Hilo suala?
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa miezi 6 Mkurugenzi mpya wa TANESCO kuondoa kero ya kukatika Umeme

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaotaka kuanza mazoezi wajue kupunguza mwili na kuondoa kitambi/tumbo ni vitu viwili tofauti. Six packs ni kwa wito maalum.

    Wakuu kwa mara nyingine nipo hapa kwenye jukwaa la michezo kushea mawili matatu kuhusu mambo ya michezo na mazoezi. Kuna mwamko mkubwa sana wa wananchi kupenda michezo na kujihusisha na matukio yote ya kuweka mwili fit. Ni jambo la kujipongeza kwa kweli. Vikundi vya jogging vinazidi kuongezeka...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini matusi yasitungiwe sheria kuondoa hizi tafsiri binafsi za wanasiasa zinazoendelea?

    Kama kinachoendelea kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi nadhani ni wakati sasa nchi itunge sheria ya matusi ili polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria siyo maelekezo. Juzi Kingu kasema atawataja maawara wa Mbowe CHadema wakasema ni matusi; CHadema wamepigania bandari na issue ya...
Back
Top Bottom