kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: MSD haina mtaji wa kununua dawa na mtaji wa MSD ni bilioni 500, sawa na fedha ilionunua ndege moja

    Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Ni wajinga tu ndio wanaonunua ndege kwa cash

    Hii ni tweet inayoombatana na video huko twitter: Prof. Assad anasema "..You can't buy airline by cash, hakuna yeyote anayenunua ndege kwa cash...wapi umeona?..hakuna mtu ananunua ndege kwa cash. Watu wajinga sana ndio wanaweza kufanya jambo hili..."
  3. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Wabunge ishaurini Serikali, iendelee kununua ndege au isitishe

    Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa. Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla...
  4. I AM NO ONE

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kununua simu kikuu online tupe matokeo ya simu hizo

    Habari, Ebana nataka kujaribu kununua simu kikuu online. Naomba aliewahi kununua kwa njia hiyo anijuze ni nzuri au zinakuwa famba.
  5. yongpal

    JamiiForums Tanzania Gharama za kununua mashamba ya miti ya mbao

    Habari za mchana ndugu wana JF Nilikuwa napenda kuuliza kuhusiana na gharama za mashamba ya miti ya mbao kwa mikoa ya Iringa na Njomba hekari moja yenye miti yenye umri wa miaka mitatu mpaka minne kwa hivi sasa inaweza ikawa imefikia shilingi ngapi?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wabunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu. Spika amesema kwa mfano Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL imepata hasara ya bilioni 60 na kuuliza; je ni sahihi kuendelea kununua ndege...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wanne (4) mbaroni kwa kufurahia kifo cha Rais Magufuli kwa kupika supu na kununua lita 20 za Ulanzi

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia Watu wanne kwa tuhuma za kufurahia kifo cha hayati John Magufuli kwa kupika supu na kununua ndoo ya lita 20 ya pombe ya kienyeji ya Ulanzi. Pia soma > Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia...
  8. RRONDO

    JamiiForums Tanzania MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Baada ya kusikia watu wengi 'wakiumizwa' na 'kupigwa' wakiwa kwenye harakati za kutafuta usafiri uliotumika nchini, nimeona sio mbaya nikitoa ushauri ni jinsi gani unaweza kuepuka majanga kwenye zoezi hilo. Naandika kama mnunuzi au muuzaji wa aina hio ya magari, kwahio siegemei upande wowote na...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Naomba Maelekezo namna ya kununua kontena tupu

    Habarini wadau, Ninahitaji kununua kontena la futi 20 hivi karibuni.ila sijui namna bora ya manunuzi ili niwe salama.maana nasikia kontena huwa linakuwa na Document na sijawahi kuiona hiyo Document.Naomba kujuzwa namna bora ya manunuzi ili nisijepigwa ndugu zanguni. Nawasilisha.
  10. w0rM

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mkono wa Serikali katika kuongeza bei ya vifurushi? Serikali kuja na mfumo wa kudhibiti simu za WhatsApp

    Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu. Serikali na Taasisi zake zilisubiriwa sana kuja kuzungumzia suala hilo, badala yake TCRA ikaja na chapisho la kuonesha...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki ya dunia yaipa Ghana fedha zaidi ili kununua chanjo za covid19

    Rais wa Benki ya Dunia(WB) David Malpass amesema wamefurahishwa na namna Ghana inavyojizatiti kutoa dozi za chanjo kwa wananchi wake WB ipo katika hatua za mwisho kuipa Ghana dola Milioni 100 sawa na takriban Tsh. Bilioni 232 ili kununua dozi zaidi za kuwatibu wananchi wake Awali WB ilijiatiti...
  12. Debby the FEMINIST

    JamiiForums Tanzania Lindi: Watumia mafuta ya Mil 7 kwa siku 4 na kununua pikipiki 2 kwa mil 11

    Mkuu wa wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi Hashim Komba ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU wilayani humo kufanya uchunguzi wa matumizi mabaya ya fedha kiasi cha shilingi milioni 18 zilizotumika kwenye mradi wa Usafi na Mazingira (WASH) wilayani humo ambapo ni Ununuzi wa...
  13. Bexb

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Howo tipa used

    Habari wadau, Nahitaji Howo tipa 6×4 Yaani yenye tairi 10. Iwe nzima, safi na tayari kwa matumizi. Iwepo Dar ili kurahisisha ukaguzi. Offer yetu haizidi 60M. Kama unayo tafadhali nitumie picha zake whatsapp pekee 0755963775. Ikiwa namba D itapendeza zaidi. KIMOMWEMOTORS
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KCB kununua mabenki zaidi Tanzania na Rwanda, wamewasilisha wanasubiri kuruhusiwa

    Ndio mwendo huo huo. KCB Group has made a formal application to the regional competition watchdog to be cleared for the Sh4.4 billion ($40 million) deal in which it is seeking to acquire two banks in Tanzania and Rwanda. Comesa Competition Commission said in a notice dated last week Monday...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inatumia Tsh Billion 200 kununua dawa za “Mabeberu” kila mwaka?

    Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini Serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi ni copy generic ya dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Dawa za malaria, antibiotic, drip zote...
  16. Architect E.M

    JamiiForums Tanzania Ushauri - best economical 4wd car ya kununua

    Wadau, ninaomba ushauri wenu tafadhali. Nikiwa na bajet ya around a maximum of 17m, ninaweza kununua gari gani ya kutembelea ya kawaida tu ambayo priority ni 4wd maana sehemu ninayoishi kuna changamoto ya matope makali kipindi cha mvua? Lakini gari hiyo pia iwe easy to maintain, isinipasue...
  17. dubu

    JamiiForums Tanzania Dar: NIMR Mabibo, kuna msururu wa watu wamejaa kununua dawa ya Corona (NIMRCAF)

    Wakuu Salaam, Kutokana na Wimbi la Pili la Corona, Wananchi Wameanza kuchukua Tahadhari wenyewe kwa hiari yao sababu wanajua kujali afya na jukumu la mtu mwenyewe kulingana na anavyojipenda. Hivyo wananchi wameanza kufanya kazoezi, Kuvaa Vitambaa vinavyofunika Pua na Mdomo ikiwemo kufuata...
  18. ze future

    JamiiForums Tanzania Umeshindwa Hata Kununua Kiwanja?

    Wakuu, hii ngoma ya stamina ft prof jay ni ngoma ya kufikilisha sana yani, nakumbuka miaka 1990s mpk 2000s.
  19. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Je, huwa unafikiria kuhusu mifumo ya usalama kwenye gari kabla ya kununua gari?

    Kuna mambo mawili makubwa ambayo yanaamua upate madhara kiasi gani pindi unapopata ajali ya gari. 1. Speed Hili ndio watu wengi wanalifahamu. Kikawaida unapoendesha gari, uwezekano wa kupata majeraha makubwa au kifo huongezeka mara dufu unapovuka 70Km/h. Sitajikita sana katika kueleza hili...
  20. Mgiriki MTz

    JamiiForums Tanzania Ushauri nataka kununua PC, HP niko Dodoma

    Habari zenu wakuu, Naombeni ushauri nataka kununua PC mpya aina ya HP, Lakini sina utaalamu wowote juu ya PC ipi ni nzuri zaidi. Hivyo ningependa kujua yafuatayo:- ~PC ipi ya HP itanifaa kwa kusomea na kuchezea games ~Pia ipi ni nzuri kea kutunza charge ~Display iwe kuanzia 14inches Pia naomba...
Back
Top Bottom