Camera: Canon 5D Mark III
Lens: Canon EF 24-70mm f/2.8L
Camera Gimbal: DJI Ronin S
Laptop: MacBook Pro 15’inch 500GB
Hard Drive: 1TB Transcend
Camera mic: Rode VideoMic Pro
Headphone: Sony MDR7506
Kama unavyo, tuchekiane hapa
direct call: +255683018095 | WhatsApp: +255676095799
Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini mh Patrobas Katambi amesema biashara ya ukahaba imeshamiri wilayani kwake na wanunuzi wakuu wa Huduma hiyo ni wabunge na zaidi wa upinzani.
Katambi amesema kuanzia sasa hawatawakamata makahaba pekee bali pamoja na wateja wao. Amedai kuwa anazo namba za magari ya...
Waziri wa elimu nchini Madagascar amefukuzwa kazi kwa sababu ya mipango yake ya kuagiza peremende au pipi zenye thamani ya zaidi ya dola milioni 2 sawa na (£1.6m) kwa watoto wa shule.
Rijasoa Andriamanana amesema wanafunzi watapewa pipi tatu kila mmoja watakazokula baada ya kunywa dawa ya...
Baada ya kuskia matangazo ya smart kitochi, nikaenda zangu mliman city kushuhudia kitochi kikoje.nikaingia tigo kuzicheki zao then nikaingia voda, lakini nikagundua za Tigo ni bora zaidi ya voda, ingawa voda zinauzwa kwa bei ya chini na ofa zao ni nyingi ,yani wanakupa gb kibao dakika sms fb ya...
Wadau, kuna hawa jamaa wanajiita XCITE wanadai wako Mombasa Kenya, wanauza Iphone kwa bei rahisi sana. Sasa ishu ni kwamba unalipia nusu kwa mpesa, paypal etc then unamalizia pale utakapoletewa mzigo.
Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi nunua kwao na mzigo ukafika kweli wasijekuwa...
Wakuu mimi sio mtaalam sana wa magari ila hua naona kuna haya magari ya harrier 240 na Lexus rx 300 kama yanafanana kwa kila kitu.
Ila kwa kua hili jukwa lina wataalam wengi wa magari ningepemda kuelimishwa kuhusu ubora na tofauti zao na bei.
Ahsante.
Serikali haijashinda vita na wafanyabishara toka mzee Magufuli aingie ulingoni. Korosho alipigwa vibaya sana. Mpaka leo serikali inadaiwa.
Pambano la sukari nalo limefikia pabaya sana tuna viwanda vingi sana hapa ndani na bado sukari haitoshi kuagiza nje bado tatizo.
Sasa sukari haipatikani...
Katika kipindi hiki cha ugonjwa wa corona, ambapo wengi wetu tupo nyumbani, moja ya changamoto kubwa tunayokutana nayo kununua mahitaji ya kila siku ya nyumbani kama vile vyakula, mboga mboga na vinywaji. Kwa kulijua hili kampuni ya Selcom wametuletea application inayoitwa Dukadirect...
Hii shana nimeshindwa kuielewa,
Wizara inaanzisha utaratibu wa tuition kwa watoto kupitia runinga halafu badala ya huduma hiyo itolewe na Television ya Taifa wanaenda kugawa vipindi kwa Azam maanake nini?
Au mimi sielewi jamani? Nilitegemea kipindi hiki cha hili janga Television ya Taifa...
Habari za Kwako Mwana Jamii Mwenzangu!
Natumaini upo poa na unaendelea kujikinga na Corona iliyokuja kwa kasi 2020, Natumaini Mungu atatuvusha!
Wakati China wakiwa wamefunga milango yao na wamerudi makazini na shughuli zikiwa zinaendelea kama kawaida ( masks, sanitizers, kupimwa joto la mwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.