kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Gari nzuri ya kununua kwa Tsh 6,000,000

    Salaam wakuu, Naombeni ushauri ninune gari gani kwa milioni 6. Nahitaji gari yenye fuel efficiency nzuri, space ya kutosha hasa mbele (mimi mrefu) pamoja na upatatikanaji spare. Nitashukuru pia kama mtapendekeza kwa gharama hiyo napata namba ipi? NB: Hii ni ya kununua kwa mtu.
  2. Shomary47

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua na kuuza vitu used

    Leo naomba kupata maoni Juu ya biashara ya kununua na kuuza Vitu Used vya majumbani mfano Furnitures, Vyombo, TV, Vingamuzi, Fridges, vitanda, magodoro n.k... Kuna watu ambao wanahama mikoa, wanahamishwa kikazi na wale ambao Wanauza Vitu vyao Kwakua wanashida na pesa ya haraka. Watu hawa...
  3. Rion Jr

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kwenye kununua boda boda used

    Mimi ni kijana ambaye niko jiji Dar es Salaam katika harakati za kutafuta pesa nmefikiria kununua boda boda ili niweze kujiongezea kipato lakini kutokana na boda boda mpya kuwa gharama sana nmefikiria kununua boda boda used ambayo gharama yake inaweza anzia kwenye 800k had 1.2M Nilikuwa nauliza...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kutunza mazingira: Serikali ivilazimishe Viwanda vya Pombe kali kununua chupa zake zilizotumika

    Salam wakuu. Nimewaza sana kwanini viwanda vya pombe Kali (Distilled spirits) kama konyagi, kvant, vodka, dompo, wana design chupa nzuri sana tena zenye mionekano bomba. Lakini cha kushangaza chupa hizo baada ya matumizi hutelekezwa na kuwa kero kwa uchafuzi wa mazingira yetu. Sasa sijui...
  5. JipuKubwa

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kati ya kununua gari hapa Tanzania na kuagiza kutoka nje ni njia ipi bora?

    Wanabodi habari, Kwa heshima zote naomba kujua ipi ni njia nafuu ya kupata gari bora kati ya kununua hapa bongo au kuagiza nje ya nchi maana natarijia kununua gari hivi karibuni. Naomba ufafanuzi tafadhali.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kununua service fivver au upwork

    Nina mpango wa kuanzisha app and website ya online learning kutoa course mbalimbali. Nimetafuta developer hapa bongo kwa kweli bei zao zipo juu sana. Wenye uwezo mzuri wamenipa bei ya mpaka million 7. So nimeona nitafute alternative sababu nimesikia fivver na upwork unaweza pata developer...
  7. Mnyuke junior

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Spotify atoa ofa nyingine ya kuinunua Arsenal

    CEO na Mmiliki wa mtandao wa uuzaji wa nyimbo online (spotify) DANIEL EK anajiandaa kupeleka ofa nyingine ya kuinunua gunners ambayo inakadiriwa kufikia £2bn, ikumbukwe awali alipeleka ofa inayokadiriwa kufika £1.8bn kwa mmiliki wa washika mitutu hao wa london kroenke lakini ofa hiyo ilikataliwa...
  8. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Nilipotaka kuingia mkenge wa kununua bidhaa Ali -express

    Ishu ipo ivi katika pita pita zangu na kuchungulia ile app ya Ali express, ambayo ninayo kwenye simu hua naangalia kuna bidhaa gani mpya ambayo naweza nunua kwa matumuzi yangu binafsi? Bana nikakutana na bidhaa mpya ambayo ni flash drive ya ((2tb)), tala bite mbili ambazo sawa na gb elfu 2...
  9. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Moshi: Fedha zilizotengwa kununua Bastola ya Mkurugenzi kurejeshwa

    Meya wa manispaa ya Moshi Mh.Juma Raibu ameagiza uongozi wa manispaa hiyo kurejesha Fedha kiasi cha Tsh.3.2 milioni zilizotengwa kwaajili ya kununua Bastola ya Mkurugenzi wa manispaa. ======= Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya...
  10. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Meya wa Moshi aagiza Sh3.2 milioni za kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa

    Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya manispaa hiyo kwa ajili ya kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa. Raibu ametoa tamko hilo leo Ijumaa Mei 28, 2021 katika kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ofisi za mkuu wa Mkoa...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Safari za mabasi: Tuelimishane maandalizi muhimu kabla ya safari ndefu

    Toilet paper - Siwezi kujisafisha na yale maji ya vyoo vya kuchimbia dawa. Vidonge vya Fragyly (endapo tumbo likizingua) na panadol (kichwa kikiuma) Sinunuagi chakula njiani, huwa kinapkwa asubuhi nakiweka kwenye hotpot Maombi, haya ni muhimu kabla na baada ya safari. Kuchaji simu / power...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

    Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amewasimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA na Huduma za Biashara wa TANESCO, Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Nja. Ametaka watoe maelezo ya tatizo la mifumo ya LUKU, na kuagiza maelezo yao yasipojitosheleza waondolewe kazini. == Waziri...
  13. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi naweza kununua eneo la 30 msq?

    Yaani eneo liwe na upana wa mita tano na urefu wa mita sita. Inawezekana? Kuna limit ya ukubwa wa eneo analoweza miliki mtu?
  14. Manton

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua duka la kuuza na kununua lulu(akoya) kwa Dar es Salaam

    Salam kwenu, wakuu. Naomba kujua mahali ambapo naweza kuuza lulu aina ya "akoya" kwa Dar es salaam, duka lilipo, ili nipate kufika kufanya biashara. Naomba msaada wa anwani yao. Endapo kuna mtu anahitaji naye anaweza kununua.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Amnesty International wanajaribu kuishinikiza Tanzania kununua chanjo ya Covid-19

    Ukitembelea tovuti ya Amnesty International ukurasa wa Tanzania utakuta wamebandika andiko wakitaka kamati iliyoundwa ya corona itumike kuhakikisha kuwa Watanzania wanachanjwa chanjo ya corona. Kinachonishangaza ni kuwa mataifa ya nje yanaongeza sana shinikizo kwa mama kuhusu corona. Wanaingia...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Hasunga: Ushirika unalazimisha wasio wanachama kuuza mazao yao kupitia Vyama. Serikali ina mpango gani kuruhusu Wafanyabiashara kununua kwa wakulima?

    Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema kwa mujibu wa Sheria, Ushirika ni kwa Wanaushirika wenyewe lakini hali ilivyo sasa, Ushirika umekuwa ukiwalazisha watu wasio Wanachama kuuza mazao yao kupitia kwenye Vyama vya Ushirika. Akiwa Bungeni Dodoma, Hasunga ambaye amewahi kuwa Waziri wa Kilimo...
  17. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Je, unahitaji kiwanja au nyumba ya kununua jijini Mwanza?

    Hello, kama unahitaji huduma tajwa hapo juu.. kununua kiwanja/viwanja kununua nyumba karibu tukuhudumie ndani ya jiji la Mwanza (igoma, kisesa, nyegezi, n.k) Mawasiliano; 0744033555
  18. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Kununua LUKU kwenye simu kunakaribisha gharama?

    Nimenunua LUKU. Mbali na hela ya LUKU, mtandao wa simu nilioutumia umeripoti kukata malipo ya kuutumia mtandao wao kununulia LUKU. Zamani walikuwa hawaonyeshi makato hayo. Huo mtandao utakuwa umeamua kuwa wawazi zaidi.
  19. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua korosho Kanda ya Kusini (Lindi & Mtwara)

    Habari za majukumu wakuu! Nadhani humu kuna watu wanaojihusisha na hii biashara ya kununua korosho(Almaarufu "Kangomba") kule mikoa ya Lindi & Mtwara. Naomba kwa wale wazoefu basi watoe uzoefu wao kuhusu hii business. •Wakati sahihi wa kuanza kununua mzigo. •Maeneo(vijiji) haswa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Ndege za mkopo na ndege za kununua taslimu, ni zipi zenye kuongoza faida kibiashara? Serikali chukueni ushauri wa wasomi hapa!

    Mimi sio mtalaamu wa mambo ya biashara, Ila nachotaka niombe Kwa wachambuzi na wataalamu wa hizi biashara mtuambie na muisaidie Serikali katika hii aviation business. Kwa mjibu wa bwana Assad, yeye analaumu Sana manunuzi ya kununua ndege kwa cash. Tunaomba wataalamu wa mambo ya biashara hasa...
Back
Top Bottom