kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Akili zangu hazipo sawa

    JamiiForums Tanzania Tabia ya vodacom kichukua hela ya muda wa maongezi bila idhini ya mteja na kituma ujumbe "samahani umefanikiwa kununua tiketi lakini hukiweza kishinda

    Kama umewahi kukumbwa na kitu kama hiki karibu tushauriane nn tatizo la huu mtandao au ndo namna ya kujiongezea kipato chao
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hawa wateja wanaoukuja kila mara dukani na kutuhangaisha muda mrefu bila kununua kitu tunadili nao vipi?

    Hawa ni watu ambao yani kila baada ya siku kadhaa wanakuja dukani ila hawanunui chochote zaidi ya kukuhangaisha. - Wanataka bidhaa za juu, utapanda ngazi -Utaenda hadi duka lingine kutafuta bidhaa wanayohitaji -Utapukuta vumbi bidhaa wanayoulizia -Kama ni Tv basi utaitoa kwenye boksi wao...
  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta? Tulishindwa kununua mechi za Aston Villa kwa maana ligi kuu ya Uingereza inajuliakana kuwa ni aghali dunia nzima...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi TANESCO hawawezi kuunda app ya kununua umeme na kuingiza?

    Ununue na kuingiza kupitia simu, hutu tududu twao twa kuingizia umeme huwa tunanikera sana. Inawezekana?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Tanzania unaweza kuwekeza kwa kununua GOLD COINS?

    Ndugu wananchi, nikiwa Tanzania nnaweza kuwekeza kwa kununua GOLD COINS? Kama zinapatikana, ni wapi?
  6. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa Temeke: Mkurugenzi alitumia ubabe kununua gari la milioni zaidi ya 400

    Kauli ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, kuzitaka Halmashauri zilizonunua mashangingi ya bei mbaya mkoani Mwanza, kujieleza, imeendelea kuungwa mkono. Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam, wameibua madai mazito wakidai sheria ya manunuzi ya umma haikuzingatiwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Habari wazawa ! Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata mimi nina mawazo mengi sana ya biashara ambayo sidhan kama nitaweza kuyatimiza yote , nimeona na mimi...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Kisa hiki ni somo kubwa sana la uadilifu hasa wakati huu wakurugenzi walipoamua kununua magari badala ya madawati

    Nkirwa world wide JSulmtSpdorunsnote r11r,e 2gnd016iiih · UTU NI ZAIDI YA FEDHA NA HESHIMA YA DUNIA... Mwaka 1993 mwezi March Mpiga picha maarufu wa Africa kusini (PhotoJournalist) Kevin Carter alitembelea Nchi ya Sudan kwa ajili ya kupiga picha za habari kuhusiana na baa la njaa...
  10. King Kong III

    JamiiForums Tanzania Kuna Tatizo la kununua Umeme wa LUKU kwa kutumia simu?

    Habari wadau, Kuna shida yeyote ya kununua umeme kwa Luku? Nimejaribu kununua umeme kwa halopesa naona inagoma,vipi ni mitandao yote au ni halopesa tu? KK, MINJINGU.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI wakatazeni wanao tuchangisha pesa za ujenzi wa shule ndege mnazo panga kununua zinatosha watosha

    Leo nimepigiwa simu eti kamati inaomba nichangie pesa za simenti au matofali ili wafanikishe kujenga vyumba vya madarasa, mimi kama mdau wanahitaji mchango wangu. Kama mwana JF hata mmoja haja hamasishwa au kufuatwa nyumbani basi subirini ni mkakati wanakuja. Kusema ukweli nimewapa lugha...
  12. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

    Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake. https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-amtumbua-mkurungenzi-wa-geita-kwa-kununua-gari-la-zaidi-ya-tsh-milioni-400.1818248/ Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
  13. David Mgeni

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu thread yangu ya kununua wazo la biashara

    Salaam wakuu naomba kutoa ufafanuzi kidogo kama watafutaji na wapambanaji wazo ndio kila kitu ukiwa na wazo ni rahisi kutengeneza pesa! Napokea ujumbe mwingi pm watu ambao wako serious tunajadiliana naomba watu mjue kuhusu kiwango ambacho ninacho kinafit kwa wazo dogo na hata kubwa half of one...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TACAIDS: Wafadhili wanaendelea kununua ARVs

    Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imekanusha taarifa iliyochapishwa na gazeti la Mwananchi iliyosema wafadhili wajitoa dawa za UKIMWI. TACAIDS imesema taarifa hiyo si ya kweli hakuna wafadhili waliojitoa, kwa kuwa hadi sasa mahusiano ya Tanzania na wafadhili yako vizuri. Wamesema...
  15. Yung_sammy

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye uzoefu na decoder ya canal +, nahitaji kununua

    Nahitag kununua decoder aina ya canal + mwenye uzoefu na hii decoder kuanzia kwnye installation mpka kwenye matumizi na ulipaji wa vifurishi tafadhari msaada.
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kuagiza Gari nje ya nchi vs Kununua Yard

    Ndugu wazalendo nawasihi kwa Upendo Mkuu Kama unataka Gari nzuri na kwa Bei nafuu ni Bora kuagiza kuliko kujilipua Yard ambako Gari zinakua zimetumika Sana Zanzibar Kisha zinavushwa Bara wanaondoa zile Plate number za kule na kupeleka carwash na kupulizia perfume ukijichanganya imekula kwako...
  17. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Anayejua biashara ya kununua simu used toka Kenya?

    Habari wadau. Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz. Asanteni.
  18. Mikopo Chefuchefu

    JamiiForums Tanzania Kununua gari yenye 2,000cc ni kupoteza hela!

    Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy. Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye...
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kununua magazeti siku hizi ni kupoteza pesa yako

    Mfumo wa chama kimoja utafanya maisha ya mtanzania kubadilika kabisa, kiuchumi, kijamii nk. Tukiongelea upande wa magazeti hamna kipya kwa kweli, habari ni zile zile na watu ni wale wale tutakaowasikia. Hiyo ni mbaya maana itapelekea watu kutonunua magazeti na mwisho wake waandishi kwenye...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CCM,Mrisho Gambo aanza kazi kwa kishindo kwa kununua nondo zenye thamani ya milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa sekondari

    Mrisho Gambo amekabidhi Nondo hizo zitakazotumika kujenga Sekondari ya Ghorofa maeneo ya Unga Limitedi Jijini Arusha Tuliahidi Tunatekeleza
Back
Top Bottom