kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JF Member

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa raia kununua/kufanya manunuzi umeshuka

    Ni wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno. Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara Tozo ni laana kali Sana. Wachumi fanyani kazi yenu la sivyo kila kitu itasimama. Hakuna tena kuzungusha hela ni kulipa Tozo tu. Wenye...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Ili upate umeme kwa mwezi Agosti, nunua wa zaidi ya Tsh. 2,000/-

    Shirika Umeme nchini (TANESCO) limesema Wanachi hawataweza kununua umeme wa chini ya Tsh. 2,000 kwa mwezi huu Limesema ni ili Wananchi waweze kulipa kodi ya majengo ya mwezi Julai (Tsh. 1,000) na Agosti (Tsh. 1,000) Shirika hilo limefafanua kuwa Tarehe 20 Agosti ni kuanza kwa makato lakni kodi...
  3. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Uganda: Watakaonunua chapati tano kukamatwa

    Ukistaajabu ya Musa utashanga ya mengi katika hali ya kushangaza polisi kwenye wilaya ya Moroto kaskazini mwa Uganda wametangaza kukamata mtu yoyote atakayekutwa akinunua chapati zaidi ya tano kwa mara moja. Chanzo cha kamata kamata hiyo ni kutokana wakazi wengi wa wilayani humo kutumika...
  4. MWEMZUNDU

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa wanaotaka kufanya biashara ya madini, kitabu kinapatikana

  5. L

    JamiiForums Tanzania Mngeta, Mlimba: Wananchi walioshindwa kununua mita za maji kutozwa 10,000 kwa mwezi kuanzia Julai, 2021

    Kumekuwa na ukandamizaji, unyanyasaji na upigaji mkubwa sana wa pesa katika kata za mchombe na Mngeta kupitia mradi wa maji Lukicha! Pesa ya mfadhili pamoja na 10m alotoa Mh. Lwakate -marehemu imetumika kujenga katangi kadogo hata 5m hazifiki! Mbali ya upigaji huu mkubwa wa ujenzi wa tangi la...
  6. W

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Wamiliki Magari tukutane hapa kwa kununua spare zamagari original

    Nunua spare za Magari, tembelea kwa elimu ya spare zamagari kutoka nje jinsi yakuagiza namna yakusafiri nakuchagua spare,Agiza na; Macha Dubai used car spare parts MWANANYAMALA KOMA KOMA KARIBU NA CRDB BANK Kwamawasiliano calls&whatsApp +255742662669
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku? Hizi 'exaggerations' zitatuua

    Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana? Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu...
  8. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Suala la Serikali kununua Ndege na suala la Dewji kununua hisa za Simba yana ufanano wa maamuzi yanayofanyika bila tathmini ya kifedha

    Katika mambo yote yanayohusu matumizi ya fedha huwa kuna pande mbili. Upande wa mnunuzi wa pesa 'Buy side' upande wa muuzaji wa pesa 'Sell side'. Kwahiyo tayari hii ni transaction kamili kama vile ilivo mtu unavoenda dukani kununua mkate, mnunuzi unahitaji mkate ili ukanywe chai na muuzaji...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kununua Luku inasema mita namba haipo

    Luku tanesco vipi mmeanza zengwe Tena mbona nanunua umeme inakataa inasema mita namba haipo? Natumia tigo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu kununua vocha za TTCL ni kero; Unalipia Benki baada ya kupewa control number

    Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki. Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga. Hebu wajirekebishe.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kununua Kisaki heka 50 - 200

    Wadau wasalaam! Nataka kuanza kilimo kikubwa maeneo ya kisaki, morogoro. Natafuta shamba la kununua eka 50 mpaka 200. Naomba offer au ushauri kwa yoyote mwenye ufahamu wa eneo hili. Asanteni.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufahamu jinsi ya kununua hisa

    .
  13. Parody

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Serikali yatoa Tsh Bilioni 69.5 kununua magari ya wabunge wakati visa vya COVID-19 vikiongezeka

    Wananchi wa Uganda wameonesha kukasirishwa na hatua ya serikali ya nchi hiyo kutoa zaidi ya dola milioni 30 za Marekani (sawa na zaidi ya Tsh bilioni 69.5) fedha za kununua magari ya wabunge wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na kuinua uchumi wa nchi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua gari kwa mara ya kwanza kutoka Sbt japan. Msaada wa procedures.

    Habari za kazi wanandugu. Kazi iendelee ila irekebishwe kidogo maana tozo na ugaidi vimezidi. Twende kwenye mada. Mimi nina uzoefu kidogo kununua magari kutoka Beforward, kwa mara ya kwnza nilitumia wakala, ya pili nikazama mwenyewe mtandaoni nikachagua ninayotaka process zote za malipo hadi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo wa kununua Subwoofer

    Nina uhitaji wa Subwoofer kwa matumizi binafsi (nyumbani). Kama mnavyojua siku hivi kuna kampuni nyingi au aina kedekede za kichina zinazotengeneza hizo bidhaa. Hivyo naomba mwongozo kwa wataalamu na wazoefu. Je, ninunue/nichukue ya kampuni gani,- ambayo ni imara na ina muziki wa ukweli...
  16. VIRTUOUS

    JamiiForums Tanzania Nanunua chupa tupu za maji na juice. Kama unazo tuwasiliane

    .
  17. Maneno Meier

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

    Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler! Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaume tuache kutongoza, tuanze kununua wadada wanaojiuza barabarani

    Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje unanunua gari halafu unalifungia kibandani badala ya kulitumia?

    Kuna jamaa yangu amestaafu hivi karibuni. Kanunua Harrier, hajui kuendesha, kuendeshwa Mara moja kwa wiki akienda kanisani, kwenda sokoni kwa mguu! Hivi jamani ni salama kweli hapo?
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Pfizer kutengeneza faida ya Shs. Trillioni 70 mwaka huu wa 2021

    Taarifa hapo chini zinasema kwamba, kampuni ya kutengeneza chanjo za Corona, Pfizer, inatarajiwa kutengeneza faida ya shs.Trillion 70 kwa mwaka huu wa 2021 pekee, je, nawezaje nunua hisa walau 10 tu za kampuni hii? Ikumbukwe, hii ni bajeti halisi ya Tanzania kwa miaka zaidi ya miwili (2) ---...
Back
Top Bottom