Benki ya dunia yaipa Ghana fedha zaidi ili kununua chanjo za covid19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,851
2,000
Rais wa Benki ya Dunia(WB) David Malpass amesema wamefurahishwa na namna Ghana inavyojizatiti kutoa dozi za chanjo kwa wananchi wake

WB ipo katika hatua za mwisho kuipa Ghana dola Milioni 100 sawa na takriban Tsh. Bilioni 232 ili kununua dozi zaidi za kuwatibu wananchi wake

Awali WB ilijiatiti kutoa msaada wa dola Milioni 230 sawa na takriban Tsh. Bilioni 533.2 iliyohusisha msaada wa kifedha na kitaalamu

Ghana.jpg
 
zithromax

JF-Expert Member
Apr 26, 2016
2,172
2,000
Rais wa Benki ya Dunia(WB) David Malpass amesema wamefurahishwa na namna Ghana inavyojizatiti kutoa dozi za chanjo kwa wananchi wake

WB ipo katika hatua za mwisho kuipa Ghana dola Milioni 100 sawa na takriban Tsh. Bilioni 232 ili kununua dozi zaidi za kuwatibu wananchi wake

Awali WB ilijiatiti kutoa msaada wa dola Milioni 230 sawa na takriban Tsh. Bilioni 533.2 iliyohusisha msaada wa kifedha na kitaalamu

View attachment 1711576
Zinapitia tu kwa kimsingi hizo fedha zinarudi kwa zilikotoaka kwa mabeberu
Kama chango moja ni 400,000 unategema nini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom