kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Invigilator

    JamiiForums Tanzania Je, hii ndio siasa tunayopaswa kuwa nayo kama taifa? Magazeti haya hayaguswi

    Wakuu, kwa hali ya mambo ilivyo ni dhahiri kuwa kwa mtu yeyote mwenye kuona mbali, mwenye mapenzi ya dhati na nchi yake na pia mwenye kuheshimu utu na haki za raia wenzake, kamwe hawezi kufurahishwa na ujinga huu unaondelea hapa nchini unaoitwa siasa. Sote tunafahamu siasa inapofanyika kwa...
  2. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Msaada Muongozo wa namna ya kununua ardhi ambayo tayari ipo kwenye process ya kupimwa

    Wataalamu naomba msaada wenu, kuna Ardhi nataka kununua, muuzaji tayari alishalipia kwaajili ya upimaji na usajili lakini wapimaji bado hawajafika kwa ajili ya upimaji, je ni namna gani bora ya kuweza kununua kiwanja hiki ili kuepuka migogoro ya umiliki ambayo inaweza kuja kujitokeza baadae?
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ficheni nyaraka za kununua wapinzani, mgombea wangu hana breki

    Muda umewadi wa kumwaga kila kitu umefika. Hakuna baya halitasemwa, nyekundu itaitwa nyekundu na njao haitarembwa. Mgombea wangu hana breki yeye kumwaga kashfa kubwa hadharani kwake ni kama kusukutua tu. Niwakumbushe kuficha mbali sana nyaraka na miamala ya kununua wabunge na viongozi wa...
  4. Behind the camera

    JamiiForums Tanzania Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

    Wakati nimehamia sasa hapa mkoani Mbeya ilifika kipindi bwana nina ugwadu hatari, sina mke wala demu. Katika pita pita za hapa na pale nikasikia kuwa pale njiani majira ya usiku kunakuwa na danguro saaaafi kabisa. Siku hiyo nikatoka zangu mwenyewe mdogo mdogo nikaelekea Maeneo ya Mafiati kwenye...
  5. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kununua pesa za kigeni katika mabenki

    Naomba kujuzwa hatua za kufuata nikitaka kununua pesa za kigeni kwenye mabenki?
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kununua Radi huko Rukwa ni Tsh ngapi? Je, naweza fanyiwa Delivery?

    Huyu jamaa amekuwa akinifuatilia muda mrefu sana. Jumamosi kidogo nimchane na risasi pajani.but tukayamaliza. Leo nmekuta anaendelea kunipikia majungu. Ni muda mrefu nlimwambia majungu si mtaji.lakini naona kawekeza sana kwenye hayo. Jamaa ana roho ya kichawi kabisa.yaani hivi mnacheka naye...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Bw. Pompeo afanya ziara nchini Denmark bila kutaja suala la kununua eneo la Greenland

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo amefanya ziara nchini Denmark ikiwa ni mwaka mmoja baada ya ziara yake kuahirishwa baada ya kauli ya Rais Donald Trump kuwa Marekani inataka kununua eneo la Greenland kutoka kwa Denmark kuzusha mvutano wa kidiplomasia. Ziara hii inafanyika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania CCM kuweni makini na mtumie intelijensia yaliyotokea Jimbo la Sengerema

    Kuna mtia nia mmoja ni Darasa la Saba ,ana tamaa sana ya madaraka na hatosheki. Alikuwa CHADEMA baadaye akawasaliti na kurudi CCM ili agombee tena ubunge. Anautafuta ubunge muda mrefu sana na hata hatujui ajenda yake hasa ni ipi. Amewekeza pesa nyingi sababu yeye ni tajiri kwa kutoa vizawadi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania TSMC: Hatutapokea ombi lolote kutoka Huawei kununua processor zetu kuanzia September 14, 2020

    Kampuni ya kutengeneza processor za simu za kiwango cha juu ya Taiwani, Taiwanese Semiconductor Manufacturing Company au TSMC imesema haitapoea ombi lolote wa kuiuzia processor zake kampuni ya Huawei kuanzia September 14, 2020 ili kutokumbana na vikwazo vya Marekani. Marekani imezuia kampuni...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali iliamua kununua mabasi ya mwendokasi yenye injini za CUMMINS wakati si imara wala madhubuti?

    Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS. Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China. Injini za CUMMINS hazidumu kwa muda mrefu ndio maana huwezi kuliona Basi la Yutong lenye namba za usajili zinazo...
  11. senzoside

    JamiiForums Tanzania Ni simu gani nzuri nayoweza kununua kwa bajeti ya 150,000/=

    Poleni na mapambano ya kila siku, naomba mapendekezo ya simu nzuri ya smart ninayoweza kununua kwa budget ya 150,000/=
  12. Hawa Ibad Athuman

    JamiiForums Tanzania Kununua vijora Mombasa

    Habari. Naomba msaada wa kuelekezwa process za kufuata mzigo wa vijora Mombasa. Naomba kujua gharama zote za usafiri, chakula na malazi. Pia, kianzio mtaji uwe kama shilingi ngapi za kitanzania?
  13. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza na kununua biashara

    Leo nataka tujadili kidogo kuhusu biashara ya kuuza na kununua biashara.Sio bidhaa wala sio huduma bala ni biashara ndo inauzwa na kununuliwa. Kwa wengin wanaweza kufikiri kwamba hili ni jambo jipya lakini hili jambo lipo sana na katika mfumo mkubwa basi tunauza na kununu kitu kinaitwa HISA.Leo...
  14. Savimbi Jr

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza makato ya kununua umeme kimya kimya mpaka 2%

    Habari wadau wa JF, Serikali yetu inayojali wanyonge imeongeza Tozo hadi kufikia 2% ukinunua umeme kwa kutumia mitandao ya simu na bank. Tatizo sio kuongeza ila wamefanya kimya kimya bila kutoa taarifa kuhusu ongezeko hilo lisilo na kichwa wala miguu. Serikali nyingine kipindi hiki cha korona...
  15. 1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kununua Dodoma iwe ndani ya eneo la meta za mraba 1000 kwenda juu

    Waugwana habari za majukumu. Ninauhitaji wa nyumba kama nilivyoeleza hapo kwenye kichwa cha habari. Lakini kuna sifa ya ziada ambayo hiyo ndo itakuwa kivutio kwa Mimi kufanya manunuzi. Sifa hiyo ni nyumba hiyo wakati tunafanya biashara iwe inaendelea kuingiza pesa { iwe na mpangaji ama...
  16. roselina john

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo kwa wenye uzoefu wa kununua na kuuza mchele wa Jumla nataka nijiajiri mtoto wa kike

    Habari ndugu zangu, Ninawasalimu kwa jina lake bwana wetu Nimejaliwa kukusanya shilling 5M kutokana na nilivyokuwa najikusanya kwenye kimshahara changu kwa mwaka sasa, Naona maisha ya kuajiriwa siyo, Nikaamua niwaze kuanza uuzaji wa mchele kutoka mbeya au Ifakara, Nataka niende Jumamosi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zinazopelekea wanaume kununua dada poa?

    Heshima kwenu wadau Hivi ni sababu ipi kuu ambayo inasababisha wanaume kununua dada poa? Je, ni kukwepa mizinga ya mara kwa mara toka kwa mpenzi wa kudumu, kukata tamaa ya mahusiano ya kudumu au kuna sababu zingine zinazopelekea hali hiyo? Karibuni tuweze kupeana uzoefu
  18. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uwoya: Kununua Private Jet & Helikopta

    Celebrity katika Tasnia yupo mbioni kuagiza Private Jet (kwa matumizi binafsi) na Helikopta (kukodisha). Stay tuned wana-Tabora.
  19. Danfordkahwa

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye mahitaji ya nyumba za kupanga na kununua Mbezi

    Nyumba inapangishwa ina vyumba 2 ipo mbezi beach 350000. Call 0684709045 0629350247. Tunachaji view fees kwa ajili ya kuona nyumba ni shs 20000.kodi ya mwezi moja.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kununua ngono vs kumiliki mchepuko

    Habari ndugu zangu leo naomba nifahamu kulingana na hali ya hewa hasa uhaminifu katika ndoa umepungua siku hizi. Sasa kivi ni salama kiuchumi na kiafya kwa mwanaume kati ya kununua ngono yaani ukiwa na hamu unamtafuta mdada mkali unamlipa ambapo bei zao ni kati ya elfu 5 hadi 20 baada ya hapo...
Back
Top Bottom