kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Dokta Greyson: Kula huku unachezea simu hupunguza nguvu za kiume

    Dokta Greyson Babishomba akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio Times Fm, amesema kuwa tabia ya wanaume kula wakati wanachezea simu zao hupelekea tatizo la nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  2. SGR na Zimwi la Uhairishwaji kila Muda

    Zifuatazo ni Failed Mission ya Majaribio au Kuanza Kwa Kutumika SGR.. Kipi Kifanyike.. Februari 2019 - Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji alisema safari ya kwanza ya SGR itaanza Novemba, 2019. Januari 2021 - Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas...
  3. Watu wa Gaza waanza kula majani na kunywa maji machafu

    Tangu vita kuanza vyakula vimekuwa vikiingia eneo hilo kwa shida sana na ni asilimia chini ya 10 ya mahitaji ya kawaida. Pamoja na hivyo ujasiri na uvumilivu wa wapalestina umewafanya waendelee kusihi kwa kidogo wanachopata mpaka pale Israel ilipotia fitna ya kutaka hata hicho kidogo...
  4. Kula mke wa mtu ni sawa na kula malaya

    Kwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya. Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo usipokuwa makini atakuponza kwa tamaa zako. Kijana kwanini ufanye mapenzi na malaya ambae anayaweka...
  5. Simiyu: Marufuku kula Msibani, mnadani, mahindi ya barabarani

    Uongozi wa Mkoa wa Simiyu umepiga marufuku isiyokuwa na muda ya watu kula katika misiba, mnadani, magulio pamoja na wanafunzi kuuziwa vyakula mashuleni kutokana na ongezeko la watu waliobainika kupata magonjwa ya mlipuko ya kuharisha, tumbo na kutapika. Zuio hilo limewekwa jana na Mkuu wa Mkoa...
  6. Mwenye ushahidi Mbowe kula ruzuku ama kupewa rushwa auweke hapa!

    Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone. Sema kweli ama kaa Kimya!!
  7. M

    Krismasi na mwaka mpya ndio kipindi cha wake za watu kwenda kunyanduliwa na ma ex zao kwa kisingizio cha kula sikukuu

    Utasikia goma langu lililoolewa Dar, Mza au Dom limekuja kula sikukuu. Lilivyoniona tu likatabasamu na kug'ata kidole. Mara jamaa yangu nae kalipanga goma lake. Mara kuna goma langu nimeliinamisha fasta jana. Limekuja kula sikukuu ila limeolewa mjini. Ndo ilishabaki ishara ya heshima tu.
  8. Umeshawahi kula ngwara?

    Inasemekana Wakenya Wana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa sababu wanakula ngwara😀 Zitafute na wewe uanze kuzila kuanzia mwakani.
  9. Mfungo wangu wa siku 40 bila ya kula chochote umekamilika

    Habari ndugu zangu, Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote . Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
  10. M

    Dar: Washindwa kula nyama krisimasi bei imepanda Kg Sh 11000. Chalamila hajaliona hili?

    Nilikuja hapa kununua nyama leo sikukuu watoto wakale lakini nimekuta bei zimebadilika hadi elfu 11 kwa kilo, naomba serikali itusaidie udhibiti wa bei ambazo zinapanda mara kwa mara.”- Dickson Kitanda, Mkazi wa Mwananyamala
  11. K

    DOKEZO Agent wa Fedex Tanzania (Rangel Logistics) Achunguzwe kwa kuhujumu uchumi

    Nimeshutushwa sana na kampuni ambayo inawakilisha Fedex Tanzania. Ukituma mzigo wowote kwa Fedex hata barua tu utasumbuliwa sana. Hawa jamaa ukituma mzigo kwa Fedex mfano hata kama mzigo ni wa $50 watajaribu kukuwekea gharama za 500,000 na zaidi. 1. Wenyewe sio TRA kodi zote zinatakiwa ziwe za...
  12. Wafuatao wamehujumu Tanganyika? Warudishe mabilioni waliyolipwa! Dini inasemaje kula mali ya maskini na yatima

    Maamuzi ya Mahakama , kwa kifupi yanakubali hawa walifukuzwa na CHADEMA , kwamba sasa si wabunge ila wasikilizwe rufaa ya kupingwa kufukuzwa. Maskini wa Tanganyika aliyebebeshwa mzigo wa Tozo za Simu zinazopanda, aliyebebeshwa Mzigo wa nauli kupanda wakati mafuta yanaendelea kushuka kwa niaba...
  13. Wazo: Serekali yetu ya mkoa wa Dar, Posta mbele ya NBC bank panafaa kwa utalii wa kula pweza

    Asalaam aleykum, Hapo Posta panagadeni nzuri mno mno ambayo ikipangiliwa vizuri inaweza kugeuka sehemu nzuri ya kustaftahi, kula ngisi, urojo juice, soda na katu pombe zisiwepo kamwe!.... Itapendeza mno hasa baada ya ubunifu mahususi kufanyika.
  14. Leo naenda kula bata Mbezi - Kimara. Nisaidieni viwanja

    Leo nataka nikale bata mazingira ya Mbezi - Kimara. Sehemu nzuri classic yenye music na totoz wasafi wasafi sio machangu. Nile na kunywa na kutengeneza connection. Wenyeji nipeni suggestion ya places nzuri.
  15. Jitihada za magaidi wa Hamas kuhamasisha kutokula migahawa ya Mc Donald zaangukia pua, Waarabu wanaendelea kula bata

    Mcdonald ni mgahawa wa fast food mkubwa zaidi duniani Katika mashambulizi ya October 7 Israel ilipovamiwa na Hamas, Mcdonald walitoa vyakula bure kwa wahanga. Hali hii ilipelekea magaidi kuhamasisha kugomea kununua vyakula vya Mc Donald, Chuki hizo hazina nafasi kwa mamilioni ya waarabu...
  16. Ukianza kula Nyama ya mtu huwezi kuacha

    Kumekucha tena, siku hazigandi, waliyoyatenda yanaenedelea na yatakula hadi shoka. Kama shoka ikichomeka usidhani mpini utabaki salama, Time will tell. CCM msipotubu dhambi hii itaendelea kuwatafuna na kamwe hamtapata amani. Yajayo wala hayafurahishi.
  17. S

    Kuna umuhimu gani wa kusali kabla ya Kula?

    Naomba mnielezee kwa kina kuhusu hii kitu Umuhimu wake hasa ni upi maana sasa naona naendeshwa na imani nyingi sana mpaka nashindwa kuishi kwa amani Au kusali kabla ya kula kunaweza kukuepusha na chakula chenye sumu ya Panya? Au LIMBWATA?
  18. Kwa nini watu wananawa mikono kabla ya kula?

    Kwa wengine inawezekana ni mazoea tu. Lakini kwa upande wangu mimi, ni kwa sababu za kiusafi. Leo, nikiwa mji fulani, niliingia kwenye mghahawa mmoja ambao kwa mji huo, ni miongoni mwa mighahawa ya hadhi, kwa ajili ya mlo wa Mchana. Mwonekano wake, huduma, bei na wateja wake inaakisi...
  19. N

    Nifanye nini niongezeke uzito?

    Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani. Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…