Makundi ya CAFCL yatamalizika kama yalivyopangwa.... CAF ni kama wameshavujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,876
18,884
Screenshot_20231007-111618.png
Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF

Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua ama kwa kujua
 
Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua
Naitunza hii risiti
 
Kwamba huu ni upangaji wa marks kidarasani darasani, kwamba 3 na 4 ni underdog huko madarasani.
 
Ni Kama ina ukweli ndani yake
Ila Kuna watu watakuja na mawe mkuu
 
KUNA UWEZEKANO MKUBWA IKAWA HIVO .

ILA KUNDI “C” MAMBO YANAWEZA KUWA TOFAUTI.

Esperance de tunis awe wa mwisho kwenye kundi sidhani kama ni rahisi kihivo.
 
View attachment 2774222Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF

Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua ama kwa kujua
Hata rede inahitaji mashabiki.
Kwa Taarifa yako mwaka Jana Ahly walishika nafasi ya pili Mechi ya mwisho Kwa kuifunga Hilal wakati matarajio yao yakiwa yameyeyuka.
 
View attachment 2774222Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF

Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua ama kwa kujua
Kwahiyo unaamini kabisa kwenye Hilo kundi C Esperence Tunis atashika mkia?
 
View attachment 2774222Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF

Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua ama kwa kujua
mkuu jiandae kuoga matusi kutoka kwa akina KABWILI
 
Back
Top Bottom