kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chama cha soka Misri chavutana na Liverpool kuhusu afya ya Salah

    Suala la afya ya Mohamed Salah limesababisha mvutano baina ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) dhidi ya Klabu ya mchezaji huyo, Liverpool ambapo kila upande unavuta upande wake ukiona una haki ya kumtumia na kujua maendeleo ya majeraha yake. Liverpool imedai afya ya mchezaji haijakaa sawa tangu...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kwanini unaamini dini unayoiamini

    Swali la MSINGI; IN THE FIRST PLACE, KWANINI UNAAMINI KATIKA DINI UNAYOIAMINI? Kabla hujaendelea kusoma be honest with yourself na ujijibu🙏 Ok tuendelee. Kila mtu kwa mujibu wa imani yake amekua akijenga HOJA NZITO kueleza “UKWELI” na u HALALI wa Mungu wake huku akinukuu maandiko ya dini...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Ndege mbili zagongana angani, wawili wafariki Dunia

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi. Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo. ‘’Uchunguzi umeanza kupitia mashirika mbalimbali ukiongozwa na Idara ya Uchunguzi wa Ajali za Anga na...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ujue ukweli kuhusu kitita kipya cha huduma cha NHIF

    Kitita ni orodha ya huduma na bei zake ambazo NHIF huingia mkataba na Hospitali kuwahudumia wanachama wake. Hakuna ongezeko la gharama za michango ya wanachama. Hakuna kuchangia gharama za matibabu (top up) kwa huduma zinazolipiwa na NHIF Wanachama wanaotumia dawa za pressure na sukari sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Nina swali kuhusu Elimu ya Secondari ya miaka miwili, nisaidieni majibu

    Habari wakuu. Natumai hali zenu zote ni nzuri. Kwa wale wenye changamoto, Mungu awajalie. Nina swali kuhusu kusoma elimu ya sekondari kwa miaka miwili. Mfumo huu wa Elimu ya Secondary upo hivi yani katka mwaka Mmoja unasoma Madarasa mawili (form 1&2) and next year form 3&4 jumla miaka miwili...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi wazuka Yanga kuhusu Joseph Guédé Gnado na Miguel Gamondi

    Katika mechi za hivi karibuni, utendaji wa Joseph Guédé Gnado na Miguel GAMONDI katika Young Africans SC umewatia shaka mashabiki na wachambuzi pia. Licha ya kuwa wachezaji muhimu kwa timu, kuna shaka za rushwa zinazozunguka uteuzi wao kwa mechi kubwa, hususan kwa Guédé. Uwezo wa Guédé ni...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwa Wizara ya Elimu: Kuhusu cut point za kuingia chuoni kwa waliomaliza Form Six 1980s- 2014

    Hili suala la cut point za kuingia chuo kikuu zilipandishwa na waziri wa Elimu kipindi hicho (Ndalichako) kiliwaumiza wengi wengi sana hasa watumishi wa umma wenye kutaka kujiendeleza kielimu. Wiziri alipandisha kwenda cut point 4 Kila chuo badala ya cut point 2 hili suala liliwaumiza vijana...
  8. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

    Hivi ndivyo alivyoandika kwa ufupi Toa Maoni yako . "President Ali Hassan Mwinyi, who died on Thursday & was laid to rest yesterday was a kindly man. When I was gunned down in Sep. '17 & rushed to Nairobi for treatment, Mzee Mwinyi and Mama Sitti came to The Nairobi Hospital to wish me...
  9. JamiiForums Tanzania Ubabe wowote ule kuhusu suala la NHIF utazidisha mgogoro

    Uwekezaji wa Hospitali si uwekezaji wa kitoto , si uwekezaji wa bei rahisi na wala si uwekezaji wa kudra za Mungu , ni gharama kubwa mno , siyo sadaka za Waumini waliofanyiwa miujiza na Mungu , ni hela nyingi inatumika Mimi ni Mfanyabiashara na natambua umuhimu wa Afya za binadamu , lakini ni...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kuagwa kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Machi 1, 2024

    Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
  11. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: APHTA warudi mezani tujadili kuhusu kitita cha NHIF huku wagonjwa wakiendelea kutibiwa

  12. JamiiForums Tanzania Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania wanahitaji kujua ukweli kuhusu NHIF

    Ni vyema Serikali ije na ukweli kuhusu NHIF na siyo maneno tu Shirika limezidiwa, 1. Wanachama mpka sasa ni wangapi? 2. Michango ya NHIF inayokatwa Kwa waajiriawa na waajiri inapelekwa Kila mwezi bila kukosa? Hii ni Kwa Government/Private sectors. 3. Ni kiasi Gani Kwa Mwezi NHIF inakusanya...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali isipuuze tamko la APHFTA kusitisha matumizi ya bima ya NHIF kutibiwa hospitali binafsi. Yanazungumzika

    Tangu Mwenyekiti wa Vyama vya Watoa Huduma Binafsi za Afya nchini (APHFTA), Dk Egina Makwabe atangaze azimio la vituo vyote vya afya kutaendelea kutoa huduma kwa wagonjwa wapya wa bima ya NHIF kuanzia Machi 1, 2024, hakuna response yeyote kutoka upande wa serikali kuhusu tamko hilo. Je, tuamini...
  15. JamiiForums Tanzania Tamko la NHIF kuhusu mapitio ya Kitita cha Mafao cha NHIF

    https://www.youtube.com/watch?v=wuinOtEhEjk YAH: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPITIO YA KITITA CHA MAFAO CHA NHIF CHA MWAKA 2023 Ndugu wanahabari, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa niaba ya Kamati ya kupitia Kitita cha Mafao cha NHIF cha mwaka 2023, naomba nitoe taarifa...
  16. JamiiForums Tanzania Bonyeza hapa kwa majadiliano ya kina kuhusu madai ya kazi ya upwork

    Kwema hapo wakuu mimi ni mdau wa remote jobs hasa upwork. Niliona tangazo huko upwork nika apply jamaa kanijibu nikapata kazi. Jamaa alinipa link ya telegram ambo upwork hawaruhusu kufanya ivo cos upwork hawapati chochote kutoka kwangu (upwork wanakata 10% kwa kila kazi ninayo fanya). Kazi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watawala kuhusu matumizi yasiyo ya lazima sana

    Kila kukicha tunashauri tubane matumizi katika kila eneo, sasa mimi nikiwa mwanchi wa kawaida kabisa nashauri yafuatayo kwa Watawala kuhusu kupunguza matumizi makubwa ya Serikali. (1) Wananchi tumeshuhudia misafara mikubwa ya magari ya umma yakisindikiza misafara ya Viongozi Wakuu mfano Mhe...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Serikali kuhusu kumalizika kwa Mgawo wa Umeme kwa takriban miaka 13 kuanzia 2010 - 2024

    Baadhi ya ahadi za Serikali kuhusu kumalizika kwa Mgawo wa Umeme zilizotolewa kwa takriban miaka 13 kuanzia mwaka 2010 hadi mwaka 2024.
  19. JamiiForums Tanzania Kanuni za TFF kuhusu ushirikina viwanjani.

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Wakuu nina swali kwa mwenye ufahamu atusaidie wana jukwaa. Tff wanatumia vigezo gani kugundua kwamba kitendo flani kilichofanyika ni cha kishirikina na kutoa adhabu kwa mujibu wa kanuni zao? Mfano hii issue ya Simba Sc kuukataa uwanja wa Azam Complex sio imani...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Treni ya umeme

    Habari wakuu! Mimi kama mzalendo jana nimefuatilia majaribio ya treni ya kisasa kutoka Dar to Morogoro, nilichokibaini ni hiki kama kwenye uzinduzi ambao kulikuwa na viongozi ndani yake imetumia masaa mawili kufika Morogoro, tafsiri yake uwezekano wa kutumia masaa manne kwa mfumo wetu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…