Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo.
Je, kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri decades na centuries zinavyo ongezeka na earth's rotation or revolution pia inaongezeka?
Ma astrologists...
Ninadhani sasa ni muda muafaka wa kulijadili suali nililotaja kwenye 'heading' kwa kina, IKIWEZEKANA LIENDE BUNGENI!, maana naona kuna watu, kwa chuki zisizo na msingi, wameamua kulitumia suala hili kiuchochezi zaidi! HEBU WADAU WAJIULIZE TU KWANINI HAWAPEWI PLOTS KUJENGA 'NGORONGORO...
Habari wakuu,
Straight to the point. Kuna ka kibanda kangu kamoja nilikajenga nikiwa nafanya kazi bagamoyo manispaa, ni ka jumba Ka vyumba viwili (vyote self), sebule, jiko na public washroom. NI takribani kilomita 5 kutoka Bagamoyo centre.
Sasa baada ya kuhama mazingira hayo nikaona nitafute...
Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika yenye kuathiri mustakabali wa maisha ya watanganyika moja kwa moja.
Lissu ametoa hoja zake akijificha...
Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile.
Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa Rais wetu Samia Suluhu Hassan
Hata kwa Sheria za Tanzania, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano...
Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu.
Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano zinatatuliwa limekuwa ni suala la kuzidi kuipa Zanzibar mamlaka yake kama nchi kamili na kuiondoa kwenye...
Wabena ni kabila la watu wenye akili sana wanaopatikana tanzania mkoani njombe.
Idadi yao ni takribani milion 1 na kitu…..(makadirio) pia kabila hili linapatikana mikoa jirani kama morogoro ,Iringa ,Ruvuma.
LAKINI PIA AFRICA NCHINI ETHIOPIA
Kuna kabila linajiita Bena (Bannaa) wanaishi katika...
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024...
Kuna clip nimekutana nayo kwenye social media ikimuonyesha Waziri Simbachawene akieleza "Mkakati" wa Serikali kuja na "USAWAZISHO" ili wafanyakazi waweze kuishi na wenza wao. Hoja zake ni chache ila ni nzito Sana kama ifuatavyo:
- Moja, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kinyume na...
Hapa kuna ujumbe kwenu:
Alama ya pango la Plato
Katika pango, watu ambao wameishi maisha yao wakielekea nyuma kuelekea mwanga unaoingia kutoka nje, wanauona tu vivuli vya wanyama, watu, na vitu mbele yao.
Vivuli hivi ndivyo ukweli pekee kwa watu hawa ambao hawajawahi kuona sura zao halisi.Siku...
Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha kisukari kwa maana ya mtu asie na huu ugonjwa akitumia sukari nyingi ana uwezekano wa kupata kisukari...
Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kupitia ofisi ya Udhibiti wa uborq wa shule Manispaa ya Moshi ,imeagiza kusitishwa mara moja ujenzi wa bwalo la chakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kibo.
Hatua hii inakuja kufuatia malalamiko ya wazazi/walezi wa wanafunzi wa shule ya...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria ya watoa taarifa kulindwa, haimaanishi watu kujikite kutoa za uongo, huku wakidai walindwe.
Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo leo Aprili 28, 2024 alipotoa elimu kwa umma akijibu kilichoelezwa na Meya wa zamani wa...
Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego, yaani wenye umri mkubwa kidogo japo hata Vijana wachache walikuwemo.
Lakini ni tofauti kabisa na...
Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites.
Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi?
Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani?
Gharama za mafunzo zinaweza gharimu kiasi gani cha pesa na muda unaweza kuchukua...
Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
Habari wana JF. Kuna bidhaa nataka ninunue AMAZON ila bado sijaelewa kwa uzuri kuhusu import fees. Kama kuna mdau alishawai kuagiza bidhaa kutoka Amazoni naomba ufafanuzi zaidi.
Miezi kadhaa iliyopita kulitokea wimbi la Mataifa Tajiri kujitoa kufadhili Taasisi ya Kimataifa inayohusika na kuhudumia Wapalestina ya UNRWA. Taasisi hii ya UN iliundwa zaidi ya miaka 70 iliyopita kuhudumia Wakimbizi iliyopita kufuatia Majeshi ya Israel kuvamia vijiji vya Wapalestina ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.