Serikali ni taasisi ambayo inaundwa au wenye muunganiko wa watu wenye lengo/dhumuni la kutoa huduma kwa wananchi (wao),serikali kama taasisi hua inakawaida ya kujenga misingi imara ya kikanuni na sheria kwa minasaba ya kuhimili/kudhibiti tabia,hali/situational au maamuzi.
Teuzi ni mchakato wa...
Wakuu,
Hali ya mvua ndio kama tunavyoona, imekubali kwelikweli? Hali ikoje eneo lipo? Tupeane updates ya eneo uliko na kama unahitajika msaada wa haraka toa taarifa maepma kuepusha maafa zaidi.
✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI.
Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji...
Tunatafuta solutions juu ya hali inayo endelea RUFIJI.
Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi juu ya hali inayo endelea RUFIJI?
Tiririka mawazo yako yanaweza kuonekana.
Unaweza kusimama kama waziri, injinia, mkurugenzi wa TANESCO, meneja wa bonde la...
Katika taarifa ya pamoja na Pakistan nchi hizo mbili zilitoa taarifa ya pamoja baada ya mkutano kati ya Mrithi wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman Al Saud na Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif.
RIYADH:
Saudi Arabia inaonekana kuunga mkono msimamo wa India kuhusu Jammu na Kashmir katika...
Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa
Ndugu Madaktari wa JF na wadau wote wa afya naomba msaada wenu.
Mimi ni mama mjamzito mimba yangu ina wiki 35.
Katika umri huu nimepima utra sound mtoto ana uzito wa kilo 2. 71kg
Swali langu kitu gani naweza kufanya kwa muda huu mchache uliobaki kuongeza...
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanaamini kuwa, ziara ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa nchini Rwanda kwa ajili ya kuadhimisha miaka 30 ya Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watutsi, inaweza kuwa njia ya kukabiliana na uhusiano kati ya nchi hizo mbili na kutafuta suluhu la tatizo hilo alikuja...
Wenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza.....
https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1774137548605993180%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji.
Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na...
2022 tulipata kazi fulani nanyumbu Ilikuwa tunaifanya katika kambi za Jeshi ni special task kuwafanyia geo survey so tulipomaliza tu wenzangu wakarudi home mimi nikawa interest na stori za Msumbiji nikatamani kwenda. Kweli nikapata rafiki fulani anaitwa Kwimba ni mtu mzima kidogo ila chapombe...
Wakuu mimi sina mambo mengi sana hapa najaribu kufikiria, hivi Mh. Shabiby aliwaza kweli kuwa kuna watu ambao wao wanakatwa bima moja kwa moja kwenye mishahara yao?
Hawa wataondolewaje kwenye huo mfumo aliopendekeza sababu na wao ni wamiliki wa simu watakaokatwa bima mara mbili.
Labda...
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Dondoo Mbalimbali Muhimu kwa Kuhusu Betri ya Laptop..!!
1. Je unajua Kuwa Unaponunua Betri Mpya Yafaa Uichaji kwa Dk. 20 kabla ya kuanza kujaribisha? Maana Betri nyingi zinakuwa Hazina Chaji. Hii husaidia katika utunzaji wa Betri ya Laptop yako.
2. Je unajua Kuwa kupata Joto sana...
Mambo vipi watu wa Tech.
Kwa uchache niwaeleze kuhusu google Admob, ambayo kwa namna moja au nyingine inaweza kua fursa.
Kwanza kabisa google Admob ni child company ya google ,ambayo ina jihusisha na shughuli za matangazo(ADS) kwenye Apps
Kinacho fanywa na google Admob ni kushare mapato...
Yanga hajawah kutolewa na Afika isiumie.
Jana Yanga katolewa Robo kwa wizi wa wazi Afika nzima saiv inapiga kelele kua vijana wa jangwani walionewa.
Pembe zote za Afrika saiv wanaisemea Yanga.
Las season Yanga second Leg Ya Final ya CAFCC Alifanyiwa uhuni mbele ya Motsepe kule Algeria Afika...
Katika makuzi yangu nilipitia safari ambayo sikupendezwa nayo na leo ningeomba ni share pamoja na wengine wajue siyo vizuri pia kama nao wako hivyo.
Kipekee maisha yangu ya ukuaji nilikuwa bila mapenzi ya baba ilikuwa changamoto kubwa kwangu. Ingawa baba alikuwepo kimwili, hakuwa karibu nasi...
Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.