Kanuni za TFF kuhusu ushirikina viwanjani.

BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
7,693
17,257
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Wakuu nina swali kwa mwenye ufahamu atusaidie wana jukwaa.

Tff wanatumia vigezo gani kugundua kwamba kitendo flani kilichofanyika ni cha kishirikina na kutoa adhabu kwa mujibu wa kanuni zao?

Mfano hii issue ya Simba Sc kuukataa uwanja wa Azam Complex sio imani za kishirikina? Nini kinawafanya waukatae uwanja ambao unakidhi vigezo vyote ku host match ya level yoyote?

Mpaka wanalazimika kutaka kuvunja kanuni za Tff kutaka kucheza mechi zao za nyumbani visiwani Zanzibar wakati Azam complex ipo na wenye uwanja hawajawawekea vikwazo Simba kuutumia uwanja husika, tumeona pia wakilazamika kuingia gharama kubwa kupeleka mechi Ccm Kirumba hii yote kuukwepa Azam complex.

Nauliza kama sio imani za kishorikina ni nini kingine kinapelekea haya yote kufanyika, na je kwa mujibu wa kanuni za Tff kuhusu ushirikina hawapaswi kuiadhibu Simba badala ya kuendelea kuwachekea?

Nawasilisha.
 
Kwenda Chamazi kucheza au Kutumia Meja Isamuyo ni uchaguzi Wa Timu.....Sio hitaji la Lazima.

Matendo ya Kishirikina ni Kama ifuatavyo

-Kwenda Kuondoa taulo golini ambalo Mwenzio ni Kipa anafutia jasho Mikono Mpira usiteleze.

-Kufukia hirizi Golini
-etc
Ukifanya mojawapo ya hizo,utastahili adhabu
 
Sababu walizotoa wao Simba ni zipi ?!!!!

Nadhani wao kama wakiwa Home Team wana mandate ya kuweza kuchagua kiwanja ambacho wao wanaweza kudhani kinawafaa zaidi (iwe ni economical reasons au sehemu ambapo wanafeel at home / wana confidence zaidi ya kufanya vizuri)

Kuhusu Ushirikina sio TFF tu bali hata Taifa hatuamini mambo ya Uchawi
 
Hiyo sidhani kama unaweza kuhusianisha na ushirikina moja kwa moja kwa sababu hakuna viunganishi vya kishirikina(components)hii ni sawa na mtu anaesema siwezi kuishi Tandale hata iweje au siwezi kuishi Buza sasa hapo utamhusisha na ushirikina kivipi? Anaweza akawa na sababu zake binafsi
 
-Kwenda Kuondoa taulo golini ambalo Mwenzio ni Kipa anafutia jasho Mikono Mpira usiteleze.

nilipoona nilicheka kimasikharaa nkaacha angalia mpira nkaenda pata tu glass twa wine tili next day
 
images (2).jpeg
 
Kwenda Chamazi kucheza au Kutumia Meja Isamuyo ni uchaguzi Wa Timu.....Sio hitaji la Lazima.

Matendo ya Kishirikina ni Kama ifuatavyo

-Kwenda Kuondoa taulo golini ambalo Mwenzio ni Kipa anafutia jasho Mikono Mpira usiteleze.

-Kufukia hirizi Golini
-etc
Ukifanya mojawapo ya hizo,utastahili adhabu
Ungeongezea na kupita mlango usiotakiwa.
 
Kwenda Chamazi kucheza au Kutumia Meja Isamuyo ni uchaguzi Wa Timu.....Sio hitaji la Lazima.

Matendo ya Kishirikina ni Kama ifuatavyo

-Kwenda Kuondoa taulo golini ambalo Mwenzio ni Kipa anafutia jasho Mikono Mpira usiteleze.

-Kufukia hirizi Golini
-etc
Ukifanya mojawapo ya hizo,utastahili adhabu
Umesahau kuchoma pitch ya uwanja hadharani
 
Timu za Simba na Yanga huwezi kuzitenganisha na uchawi kamwe sababu ndio akili zao zilipo na hiyo TFF nayo mdau wa hayo mambo kwenye timu ya Taifa.
 
Hatuutaki uwanja wa chamazi kwasababu mnafuga majini yenu pale kwa ajili ya kuidhuru klabu ya simba na wachezaji wake. Siri hii imetolewa na mmoja wa kiongozi mwandamizi wa kamati ya ufundi ya klabu ya nyuma mwiko. Tuko radhi kwenda kuutumia uwanja wa meja jenerali isamuyo kuliko hiyo Azam complex
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Wakuu nina swali kwa mwenye ufahamu atusaidie wana jukwaa.

Tff wanatumia vigezo gani kugundua kwamba kitendo flani kilichofanyika ni cha kishirikina na kutoa adhabu kwa mujibu wa kanuni zao?

Mfano hii issue ya Simba Sc kuukataa uwanja wa Azam Complex sio imani za kishirikina? Nini kinawafanya waukatae uwanja ambao unakidhi vigezo vyote ku host match ya level yoyote?

Mpaka wanalazimika kutaka kuvunja kanuni za Tff kutaka kucheza mechi zao za nyumbani visiwani Zanzibar wakati Azam complex ipo na wenye uwanja hawajawawekea vikwazo Simba kuutumia uwanja husika, tumeona pia wakilazamika kuingia gharama kubwa kupeleka mechi Ccm Kirumba hii yote kuukwepa Azam complex.

Nauliza kama sio imani za kishorikina ni nini kingine kinapelekea haya yote kufanyika, na je kwa mujibu wa kanuni za Tff kuhusu ushirikina hawapaswi kuiadhibu Simba badala ya kuendelea kuwachekea?

Nawasilisha.
Kwani simba walikataa Azam complex kwasababu ya imani za kishirikina? Uliskia wapi?
 
Back
Top Bottom