kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria ana upeo mdogo kuhusu haki, aache kupotosha jamii

    JOYCE KIRIA ANAUPEO MDOGO KUHUSU HAKI, AACHE KUPOTOSHA JAMII. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Baada ya kuishiwa kifurushi nikajikuta nipo Channel 10, huko nilikutana na mwanamama aitwaye Joyce Kiria ambaye kwa mazungumzo yake ni dhahiri anapotosha jamii. Joyce Kiria elewa kuwa kwenye nchi...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mambo yako yakaenda vibaya sababu hujawahi kuwakumbuka ndugu zako marehemu?

    Naomba kuuliza hivi Mambo yako yanaweza yakaenda vibaya kila unachofanya kisifanikiwe kwa sababu hujawahi kuwakumbuka ndugu zako marehemu waliotangulia? Yaani kuwakumbuka kwa kufanya ibada? Je, kuna mahusiano?
  3. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna haja ya kumlaumu Rais Msataafu Jakaya kikwete Kuhusu ugombea Urais wa hayati Edward Lowassa na kupatikana Magufuli

    Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi? Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole? Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe. Lakini Inawezekana pia mfumo...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP

    Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema kutokana na jitihada za Serikali na wakandarasi, kwa mara ya kwanza jana Februari 15, 2024 yamefanyika majaribio ya kuwasha...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Makanisani 90% mahubiri ni kuhusu Sadaka Sadaka Sadaka!

    Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena. Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi...
  6. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Shairi: Swala la Umeme na Bunge wahenga wanasema "Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"

    Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"(Mmetupunguza Ubongo,Mnatuchuza Hadharani) Achutama zivukapo, mwerevu zake 'zo Nguo, Kuinama aketipo, soniye ndio chaguo, Tena hata aitwapo, huitika kwa rudio, Mmetupunguza Bongo, mwatuchuza Hadharani. Mwatuchuza Hadharani, mmetupunguza Bongo, Wengine...
  7. captain 21

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa?

    Mambo vipi wakuu? poleni na majukumu. Naomba kuuliza mwenye kufahamu, hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa? Maana kwenye siku za hivi karibuni nimejaribu sana kufungua account lakini system inagoma...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwa hii PA ya leo kuhusu maandamano, hamna mtu ambaye atasema hakusikia

    Baada ya maandamano ya Chadema Dar kushindwa kufana kama ilivyotakiwa, sababu kubwa ilisemwa ni taarifa kushindwa kuwafikia wananchi kwa wakati. Hili tatizo haliwezi kujitokeza tena Mwanza, maana magari yamezunguka Mwanza nzima kutoa taarifa. Kila baada ya saa moja kulikuwa na gari linapita...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Mpina kuhusu upasuaji wa kuongeza makalio yazua mjadala Bungeni

    MJADALA mkali umeibuka bungeni kuhusu upasuaji kurekebisha maumbile, ikiwamo kupunguza au kuongeza ukubwa wa makalio katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa (CCM), ndiye aliyeibua zogo bungeni jijini, alipotoa hoja kwamba MNH-Mloganzila imeanzisha huduma hiyo...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Mambo ya msingi kabisa ya kuyatambua kuhusu mgogoro wa wapiganaji wa M23 na Congo DRC na mapendekezo ya nini kifanyike

    Mengi bado yasemwa kuhusu mgogoro unoendelea huko Congo DRC na kwamba hawa wapiganaji wa M23 wafyekwe au wapotezwe mazima jambo ambao si rahisi kama wengi wanavyodhani. Serikali za Afrika hususan eneo la maziwa makuu zimefikia uamuzi wa kutuma majeshi yao Tanzania ikiwemo pamoja na Afrika...
  11. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Anaandika Baba Askofu Bagonza kuhusu Edward Lowassa

    Edward Ngoyai Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgao wa umeme wala usanii wa treni za umeme. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu mzito kama Lowassa, kuna makundi matatu hujitokeza; 1. Wanaolia 2. Wanaofurahia 3. Wasiojua kama walie au wafurahie. Makundi yote matatu tunayo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu Hayati Lowassa kuagwa kwa heshima za kijeshi

    Naomba kuelimishwa kuhusu heshima za kijeshi anazopewa Lowassa katika msiba wake
  13. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wazungu kuhusu maadili ya binadamu nani kawaloga?

    Rais wa Ufaransa mkewe ni kikongwe wa umri wa kumzaa yeye. Alikuwa mwalimu wake chuo kikuu. Huyo huyo Rais wa Ufaransa juzi hapa kamteua kijana shoga kuwa Waziri Mkuu wa nchi yake kisha huyo shoga kamteua mume wake yaani basha wake kuwa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo. Hivi ni vituko vya...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Video ya Paul Makonda akimnanga Mzee Edward Lowassa

    Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa. Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI tunatafakari ya sasa tukumbuke tulipotoka". ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  15. W

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunaanzisha Elimu kuhusu madhara ya Akili Mnemba (AI)

    Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia Eng. Kundo A. Mathew amesema Serikali inapanga kuanza kutoa Elimu kuhusu athari za Akili Unde (AI) kwa watumiaji wake pamoja na kuandaa Sera zinatakazosimamia Teknolojia hiyo.
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Masaburi Aibana Wizara ya Ardhi Kuhusu Kutumia Fedha za Kigeni Katika Malipo ya Upangishaji Nyumba

    MBUNGE JULIANA MASABURI AIBANA WIZARA YA ARDHI KUHUSU KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KATIKA MALIPO YA UPANGISHAJI NYUMBA Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum, ambaye swali lake namba 15 kwa niaba limeulizwa na Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo...
  17. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Kanisa Katoliki lagoma kuendesha Ibada ya misa ya mazishi ya Thadei Ole Mushi kwa sababu ALIPINGA WARAKA WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC) Uliopinga uuzwaji wa Bandari, uliotolewa tarehe 18 August 2023 na TEC. Thadei Ole Mushi alipinga hadharani waraka wa TEC, kupitia...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kingine cha zaidi kuhusu hayati Edward Ngoyai Lowassa

    Ningependa kuzungumzia Edward Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu mstaafu aliefariki dunia leo Februari 10, 2024. Nimekaa nikawaza naandika nini kuhusu Edward Lowassa ambacho umma wa Watanzania hawaujui? Naelezea nini kipya kuhusu kada mkubwa wa CCM ambae akageuka na kuwa tishio kubwa la kumaliza...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Enhe, na vipi kuhusu hii 'kufinyia kwa ndani'; iko toka zamani au imeanzishwa hivi karibuni katika kuhakikisha 'na ya kutolea' inatumwa?!!!

    Naomba nijue hili maana sasa ndo imekuwa habari ya mijini. Karibuni.....
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Mahojiano aliyofanyiwa Rais Putin

    https://twitter.com/TuckerCarlson/status/1755734526678925682?t=UwfeRAPB-CHAYR0o6V6Jig&s=19 -Putin anajua historia sana -Putin anaendesha ndege ya kiakili juu ya wanasiasa wote wa Amerika -Putin anaonekana kutaka ushirikiano lakini nchi za Magharibi zimeitenga Urusi -Putin hataki kuivamia Poland...
Back
Top Bottom