kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Waraka mfupi wa kuelimisha kuhusu sensa ya watu na makazi 2022

    Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne: 1: Dodoso la Jamii 2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi 3: Dodoso la Makundi Maalum 4: Dodoso la Majengo 1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Vipi kama Manara, Morisson wanasema ukweli kuhusu CEO Barbara

    Hili sakata la usajili lilivyokosewa kiuzembe kwenye namba 6 na 9 ukilichunguza kwa makini ni uzembe mkubwa sana wa bodi yote ya simba plus Mohamed dewji Sasa kinachotokea ni nini? PROPAGANDA MFU: *Vipers wanataka millions 400 mkataba wa miezi miwili *Mchezaji mwenyewe anatuchanganya tu...
  3. Mkemia Fred James

    JamiiForums Tanzania Fedha haiwezi kununua vitu hivi

    1. Muda. Pesa haiwezi kununua muda uliopoteza. 2. Uzoefu wa kihisia.(Furaha,huzuni,vifijo, nderemo,shangwe,hofu, ukumbusho) 3. Muunganiko wa kweli-Watu wanaokujali au kukukubali pasipo fidia ya chochote. 4. Afya. Unaweza kwenda kwa madaktari bingwa na wazuri lakini juhudi zako binafsi pekee...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni aagiza uchunguzi maiti zilizookotwa kwenye viroba

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Hamadi Masauni ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linafanya uchunguzi wa kina ili kubaini waliohusika na mauaji ya watu wawili na kuwatupa wakiwa kwenye viroba. Maiti hizo ziliokotwa Agosti 11, 2022 zikiwa kwenye viroba katika kata ya Tunguli...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yakiri kuhusu matukio ya hujuma ndani yake

    Kwamba ghala za silaha kuendelea kulipuka lipuka zenyewe ni matukio ya hujuma ndani kwa ndani. Russia has admitted that the detonation of ammunition at a military depot in the Dzhankoy region of Crimea was due to sabotage. Follow DW for the latest. The Russian Defense Ministry on Tuesday said...
  6. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Tweet hii ya Waziri Nape

    Natamani kujua ni kwanini Nape anatumia lugha za kigeni kutoa kuelezea suala la mtandao kwenye mlima kilimnjaro. Nini hasa kusudi lake?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kwa Marekani kuachana na fikra kongwe licha ya kutoa mkakati mpya kuhusu Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Antony Blinken alifanya ziara nchini Afrika Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC na Rwanda wiki iliyopita, ambapo alitangaza "mkakati mpya wa Marekani kuhusu Afrika Kusini mwa Sahara." Hata hivyo, mkakati huo hauna jipya na umeonyesha kuwa serikali...
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Madai ya Odinga kuhusu Ruto kuchakachua matokeo ni ya kijinga sana kwa sababu hizi

    Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo? Ni uongo kwa sababu hizi Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A yote yalisainiwa na mawakala wa kila upande kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa IEBC Kisha hizo fomu...
  9. Askarimtu

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi

    Habarini wataalamu Naomba kuuliza iwapo hii imewahi kutokea nchini au popote duniani. Je, matokeo ya SENSA YA WATU NA MAKAZI yaliwahi kutumika kubadilisha baadhi ya sheria nyeti kabisa za nchi husika?? Au mbali sana yakabadilisha kabisa KATIBA ya nchi? Ukiacha na mambo ya kuzuiliwa kuzaa...
  10. Lee Swagger

    JamiiForums Tanzania Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

    Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu. Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo. Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

    Huwa sipendi kabisa kuzungumzia Dini. Sababu mimi nimeshaitwa majina mengi sana. Ila huwa sijali mzee wangu ni Al Haj, Sheikh ila si Sheikh njaa. Anakazi na miradi yake mingi tu. Mimi huwa wanasema nina asili ya uasi. Yaani pamoja na kuzaliwa katika Dini bado nina ishi kama kafri/kafir. Sababu...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu tatizo la nyufa ukuta wa nyumba

    Wanajf ninaomba ushauri wa haraka wa nini kifanyike kwani kuta za kakibanda kangu kaliopo Katavi mahali ambapo matetemeko makubwa ya ardhi mithili ya mabomu yanapita Mara kwa Mara zimetoa nyufa nyingi!Nyufa zinaanzia chini na kuishia dirishani,zingine zimepitiliza!Nimeambatanisha na
  13. Be_fm47

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mshahara wa Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo

    Habari Team, Mwenye kujua ni kiasi gani afisa mikopo wa loan board analipwa kuanzia basic salary
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Waziri Ummy Mwalimu kuhusu NHIF

    Habari wana JF ,Binafsi huwa sipendi kutoa ushauri wa bure huwa naamini kile nlichosomea ili kizae matunda ni Lazima kiwe na thamani lakini kwa leo ntampa ushauri wa bure kuhusu mfuko wa Taifa NHIF .Mambo mengi haya unayajua ila naweka msisitizo . Kwa kifupi sipendi waziri uwe Chanzo cha...
  15. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Bado upo umuhimu wa mtoto wa Kiume kuelimishwa kuhusu hedhi ya mtoto wa Kike

    Nini maana ya hedhi, Hedhi ni kipindi au muda katika kila mwezi ambapo mwamke mwenye umri wa kuzaa hutokwa na damu kwenye uke ili kuanza mzunguko mwingine wa yai la uzazi. Kamusi ya kiswahili (karne ya 21 Toleo jipya) uk wa 147. Nakumbaka mwaka 2007 ni kiwa darasa la tano ndani ya darasa letu...
  16. TATACHACHA

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

    Naam, Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina. Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tupaze sauti kuhusu udhaifu wa mfumo wa E-Filling TRA

    Mfumo wa Effiling kwa sasa ndio unatumika kwa ajili ya walipa kodi kujaza na kutuma Return zao kwa kipindi cha tangu March mwaka huu mfumo huu umekuwa na shida kubwa, Ukiingia kwenye mfumo unakuwa loged out, kuna return unatuma zinakuwa rejected, unatuma return mara kibao ndio zikubali, mtandao...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gas asili kwenye gari

    Wasalaam Wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gesi kwenye gari cc 2000. Je, kuna changamoto yoyote ya ufanisi wa gari nitakayokutana nayo? Je, ni kweli kwamba mfumo huu unaokoa gharama? Ni wapi naweza pata huduma ya kufunga mfumo huu kwa gharama nafuu? Pia kwa yoyote mwenye...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Rais na Waziri wa Kilimo kuhusu chakula nchini mnapotosha Taifa

    Wandugu, Kuna lugha za kujirudiarudia kutoka kwa hawa viongozi wakisisitiza kwamba mkulima lima jiwekee cha kwako na familia yako chakula kingine nenda kauze nje mipaka ya nchi mipaka imefunguliwa. Najiuliza ina maana wananchi wengine kama Dar es Salaam wanaotegemea vyakula hivyo havitawafikia...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani yaonesha wasiwasi kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini Rwanda

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, ametoa wito kwa Rais Kagame kushughulikia Ulinzi wa Kisheria Nchini humo hasa usawa katika usikilizwaji wa Kesi akimrejelea Paul Rusesabagina, anayetumikia kifungo kwa tuhuma zinazodaiwa kuwa zenye msukumo wa kisiasa Paul Rusesabagina...
Back
Top Bottom