Yanga (Young Africans Sport Club), ni klabu moja wapo ya mpira wa Tanzania iliyoanzishwa 1935 ambapo makao makuu yakiwa Jangwani Kariakoo, Dar es Salaam. Ikiongonzwa na Rais Engineer Hersi Ally Said .Wakiwa mabingwa wa kihistoria mara ishirini na nane 28.
Simba (Simba Sports Club), ni klabu...
Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye huku baadhi yao wakionyesha nia ya kumpatia msaada wa kisheria.
Juzi, Afumwisye alipokea barua iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja...
Onyo hilo linatokana na utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI) iliyobaini kuwa takriban 50% ya sampuli za Maziwa zilizokusanywa kutoka kaunti za Nakuru, Laikipia na Nyandarua zilikuwa na uchafu.
Ripoti hiyo ilionesha kuwa kati ya sampuli 493 za Maziwa...
Imeelezwa kuwa Wananchi wengi hawana uhakika kuhusu matumizi ya mapato yatokanayo na tozo kwani 42% wanasema kuwa hawajui yanatumikaje ikilinganishwa na 38% ya wanaosema wanajua namna mapato hayo yanavyotumika.
Hii ni kwa mujibu wa Ripoti mpya ya Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA ambalo...
Chifu mangungo hakuwa mjinga, watanzania tulipotoshwa, tunapaswa kuiomba familia yake msamaha
Kwa miaka mingi sana chifu mangungo ameendelea kuonekana kama mfano wa kiongozi mjinga hasa pale linapotokea swala la mikataba. Lakini je Mangungo alikuwa mjinga kweli?
Chifu mangungo ni nani...
Kila ukihojiwa na Media Outlets mbalimbali kuhusu Ujio wa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki unaruka Kimanga na Kukanusha Ujio wake, ila katika Social Media Platforms zako kila mara unafanya Teasing ( Unatutamanisha ) kuwa anakuja au utamtangaza muda Wowote.
Ama ubaki na Kauli yako kuwa haji au...
Hivi majuzi Serikali ilipatiwa msaada wa vishkwambi kwaajili ya zoezi la sensa kutoka korea ambapo balozi wa Korea nchini Tanzania alivikabizi Kwa waziri mkuu na tayari vimeanza kufanyia kazi iliyokusudiwa swali langu ni je
1. Idara za Usalama wa Taifa nchini ilijiridhisha vizuri kupokea...
Wadau, hivi Serikali haikuona umuhimu wa kuunganisha masuala ya postal code na mifumo hii ya sensa?
Kama tayari anuani za makazi zipo kwenye system, huyu karani anayekuja kwenye makazi yetu alitakiwa kwanza akifika aingize ile anuani anayoikuta (kwenye milango yetu) au vibao vile walivyoweka...
Kuchukua pesa za watu bank si kitu cha kawaida. Hii nchi RAIA wake huwa tunatabia ya kuzoea mambo hata yasiyozoeleka. Huwa tunasema tunamwachia Mungu. Na, hata hili litapita.
Lakini ni bora hata tuambiwe zinaenda wapi? Kama tunalipa madeni tuambieni na kama zinaenda kwenye miradi tuambieni...
Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije kwenda kuwauzia watu simu Bomu nikaitwa tapeli, binafsi Mimi sizijui simu hizi.
Nisaidien mawazo kwa anaejua ,jaman sijachaguliwa first selection naulizia je nikirudia kuomba course nyingne tofaut na nilizoweka mwanzo lakn vyuo vilevile second selection nalipia Tena hela au
Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. Ni siku ya Sensa na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea.
Ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku hiyo...
Jamani kwa wale ambao mmewahi kuishi uchagani, watu wa huko wanafundishwa nini kuhusu pesa?
Watu karibia wote wanaotoka uchagani ni wafuatiliaji wazuri sana wa pesa.
Jamii zote zinapenda pesa, ila hii jamii ya watu wa kaskazini ni kama vile ina kitu cha ziada kwenye kupenda pesa.
Hii...
Habari wana jamvi,
Miaka kadhaa iliyopita nilinunua ardhi maeneo ya Kigamboni kupitia kampuni ya Ardhi Plan. Ofisi zao zilikuwa pale maeneo ya Shaurimoyo, Ilala ila kwa sasa hawapatikani/hawapo tena maeneo yale.
Nimejaribu kuwatafuta kupitia namba zao za simu ambazo zinapatikana kwenye...
Utangulizi na kauli kuhusu tatizo
Biashara ya samaki ni biashara inayokua kwa kasi sana hapa kwetu nchini Tanzania. Na hii ni kwa sababu ya uhitaji mkubwa sana wa samaki kama kitoweo chenye gharama nafuu na chanzo cha protini miongoni watu walio wengi, hasa wale wa hali ya chini na chanzo cha...
Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali
TAARIFA
Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
Mashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
Huko twita mtifuano unaoendelea ni kuhusu tozo...tozo za miamala ya simu ,na tozo katika taasisi za kifedha. Huku mtaani mnyukano uliopo ni kupanda Kwa gharama za maisha,na Hali mbaya ya chakura nchini. Kule Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.