chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,959
- 20,529
Watanzania tuwe makini ...
Uhuru wa maoni ni moja kati ya ajenda ambayo Chadema wanasema wanaipigania kupitia katika katiba mpya, Leo mchungaji msigwa katoa maoni yake kuisifia royal tour na mama Samia, Chadema wanamshambulia, hivi hawa hiyo katiba mpya wanayoitaka wanajua maana yake?
Hawa mwendazake aliwapiga pini uhuru wa maoni na wakamwita dikteta, Sasa mbona na wao ni JPM lakini kwa ngozi ya upinzani? Tukiwakabidhi nchi hawa si watafungia magazeti na redio zote?