Ujue ukweli kuhusu Nyumba za contemporary House (Hidden Roof)

Kuwite94

Member
Oct 10, 2016
16
117
leo nakupa ushauri kuhusu contemporary house

Contemporary house
Wengi wanadhani kuwa ni nyumba ya gharama nafuu lakini sio kama inavyofikiriwa unafuu wake upo kwenye kupaua tu

Endapo mtu atajenga contemporary house ataokoa gharama kwenye kupaua kwani huingia bati chache tofauti na nyumba ya kupaua na kama ulipanga kupaua kutumia bati aina ya kigae basi utaokoa gharama kubwa

Lakini watu wasichojua ni kuwa contemporary wasanifu wake wanaoweza kuijenga kwa ufasaha na kupaua ipasavyo ni wachache ivyo inakubidi uwe makini usitafute fundi mradi fundi ila tafuta fundi mwenye weledi

Kwani ukipata fundi asiyejulia ndo linatokea tatizo la kuvuja

Kingine nyumba hii inatakiwa nje utumie cement kali mno kupiga plasta kwakuwa ukuta unapigwa na jua na mvua straight pia utumie gundi kuskim na rangi yenye quality isiyovurugwa haraka na vitu tajwa apo juu

Ni nyumba ambayo inatakiwa iwe inafanyiwa marekebisho ya mara kwa mara yani mfano kila baada ya miaka miwili inatakiwa ubadilishe rangi na vitu vidogovidogo ambavyo huwa vinaathirika na jua na mvua kwa haraka

Hii nyumba sio nyumba ya rahisi kama inavyotafsiriwa inaweza ikawa na gharama kubwa kuliko ata iliyopauliwa kwa maana ya kimuundo na material husika

Ukiamua kujenga jenga kwakuwa unaipenda na usijenge kwa kukimbia gharama hutopata kile kinachostahili

Kwa mahitaji ya Ramani zilizopo tayari/ Kutengenezewa Ramani unayohitaji Tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp

FB_IMG_1651845222384.jpg
 
Hamna Kitu Hayo, Akheri hata upaue sinza style au jenga ma gebo mawili mbele na nyuma paua mfumo wa left and right slope.

Kuliko style hyo kwanz nyumba hazina hata mvuto basi tu. Hyo style inafaa kwa nyumba z ghorofa ambazo unakuta juu ni slabs. Na zina style yake pia
 
Absolutely right za ghorofa zina mvuto tofauti na kama ulivyosema zinajengwa sana kwa sasa lakini sioni umaridadi wake hata mie
 
leo nakupa ushauri kuhusu contemporary house

Contemporary house
Wengi wanadhani kuwa ni nyumba ya gharama nafuu lakini sio kama inavyofikiriwa unafuu wake upo kwenye kupaua tu

Endapo mtu atajenga contemporary house ataokoa gharama kwenye kupaua kwani huingia bati chache tofauti na nyumba ya kupaua na kama ulipanga kupaua kutumia bati aina ya kigae basi utaokoa gharama kubwa

Lakini watu wasichojua ni kuwa contemporary wasanifu wake wanaoweza kuijenga kwa ufasaha na kupaua ipasavyo ni wachache ivyo inakubidi uwe makini usitafute fundi mradi fundi ila tafuta fundi mwenye weledi

Kwani ukipata fundi asiyejulia ndo linatokea tatizo la kuvuja

Kingine nyumba hii inatakiwa nje utumie cement kali mno kupiga plasta kwakuwa ukuta unapigwa na jua na mvua straight pia utumie gundi kuskim na rangi yenye quality isiyovurugwa haraka na vitu tajwa apo juu

Ni nyumba ambayo inatakiwa iwe inafanyiwa marekebisho ya mara kwa mara yani mfano kila baada ya miaka miwili inatakiwa ubadilishe rangi na vitu vidogovidogo ambavyo huwa vinaathirika na jua na mvua kwa haraka

Hii nyumba sio nyumba ya rahisi kama inavyotafsiriwa inaweza ikawa na gharama kubwa kuliko ata iliyopauliwa kwa maana ya kimuundo na material husika

Ukiamua kujenga jenga kwakuwa unaipenda na usijenge kwa kukimbia gharama hutopata kile kinachostahili

Kwa mahitaji ya Ramani zilizopo tayari/ Kutengenezewa Ramani unayohitaji Tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp

View attachment 2214086
Imekaa
 
Nakubali!
 
Ni kweli nyumba yangu iko na 2 years ila ni kama gofu now
 
kama marekebisho makubwa ni rangi, kutokana na mvua na jua vip mtu akitumia pvc wallpaper kwenye ukuta wa nje?
 
Back
Top Bottom