Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia lia kuhusu hali ya maisha, nilidhani ni CHADEMA tu

bloggerboy

JF-Expert Member
Nov 13, 2017
568
1,211
Wanabodi,

Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu

Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama kimoja italeta maendeleo chap chap.

Wakateka watu, wakawaua, wakawapa kesi pia ili waonekane hawana sifa za kugombea na kuwa viongozi.

Mwendazake akawapitisha bila kupingwa wakataka pia kumuongezea muda wa kuongoza mpaka maisha.

Kaingia Mama, wakamsifia sana Ila leo kila mtu hasa CCM wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha kwa Sasa.

#Suluhu ya yote
#Tumehuru ya uchaguzi
#katiba mpya
 
Katiba mpya itarahisisha vipi Maisha ya mwananchi Mlalahoi?
Itasaidia kupatikana viongozi waadilifu ambao hawatamshauri Rais kuhusu kuigiza muvi ambazo hata vijana wetu wangeweza kuigiza na kumuongezea kipato,pia angesolve swala la Ajira kwa kiwango chake pia

Sio Hawa waliopo wanaotwambiwa, tuhamie burundi
 
Italeta viongozi waadilifu na wanaojali maisha ya mlalahoi.

Kama unakataa Katiba Mpya wewe ni ccm fisadi
Kama unabweka bweka Kama nyumbu maana yake wewe Ni msukule wa makengeza Mbowe.

Kenya hao hapo Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi imewasaidia nini???

Itasaidia kupatikana viongozi waadilifu ambao hawatamshauri Rais kuhusu kuigiza muvi ambazo hata vijana wetu wangeweza kuigiza na kumuongezea kipato,pia angesolve swala la Ajira kwa kiwango chake pia

Sio Hawa waliopo wanaotwambiwa, tuhamie burundi
Kenya baada ya kupata Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi wanaishi Kama peponi. Kuna watawala waadilifu kweli kweli.

Kwani mfumuko wa bei na Hali ngumu ya maisha,na CCM nao inawahusu? Nilifikili vitu kupanda bei na maisha ,wamepandishiwa wanachama wa Chadema,maana walisema , Chadema imewachelewesha sana kupata maendeleo
Hata Mimi nashangaa mfumko wa Bei na hali ngumu sana Maisha IPO DUNIA NZIMA Hadi sisi imetukuta wakati SISI HATUKO DUNIANI na Viongozi wetu Wana POWER ya KUFANYA MIUJIZA.

Wanashindwa Nini kufanya MIUJIZA.
 
Wanabodi,

Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu

Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama kimoja italeta maendeleo chap chap,

Wakateka watu, wakawaua ,wakawapa kesi pia ili waonekane hawana sifa za kugombea na kuwa viongozi,

Mwendazake akawapitisha bila kupingwa wakataka pia kumuongezea muda wa kuongoza mpaka maisha.

Kaingia Mama, wakamsifia sana Ila leo kila mtu hasa CCM wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha kwa Sasa.

#Suluhu ya yote

#Tumehuru ya uchaguzi
#katiba mpya
Tuliyataka wenyewe. Tutisoma namba. TUNAISOMA KWELI NA BADO
 
Kama unabweka bweka Kama nyumbu maana yake wewe Ni msukule wa makengeza Mbowe.

Kenya hao hapo Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi imewasaidia nini???

Daah waafrika tutafika mbinguni tumechoka sana… anachokiongea jamaa kina maantiki anasemea watu sio wanyama…lakini anavyobebwa kana kwamba hao maaskari familia na ndugu zao wote wako vizuri…tumepigwa upofu wa maana ndugu zangu
 
Ni kweli baada ya Jaji mkui kupatikana kwa interview kwenye TV Kenya sasa hivi Hakuna mfumko wa Bei wala hali ngumu sana ya Maisha
ni wapi dunia hii hakuna umaskini? haki na usawa ni jambo kubwa sana ..checks and blance za muhimili ni za maana sana siyo kuwa na majaji na speaker wa bunge ambao wanageuka chawa kwa mtawala, ambao muda wowote wanaambiwa funga huyo,usimpe dhamana, fukuza bungeni nitamshughulikia huku nje

HAKI kwanza haki huinua taifa.
 
Hata Mimi nashangaa mfumko wa Bei na hali ngumu sana Maisha IPO DUNIA NZIMA Hadi sisi imetukuta wakati SISI HATUKO DUNIANI na Viongozi wetu Wana POWER ya KUFANYA MIUJIZA.

Wanashindwa Nini kufanya MIUJIZA.
Watz nyie mnapenda sana kulalamika bei bei, sie huku marekani debe la mahindi tunanunua elf70 lkn hatulalamiki, nyie huko tz debe la mahindi mnanunua elf12 lkn mikelele mnayopiga sio ya nchi hii.
 
Kama unabweka bweka Kama nyumbu maana yake wewe Ni msukule wa makengeza Mbowe.

Kenya hao hapo Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi imewasaidia nini???

Usitumie kasoro ya maumbile ya mtu kumkashifu. Kwa nini umwite makengeza
 
Katiba mpya itarahisisha vipi Maisha ya mwananchi Mlalahoi?
Katiba mpya itaongeza uwajibikaji kwa viongozi lkn pia itasaidia kuimarisha taasisi zetu badala ya kutegemea mtu tutategemea mfumo

Jambo lingine ni kwamba tuna watu wengi wamepewa madaraka makubwa kisa ni makada wa chama fulani wakati hawana hadhi, haiba,Kariba, wala uzarendo na nchi hii hivyo tubadilike katiba ni muhimu sana
 
Wanabodi,

Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu

Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama kimoja italeta maendeleo chap chap,

Wakateka watu, wakawaua ,wakawapa kesi pia ili waonekane hawana sifa za kugombea na kuwa viongozi,

Mwendazake akawapitisha bila kupingwa wakataka pia kumuongezea muda wa kuongoza mpaka maisha.

Kaingia Mama, wakamsifia sana Ila leo kila mtu hasa CCM wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha kwa Sasa.

#Suluhu ya yote

#Tumehuru ya uchaguzi
#katiba mpya
Mpaka CCM watuelewe ni muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom