Mabere ni mwandishi nguli na Kanda ya Ziwa hutoa habari zake kupitia kituo chenu cha ITV

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,495
Imechukua muda mrefu sijasikia sauti ya Mabere Mkaubi wa ITV. Kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa Mabere Makubi amekuwa akiripoti habari kupitia kituo chenu habari ya uhakika na kwa kweli Mabere Makubi anapendwa sana na wananchi wa Kanda ya Ziwa kutokana na umahiri wake. Inawezekana kuwa kuna tofauti kati ya Mabere na mtu fulani lakini mnatakiwa mfuatilie chanzo cha tofauti na kulitolea uamuzi badala ya mtu kukaa kijiweni. Mabere ni mwandishi nguli na Kanda ya Ziwa tunampenda kutoa habari zake upitia kituo chenu cha ITV.
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
4,157
7,865

Wewe mleta mada mbona hufunguki tukuelewe na kama ni wewe mwenyewe Makubi tuelezee kiini cha tatizo lako!
 
Basi Nenda

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
18,973
41,566
Wewe mleta mada mbona hufunguki tukuelewe na kama ni wewe mwenyewe Makubi tuelezee kiini cha tatizo lako!
Anaficha ficha,inasemekana Mwandishi huyu Ana wekewa zengwe na RC was hapo Mwanza kisa Mwandishi Ali report lile tukio la Machinga kufukuzwa na kunyanyaswa
 
Kanali G

JF-Expert Member
Oct 21, 2013
9,371
13,025
Inasemekana alitimuliwa baada ya kutaka mlungula kwa mshikaji ili asitoe habari zake,mabosi wake walivyogundua wakampiga kalamu
 
Notorious thug

JF-Expert Member
Dec 29, 2021
2,082
7,259
Inawezekana hiyo ishu ya rushwa waandishi wengi wa bongo wanapenda uwaoe rushwa ili kuficha ukweli au kupindisha au habari waiandike kwa upendeleo.
 
koro-boy

JF-Expert Member
Sep 29, 2017
1,281
1,044
Nimesoma mada yako sijaona mantiki labda mnisaidie ila nimeona neno kituo chenu cha ITV cha akina nani na nyie akina nani kwa ujumla wewe ni mkabila na mkanda. Hizo rhetoric zenu hazita shinda.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom