Mara kadha imekuwa ikisemwa eti akifariki waziri au rais na akizikwa wanasema eti hayati fulani cjuw kisa wadhifa.Mtu akifa amekufa hakuna cheo wote ni maiti.Sasa natangaza rasmi nami nikifa niitwe hayati fulani c marehemu fulani.Over
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa Jumanne amekabiliwa na maswali makali bungeni, wakati wabunge walipotaka majibu jinsi anavyokabiliana na wizi wa mamilioni ya dola kutoka kwenye shamba lake.
Kwa mujibu wa shirika la habari la AP Ramaphosa alipigiwa kelele na wabunge wa upinzani wakimtaka...
BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KATIKA STENDI WA MAGUFULI DAR ES SALAAM
Na OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla kukutana na wadau na wamiliki wa...
1. Ikiwa mtu amekukasirikia na ukatulia, anaweza kuwa na hasira zaidi. Lakini hatakuwa na jinsi zaidi ya kujionea aibu.
2. Ikiwa mtu anaendelea kuzungumza na huwezi kuingia kwenye mazungumzo,jifanye unaangusha kitu chini (ufunguo, kalamu, nk), jifanye unainama ili kukichukua na kuanza...
Ni masomo gani makubwa ambayo umejifunza katika ulimwengu wa ofisini?
1. Jifunze kuvaa vizuri. Kumbuka jinsi unavyovaa ndivyo watu watakavyo kuchukulia.
2. Kamwe usiruhusu wenzako au bosi wako akuonee, jifunze kuongea na kusimama msingi wako na miguu yako. Usiwe goigoi wa ofisi.
3. Usiamini...
1. Unazalisha takriban mililita 500 hadi 1,500 za gesi kwa siku, na kuitoa kwa mara 10 hadi 20.
2. Unaweza kuiwasha gesi ya kijambo kwa moto. Ina gesi aina ya methane na hydrogen ambazo zinawaka kirahisi.
3. Kulingana na ripoti ya NBC News, kijambo kinaweza kusafiri kwa spidi ya takriban maili...
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums Maxence Melo akiwa East Africa Radio asubuhi hii, 30 Agosti, 2022.
===
Amesema kuwa JamiiForums imeandaa muswada wa mfano ambao imeupeleka Serikalini pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria ili kutoa mapendekezo ya nini kifanyike katika kuhakikisha kuwa taarifa...
Wanajukwaa Mimi binafsi ni mfuatiliaji mzuri wa mambo mengi tu, mpaka nimeleta Uzi huu nimejiridhisha kuna tatizo sehemu au kuna kitu sisi binadamu au niseme Watanzania kuna sehemu tumekosea, sitaki kuhusisha dini labda Mungu tu ndio tumuhusishe.
Katika utafiti wangu usiyo rasmi nimeshuhudia...
Miaka karibu 50 tangu kile kilichoelezwa kusitishwa kwa safari za kwenda mwezini mwaka 1972,sasa kituo cha anga cha NASA kimesema kinataraji kurejea safari hizo hivi punde.
Hapo Jumatatu chombo kinachotajwa kuwa na nguvu kubwa kiitwacho Artemis kitafanya safari za majaribio kwenda karibu na...
Ndugu, wana JamiiForums leo ningependa kuwasogezea habari hii kuhusu project inayoendelea ya tajiri namba moja duniani ambaye pia ndiye mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Tesla, Mr. Elon Musk kuhusuiana na kuunganisha ubongo wa binadamu pamoja na kompyuta maarufu kama NEURALINK.
Picha: Elon Musk...
Hautojutia rafiki Kwa kuzijua Siri hizi Kwa afya Bora. Kwanini tuangamie Kwa kukosa maarifa?
Ngoja nikushirikishe tone la upendo rafiki yangu unayesoma Uzi huu.
Afya ni uhai, Kuna afya ya Mwili, ya Akili na afya ya Roho. Wengi wetu tunaijua Sana afya ya mwili ambayo tunaipata Kwa kula chakula...
Naomba kujua, ni mtaji unaoanzia sh. ngapi unahitajika kwa mfanyabiashara mdogo wa duka la matumizi aliyepanga katika frame anatikiwa kulipa kiasi gani cha kodi TRA?
Napenda kujua, ni mtaji kiasi gani ambo mtu anakiwa kuanza kulipa kodi TRA?
Ufafanuzi: Duka hili lina mtaji siyo chini ya Mil...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeteua Kampuni 26 za Mawakili zitakazoiwakilisha Tume hiyo na Mwenyekiti wake Wafula Chebukati.
Kila Kampuni ya Wanasheria na Mawakili, italipwa takriban Tsh. Milioni 388,967,498/-
Zaidi ya Tsh. Bilioni 10.1 zitatumika kulipa Wanasheria na Mawakili...
TRA mnatupa namba za simu eti kwa maelezo zaidi.
Mimi mpangaji na mpokeaji simu hatuwezi kutatua tatizo kupitia simu, kodi ua ZUIO inahitaji maelezo ya kina kutoka uongozi na si marisepshenisti.
Tunataka kodi ya ZUIO ilipwe na mwenye nyumba na si mpangaji.
Hiki ni kisa cha marafiki wawili ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini mmoja wao tu ndiye aliyepandishwa cheo.
Yule mwingine aliona kama hakutendewa haki hivyo alienda kulalamika kwa boss wake kwamba hawajali wafanyakazi wake wanaofanya kazi kwa bidii.
Boss wao aliwapa task ambayo...
Hiki ni kisa cha mtu aliyechelewa safarini. Alipofika kwenye stesheni ya treni alipanda treni ya kwanza kuwasili mbele yake. Na kwa sababu ya uchovu alisinzia kwa muda na kisha baadae kuamka.
Alishangazwa kuona treni ikiendelea kwenda kwa kasi pasipo kujua uelekeo wake. Alianza kuuliza kila...
Yanga (Young Africans Sport Club), ni klabu moja wapo ya mpira wa Tanzania iliyoanzishwa 1935 ambapo makao makuu yakiwa Jangwani Kariakoo, Dar es Salaam. Ikiongonzwa na Rais Engineer Hersi Ally Said .Wakiwa mabingwa wa kihistoria mara ishirini na nane 28.
Simba (Simba Sports Club), ni klabu...
Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye huku baadhi yao wakionyesha nia ya kumpatia msaada wa kisheria.
Juzi, Afumwisye alipokea barua iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.