kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Aibu: Wasafi FM michezo wanadanganya kuhusu ibenge na DRC national team

    Inasikitisha sana kwa kweli hawa jamaa nilkuwa najua ni manguli wa habari za michezo wako sasa hivi saa 19.50 wanadanganya kuhusu habari ya florente ibenge wakidai ni kocha wa team y a taifa ya Dr Congo ibenge kaacha kazi as vita anaelekea Orlando pirates ila hawa jamaa wako hapo studio wanadai...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kumshauri Rais kuhusu kuleta wawekezaji ungemshauri alete wawekezaji wa viwanda gani?

    Je, ungepata nafasi ya kumshauri Rais kuhusu kuleta wawekezaji ungemshauri alete wawekezaji wa viwanda gani. Toa maoni yako, hapa. Maoni yako ni muhimu.
  3. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa msitufanye wajinga kuhusu mikutano ya kisiasa

    Specifically naongea na wanaodai kwamba hakuna uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa. Rais kasema hajazuia mikutano yenu ya wanachama wenu ndani ya chama. Wabunge wafanye kwenye maeneo yao pia. Marekani wametoka kwenye uchaguzi juzi kati, je? Bado wanaendelea na mikutano ya siasa? Tunataka...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

    Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia. Chanzo: ITV
  5. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu kilichotokea tuzo za BET

    Somo la leo UKWELI MCHUNGU KUHUSU BURNABOY .... ila wabongo hatupendi kuangalia FACTS kwenye mambo mengi. Mwaka jana BURNABOY alitoa album ya TWICE AS TALL na ilifanya vizuri sana na miongoni mwa wasanii na mfanyabiashara P.DIDY aliipa support kubwa sana maana anaujua uwezo wa BURNABOY...
  6. P

    JamiiForums Tanzania CCM tumshauri Rais Samia kuhusu Wabunge 19

    Ndugu katibu mkuu CCM, Ndugu wanachama, Ni dhahiri chama kinasimamia Serikali, Wabunge 19 waliopo bungeni bila ridhaa ya Chadema ni mtaji kwa CCM kwa sasa. Madhara yake baadae ni makubwa. Nashauri serikali iwasimamishie mishahara yao mara moja hawa waliingia kwa jinai bungeni kupitia...
  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu Podcast, ni kitu gani? inafanyaje kazi?

    Naomba kufahamishwa kuhusu hii kitu ndugu zanguni. Inafanyaje kazi. App sijui website zake ni zipi na mtu anawezaje kuimonetize. Natanguliza shukrani.
  8. mwakavuta

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishishwa kuhusu ajali iliyohusisha magari yanayoenda Songea

    Wakuu salam, Nimepata ujumbe wa SMS kutoka kwa namba ya ndugu yangu unaoonyesha kuwa amepata ajali akielekea songea, nimejaribu kupiga simu haipokelewi lakini ujumbe wa SMS umetaja jina lake na ni kweli alikuwa anasafiri kwenda songea jumamosi ya tarehe 26/6/2021. Naomba kupata taarifa zaidi...
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ushauri na maoni yangu kuhusu Bandari ya Bagamoyo

    USHAURI NA MAONI YANGU KUHUSU BANDARI YA BAGAMOYO. Ilikuwa Octoba 21 katika taarifa ya habari ya Channel Ten nilimsikia Mgombea Urais wa Ukawa,Mh Edward Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina Bagamoyo, Alisema haoni mantiki ya...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania MATAGA tunaomba radhi kwa kupotosha watanzania kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi safi kabisa

    Tunaomba radhi, tulipotoshwa na watu wenye chuki zao kwa sababu za kisiasa. Kenya wamemaliza Lamu, sisi bado, tinaomba radhi sana maana tulifanya haya mambo kwa kulipwa matokeo yake tukakwamisha nchi. Tunaomba radhi kwa Mama Samia, watanzania wote pia #matege Code-SSH-2025
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuboresha mtaala wa elimu

    Wadau bado kuna ufahamu mdogo nini kifanyike kuboresha mtaala wa elimu. 1. Kuandaa vijana wetu kwenye mtaala ili washiriki uchumi wa viwanda lazima Sera ya Elimu lazima ibainishe kuwa Shule ni kituo cha kukuza ubunifu. 2. Ili kutekeleza hilo, mtaala utabainisha ufundishaji unakuza na kujenga...
  12. TTCL Customer Care

    JamiiForums Tanzania Taarifa dhidi ya uzushi unaosambaa mitandaoni kuhusu kampuni ya TTCL

    Kumekuwa na baadhi ya watu kupost picha ya Ttcl ikiwa na ujumbe unaosomeka TIA TUKUTIE.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kuna uhalisia kuhusu Corona hatuambiwi?

    Ndugu Watanzania wenzangu nawasalimu, Zipo nadharia nyingi kuhusu Ugojwa wa Corona, na kumekuwa na jitihada nyingi za ndani na nje ya nchi yetu za kupambana na virusi hivi vinavyotishia ustawi wa sayari yetu. Tumekuwa tukisikia tahadhari nyingi kuhusu matumizi ya Chanjo (Vaccines) za Corona...
  14. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu bajeti ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania 2021/ 2022

    Wahenga walisema "Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha", baada ya mjadala mrefu juzi Juni 22, 2021 Bunge la Tanzania lilipitisha na kuidhinisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania shilingi trilioni 36.68 (36,681,897,765,000) kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambapo wabunge 361 sawa...
  15. changaule

    JamiiForums Tanzania Tupate somo fupi kuhusu sheria ya FIFA namba 11

    Hii ni somo fupi iliyoambata na mifano halisi juu ya sheria namba 11 (kuhusu offside). Ni moja ya sheria inayowapa shida watu wengi sana kuitafsiri. Mfano kwenye mechi ya Yanga vs Mwadui kuna watu wanasema ile ni offside na wengine wanasema ni goli halali. Ukipitia hii video itakupa mwanga...
  16. Sam Gidori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yaburuzwa mahakamani kwa kukosekana uwazi mradi wa SGR

    Asasi ya Kiraia ya Okoa Mombasa ikishirikiana na Taasisi ya Uwajibikaji wa Kijamii (TISA) wameiburuza Serikali ya Kenya mahakamani kudai kuwekwa wazi kwa mikataba ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Mombasa - Nairobi ya Standard Gauge Railway (SGR). Mashirika hayo mawili yanadai serikali iweke wazi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa vijana wa Afrika kuhusu China waendelea kuboreka

    Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood. Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa vijana wa Afrika kuhusu China waendelea kuboreka

    Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood. Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
  19. kidadari

    JamiiForums Tanzania Kimya cha Bodi ya Mikopo kuhusu VRF kinaashiria nini?

    Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutangazia kuondolewa kwa tozo iliyokua inaumiza wanufaika wa mkopo hasa Wafanyakazi bado kumekua na kimya kingi kutoka bodi ya mkopo kuhusu maendeleo ya mchakato huo. Bodi walitoa taarifa kua wanarekabisha tozo hiyo kwa kuiondoa pia watahuisha...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa

    Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano. Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
Back
Top Bottom