Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nilikuwa nasababu kuu tatu za kunifanya nizionee aibu kazi ambazo wengi huziona Duni.
Sababu ya kwanza, ni Malezi na makuzi.
Nimelelewa na kukuzwa kwenye familia ya Wasomi wa kati, wote walikuwa wafanyakazi wa serikalini. Mtazamo wao kuhusu maisha ni kusoma...
Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne.
Nashukuru sana kwa wana Jf...
Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu kuendesha shughuli zote za sanaa visiwani Zanzibar.
Mbali na kumfungia kuendesha shughuli za sanaa, pia imepiga marufuku redio na televisheni za Zanzibar kupiga nyimbo...
Uhakiki wa taarifa ni mchakato wa makusudi wa kufanya tathmini ya taarifa ili kujua chanzo au uhalisia wake.
Katika ulimwengu wa leo, takwimu za Global Media Statistics zinaeleza kuwa zaidi ya 62.3% ya watu duniani wanatumia mitandao ya kijamii, ambayo inafanya kuwa jukwaa kubwa la usambazaji...
Biashara huwa zinarithishwa kwa watoto hasa wa kiume wanaoendeleza kizazi lakini kwa wakristo hali ni tofauti, Baba akifa nusu ya mali zinaenda kwa mke ambae anaweza akawa hajui chochote kuhusu biashara, hapo ataona heri auze biashara ili apate pesa za kuendeleza huko kwao na akatoe sadaka kwa...
Ni hali ambayo ni ayo kwa muda mrefu. Mwanamke bila kumtomasa tomasa, kukiss, Na baadhi yao kusex siwezi kuwa free kuzungumza au kuwa rafiki yake kwa uhuru.
Habari ndugu zangu.
Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa.
Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo mikoani.
KWA WALE WALIOPO TUNDUMA SONGWE.
Leo mzigo wa dagaa aina ya full mzigo umefika nenda kachukue...
Na. John- Baptist Ngatunga
___________________________
Kwa kawaida, kila binadamu anayafanya makosa. Lakini yapo makosa mengine ambayo pamoja na ubinadamu wetu hatupaswi kuyafanya. Tunatakiwa kuwa makini sana kuyaepuka ili tusikutwe na lawama. Ndivyo ilivyo pia kwa Mwanamke aliyeolewa...
Wakuu kwema? Tuchangamshe kichwa kidogo.
Mpo watu 100 kwenye chumba kimoja, na kuna milioni 100 za kushindaniwa. Ili uweze kunyakua mahela hayo unatakiwa kufanya kitu kimoja ambacho utawashinda wengine wote.
Ungefanya kitu gani?
Mimi ningekaa kimya tu, maana watu asiku hizi hawajui kunyamaza...
Kumekuwa na idadi kubwa sana ya watoto wa kike wanao jihusisha na biashara ya ukahaba. Wengi wao kimuonekano wanapaswa kuwa wanafunzi wa sekondari. Je tatizo linaweza kuwa nini na nini kifanyike kuokoa kizazi? Au hatujui madhara ya kuwa na kizazi cha makahaba.
Ukahaba ni roho moja chafu...
Na Eva Valerian na Asia Singano
Waratibu wa huduma ndogo za fedha nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ili kuboresha huduma za fedha na kuleta maendeleo ya kiuchumi hapa nchini.
Hayo yalisemwa na Afisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Uendelezaji wa...
Habari,
Naomba msaada jamani nina stationery lakin katika kipindi hiki cha umeme kata rudi napitia wakati mgumu sana.. Naomba usbauri wenu jamani naweza kuongeza biashara gani isiyotumia umeme nikajiongezea kipato?
Pia ni sehem ipi online ambapo naweza kujifunza graphic design kwa undani??
AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa ametangaza tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Kitaifa na Majimbo na kueleza kuwa utafanyika Mei 29, 2024 ambapo ameitisha Kikao na Wakuu wa Mikoa pamoja na viongozi wa Tume kwaajili ya kujadili utekelezaji wa Uchaguzi.
Wachambuzi wa Siasa wameonya kuwa Chama Tawala...
Uhuru wa kuandamana ni stahiki ya kikatiba kama stahiki ya kwenda kokote na kufanya kazi. Maandamano ya CHADEMA yanapaswa yaandaliwe vyema. Mfano Mwanza ina njia kuu tatu- barabara ya Nyerere ambako walianzaia Igoma, barabara ya Kenyatta- ambako walianzia Buhongwa, na barabara ya Makongoro...
Wakuu wa mambo tunaomba msaada hapa, huku mtaani kwetu kumekuwa na maneno mengi juu ya Kufanya mapenzi Wakati Ujauzito Kunasaidia Kupunguza maumivu, njia kufunguka kwa haraka wakati wa kujifungua na mtoto kushuka haraka wakati wa kujifungua, je kuna ukweli katika Hili?
KATIBU Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japhet Maganga, na wenzake 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kufanya fujo kwenye mkutano wa Baraza Kuu la chama hicho wakati wakipitisha bajeti ya mwaka.
Tukio hilo lilitokea baada ya baraza hilo kuazimia kumsimamisha...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewashutumu Rwanda kwa kufanya shambulio la ndege isiyokuwa na rubani lililosababisha uharibifu wa ndege ya raia kwenye uwanja wa ndege katika mji muhimu wa mashariki wa Goma, ambao ni mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini.
Mapigano yamezuka katika siku za hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.