Watoto kufanya ukahaba jijini Dar es salaam. Tatizo ni nini?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,115
27,105
Kumekuwa na idadi kubwa sana ya watoto wa kike wanao jihusisha na biashara ya ukahaba. Wengi wao kimuonekano wanapaswa kuwa wanafunzi wa sekondari. Je tatizo linaweza kuwa nini na nini kifanyike kuokoa kizazi? Au hatujui madhara ya kuwa na kizazi cha makahaba.

Ukahaba ni roho moja chafu sana inapomuingia mwanamke haimuachi na inaenda ku corrupt kabisa akili yake anakuwa kama pepo.

Hawa ndio baadae wanakuja kuzaa watoto ambao wanakuja kulisumbua taifa.

Jukumu la kumlea na kumtunza mtoto wa kike linapaswa kuwa la jamii nzima kwa sababu mtoto mmoja wa kike akiharibikiwa athari zake za baadae zinaweza kuwa mbaya kwa jamii nzima
 
Back
Top Bottom