Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,020
- 6,858
Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
kadiri uwezavyo itapendeza zaidi 🐒Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
Mshafunga shule?😅Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
Umepona gonorea,unaanza kurudi ulipo toka, UTI sugu na kaswende hazitakuacha salama?Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
Shida ya kufia kwenye kinena cha mtu ni shida ya kujitakia.Nguvu zako tu,kama huna nguvu ni Mara moja....unazo basi ni daily kiafya
🤣🤣tulia wewee🤨🥵
Ewaaaaa. Ukutane na mwanamke anajua kunyegesha ikifika mida ya kulala anabaki half naked.Kila siku ya wiki mara mbili asubuhi na jioni
Umri ndio factor ya kwanza- kama upo 18-35 sex mara moja kwa wiki, sababu kuu ni huna hela, umepanga, una stress n unakula chips na mlo wa kubahatisha hivyo utapata malnutrition.Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
Imetoa jibu jepesi sanaUmri ndio factor ya kwanza- kama upo 18-35 sex mara moja kwa wiki, sababu kuu ni huna hela, umepanga, una stress n unakula chips na mlo wa kubahatisha hivyo utapata malnutrition.
Kama upo 35-50 , hapa umeshajipata, ichape mpaka habari zimfikie mama mkwe, hapa hudaiwi na mtu, chapa.
55-70 piga kama bata, kimoja kwa mwezi, usije fia kifuani,