kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Usiogope kufanya Makosa

    Usiogope kufanya makosa kwani kwenye kufanya makosa hakika kunaleta manufaa pia Sikia hii,,maziwa yakiharibika yanakuwa mtindi,na mtindi unabei kubwa kuliko maziwa,, Juisi ya dhabibu ikiharibika inakuwa wine,na wine ina gharama kubwa kuliko juisi ya dhabibu Alexander kolumbasi alifanya makosa...
  2. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Namna ya kufanya malipo online kwa ajili ya kulipa tutorials

    Kichwa Cha habari wakuu kinajieleza nataka kununua tutorials kwa ajili ya kujifunza zaidi Ukifika hatua hii unafanya JE kama mfano WA kwenye hii picha hapa.
  3. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Arusha, ingiza milioni 9 kwa mwaka ya uhakika kwa kufanya ivi

    Kuna dili nimepewa ila nimekosa Hio pesa, Kuna nyumba ipo arusha inauzwa milioni 100, Ina wapangaji kampuni ya wahindi ambayo imesajiliwa wameikodi Hio nyumba, Wana zaidi ya miaka 8 wamekodi Hio nyumba, wanalipa Kodi milioni 9 Kila mwaka na wanalipa kwa mkupuo Kama Kuna mtu anataka kuinvest...
  4. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Unatoa wapi ujasiri wa kufanya upinzani ikiwa huna kinga yoyote?

    Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk. Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote? Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔 Tukio la Sativa limenifikirisha sana. Kuna haja ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msiandike mikataba ya ununuzi wa nyumba/ viwanja mahakamani, mahakimu hawaruhusiwi kufanya hivyo

    MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO. Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike mikataba yenu ya ununuzi wa nyumba/ viwanja Mahakamani kwani inakatazwa. Huwa mnaamini kwamba ukinunua...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato Yesu Kristo ni Alfa na Omega, Mnadai alianza kufanya upelekezi wa matendo yetu miaka ya 1860's, haingii akilini, mnamshushia hadhi yake!

    Moderator naomba mada hii isiunganishwe kwingineko Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja tena na hoja kuwa Yesu Kristo ni Alfa na Omega na amekabidhiwa mamlaka yote haitaji kufanya upelekezi kujua dhambi anazozifanya mwanadamu! Ndiyo yeye ndiye mwenye mamlaka makuu na uwezo wake haufananishwi na...
  7. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

    Hi Guys My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana? Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo...
  8. Yofav

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kuhama kutoka kuwa mteja wa benki ya Nmb ni benki gani nzuri kufanya saving?

    WAKUU HII BENKI IMENISHINDA TABIA, SASA MTU KUANGALIA TU SALIO LANGU WASHAKULA 3500 SASA KAMA HUU⬆️ SIO UNGESE NI NINI? Naombeni ushauri ni benki gan niwe naweka akiba zangu.
  9. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tuwalinde na kuwatetea watoto wa Taifa letu dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa kufanya yafuatayo

    Ukatili wa kijinsia kwa watoto ni kitendo chochote anachoweza kufanyiwa mtoto na kikasababishia madhara ya kimwili, kisaikolojia na kiafya. Ukatili wa kijinsia kwa watoto unaweza kusababisha madhara mengi ikiwemo mtoto kutengwa katika jamii, mtoto mwathiriwa wa ukatili kujiua na mateso mengine...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nini lengo la viongozi wa dini kufanya sala kwenye matukio ya kitaifa?

    Nchi yetu Haina dini, hilo linafahamika. Lakini karibia kila tukio la kitaifa, lazima viongozi wa dini wawepo kwa ajili ya sala. Hiyo inamaanisha nini? 1. Watawala wanaamini sana katika maombi? Sidhani, kwa sababu kama ndivyo, kwa nini wawaalike wa dini zenye maarufu pekee? Mara nyingi...
  11. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Kitu kikubwa unachopaswa kufanya ni kuwaruhusu wanaotaka kuondoka katika maisha yako waondoke

    Hakuna uamuzi wa busara katika maisha yako kama kuwaruhusu wanaotaka kuondoka waondoke, hii itakupa machungu kwa muda fulani lakini baadae utapona. Usianze kubembeleza na kusaga meno kwasababu tu mpendwa wako anataka kuondoka katika maisha yako, kumbuka sio kila mtu atakuwa na wewe daima katika...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Gharama za kufanya repair ya Bafu na Choo

    Habari wakuu Nina mpango wa kufanya maboresho nyumbani na kwa kuanzia ninatamani kurekebisha choo na bafu, kuna tiles tayari ila style ya kizamani inaishia nusu ukuta so kwa sasa nataka kuweka full, pia bafu haikuwa na slope nzuri so maji hutuama fulani hivi. Naombeni ushauri kuhusu makadirio...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wenzako mnapoteza fedha za Chadema kwa kufanya mikutano isiyokuwa na tija

    Nimekusikiliza leo ukiponda nafasi ya ma DC na unapendekeza vyeo hivyo vifutwe, niliposikia ukisema maneno hayo tu sikutaka tena kukusikiliza. Huko mawilayani Wakuu wa Wilaya wana msaada mkubwa kwa wananchi, wananchi wana imani sana na wakuu wa wilaya, wao ndio wanaotuliza mambo ndani ya...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Jason Derulo akubali kufanya kazi na diamond baada ya kupost kupitia insta story yake

    Komasava ya diamond inazidi kumpa mashavu zaidi baada tu ya chriss brown kuucheza wimbo wake na kuwa gumzo duniani kutokana na ukubwa wa breezy. Jason derulo amekubali kufanya wimbo na diamond kwenye kipindi hiki ambacho ngoma yake ya kovasava ikishika chart kila kona. Ukiachana na Derulo...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nitajieni mambo ya kufanya ambayo hata mwili una feel kabisa unaupenda

    Kwa mfano kunywa maji ya baridi kwenye glass ina letaga stimu fulani hata maji yanateremka gently na smoothly zaidi ya kunywea Chupa.
  16. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Wapuuzi wachache wanaenda kufanya tuaibike Mwaka 2027

    Mwaka 2027 kutakuwa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)ambayo yatafanyika katika mataifa 3,miongoni mwa mataifa hayo na Tanzania ikiwemo. Kila nikijaribu kuangalia na kutazama namna mambo yanavyoendeshwa kwenye hii nchi na watu ambao tuliwaamini kiukweli nakosa majibu na napata...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ndiye mbunge mojawapo kati ya wazalendo anayeweza kushinda bila kufanya compaign 2025.

    Salaam, Shalom!! Lissu, Lema,Heche, Mpina,Mbowe, Mnyika, Ole Sendeka, Mwabukusi, Dr Slaa, ni baadhi ya watu ambao wanaweza kugombea na wasipige compaign na wakashinda Nchi hii Jimbo lolote. Ndugu Mpina haihitaji hata kujitambulisha Kwa wananchi, na anaweza kugombea Jimbo lolote, Kwa chama...
  18. Iddizahoro

    JamiiForums Tanzania Habari wana jamii Naomba gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
  19. Iddizahoro

    JamiiForums Tanzania Habari nahitaji gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?

    Huwa napenda kujiuliza hili swali mara kwa mara, ni bora kusali sana au kufanya kazi sana? Kama jibu unalo, naomba utusaidie ili tuweze kupata ufahamu zaidi.
Back
Top Bottom