As Vita rasmi wamekiri Simba ni team ngumu kubwa isiyozuilika

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Habari mbaya sana kwa deportivo la utopolo ambao kwa sasa wanalalamika kwa nini team ya 13 kwa ubora Africa ambayo very soon itaingia top 10 imeamua kuachana na yutong la sportspesa la 2010 (linalofanana na team ya 74 kwa ubora afrika mbaya zaidi bila aibu sportspesa wanatoa pesa sawa kwa mnyama mkali simba na li team lililokalia majungu na ujinga mtuupu ) team hiyo inayotisha afrika imeamua kununua brand new model ya tata marcopolo kitu kilichosababisha washabiki wa utopolo kulalamika kwamba tata marcopolo siyo basi zuri.

Embu fikiria washabiki wa vyura vyurani wnaowaonea huruma wachezaji bora afrika wakiawa wanakula blue tooth,screen kila seats kiyoyozi cha kueleweka..daaaa to make matters worse mliowapokea juzi wamekubali mziki wa simba

===

The A.S VITA CLUB left the CAF Champions League prematurely, in front of a strong team of well-engaged Simba S.C, could not resist.

Let's learn lessons to correct mistakes soon, courage 👏🏽 to all VClubians around the world.

asvitaofficiel's profile picture

asvitaofficiel

Verified​

#SSCASV 4-1 : L’A.S VITA CLUB RENTRE À LA MAISON
.
L’A.S VITA CLUB a quitté la Ligue des Champions de la CAF en prématurité, devant une équipe costaud de Simba S.C bien engagée, n’ont pas pu résister.

Tirons des leçons pour corriger les erreurs prochainement, courage 👏🏽 à tout les VClubiens de partout dans le monde.
 
Watakuja wamiliki wa timu ya "Husuda fc" kukanusha habari hii, kwasababu tu wanaishi Vidimbwini.
acha tu mkuu utopolo wanalalamika tata siyo basi zuri tubaki na yutong 2010 model maajabu hayaishi
Watakuja wamiliki wa timu ya "Husuda fc" kukanusha habari hii, kwasababu tu wanaishi Vidimbwini.
wakikanusha waende insta page ya as vita kama wana bando la ndugulile a.k.a malaika aliyekuja kuzima kuzima internet tanzania
 
Hii timu na TP Mazembe yamebaki majina tu
hivi mnataka tucheze na team gani muelewe kwamba sisi siyo level yenu prisons na ruvu wakitufunga wako juu ya as vita? unajua vita ni ya 12 afrika?simba ya 13, utopolo inajifia huko ya 74 ,namungo ya 59?HALAFU TUNA BASI JIPYA TATA MARCOPOLO una maoni gani halifai au linafaa?
 
acha tu mkuu utopolo wanalalamika tata siyo basi zuri tubaki na yutong 2010 model maajabu hayaishi

wakikanusha waende insta page ya as vita kama wana bando la ndugulile a.k.a malaika aliyekuja kuzima kuzima internet tanzania
Huko nako wanakanusha kwamba account feki.
Hao ni 'mkanusho a.k.a malalamiko fc' huwezi shindana nao.
 
Huko nako wanakanusha kwamba account feki.
Hao ni 'mkanusho a.k.a malalamiko fc' huwezi shindana nao.
nimekuta makenika wa utopolo anaichambua tata marcopolo ya 2020 kwa (UTAALAMU)anakuambia breki zinafeli basi halifai anawalaumu simba kukubali MO kununua hilo basi ni bora wangebaki na lile yutong la 2010 aisee hawa jamaa zetu soon tutawapeleka museum wakawakwe makumbusho ya kihistoria ,wivu na husuda zimepita kiwango sasa hata simba wakinunua soksi mpya za wachezaji watapinga na kulalamika
 
Maskini Atopolo na Sir Pong wao, zaidi wanadokoa macho tu viroho vinawauma.
Badala ya kujifunza toka Simba wamebaki na wivu tu.

Na watabakia hivyohivyo.
 
hivi mnataka tucheze na team gani muelewe kwamba sisi siyo level yenu prisons na ruvu wakitufunga wako juu ya as vita? unajua vita ni ya 12 afrika?simba ya 13, utopolo inajifia huko ya 74 ,namungo ya 59?HALAFU TUNA BASI JIPYA TATA MARCOPOLO una maoni gani halifai au linafaa?

Inabidi soon mnyama atungue private jet kabisa, hizo marcopolo zinunuliwe nyingine kama nne hivi walao za kupeleka mashabiki kwenye bata!
 
Huu uzi kama ni chakula basi ni biriani, maana ujumbe umechanganywa na majungu kwa utopolo balaa 😂😂🤣
 
Picha ya TATA Marcopolo new model ikwapi?
Watopolo waone kwa macho na maelezo ili wapate kuelewa vema.
 
Senzo kapishana na neema za msimbazi, kipindi chake tulitolewa preliminary stage na Ud songo.
 
Back
Top Bottom