Maadui wakubwa wa taifa hili wamekuwa siku zote ni ujinga, maradhi na umasikini.
Miaka 60 ya uhuru leo tungali humo humo.
Hali halisi tishio jipya la corona
Leo hii pamoja na tahadhari zote za wataalamu wabobezi, ujinga ungali umetughubika vilivyo.
Kwa maana halisi, ujinga ni kudhani wajua...
Majiji na Miji mingi kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita imekuwa ikijenga masoko mazuri ya ghorofa kama masuper market yenye thamani kubwa. Machinga/Mjasiria Mali ana tabia za maisha ya bata. Tania hizi zimefanya vizimba kukosa wateja.
Je, tunatatua tatizo kujenga masoko ya maghorofa au...
Viongozi wa kisiasa wana kazi ngumu sana. Kutakiwa kumridhisha kila wanayemuongoza kwa kadri ya uwezo binafsi, ni mtihani mgumu. Ni vigumu kwa kila anayeongozwa na kiongozi fulani kuwa na mtazamo ule ule kama wa mtu mwingine.
Naamini kabisa kwamba hayati John Magufuli hakuwa na sifa ya kiongozi...
"Hivi ni kwanini Waandishi wa Habari wa Michezo wa Tanzania mnapenda sana Kuzusha na Kutuchonganisha Yanga SC na Vilabu vyenye hao Wachezaji mnaotuhusisha nao kuwa tumeshawasajili? Ukweli ni kwamba mpaka hivi sasa naongea nawe hivi Yanga SC haijasajili Mchezaji yoyote yule kutoka nchi yoyote na...
Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa.
Kama uwezo upo, hakuna asiyependa elimu nzuri kwa watoto wake. Wakina Junior wengi hupelekwa kusoma English Medium...
SABAYA FOR CHANGE (S4C)
Another day, better than Yesterday. Katika simu na jumbe nyingi nilizopokea swali lililojirudia mara nyingi ni "Iwapo Sabaya anashtakiwa na Serikali, je nyinyi mliosimama kwa upande wa sabaya mmeamua kupambana na Serikali?"
UFAFANUZI WA KWANZA:
Well, Hatupambani na...
Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu.
Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
Ndugu wanajamvi leo nataka nigusie kuhusu wimbi letu la vijana wa hili taifa la Tanzania:
Moja, vijana tupambane katika kutafuta riziki ya kila siku vijana tujikubali na tuweze kuuachia ubongo uweze kutafsiri vyema namna ya kupambana na maisha ya kawaida ya kila sikh na so kutegemea mtu ama...
CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji, ni aibu kubwa sana kwa CCM Kwani haiwalipi watendaji wake hata Senti Tano ikiwa ni sehemu ya mshahara.
Hii ni aibu kubwa , mwenyekiti wa CCM Taifa ili kukiboresha chama Anza na hilo. Chama kuendeshwa kwa njia hiyo ninkuzalisha Wala Rushwa na...
Jana usiku limepasuka bomba kubwa la maji linalolisha katikati ya Jiji la DSM.
Katika taarifa ya habari ITV saa mbili, Mtendaji mkuu wa DAWASA amesema bomba hilo limepasuka kutokana na ujenzi unaoendelea, kitu ambacho si kweli.
Wakati huo huo bomba kwingine limepasuka huko Mlimani .
DAWASA...
Huwa kuna kishawishi kuwa Mimba ni Kama kauvimbe tu, kwa hakika hata Kama ni mimba ya siku moja, kuitoa ni dhambi na wale wote wanaoshiriki kuitoa mf. Madaktari na Wauguzi waliofanikisha Mpango huo, Mume au boyfriend aliyesupport kwa namna yoyote, wote wana hatia mbele ya Muumba.
Kila kiumbe...
Ilifikia wakati Wananchi akiwemo mimi nilianza kupoteza imani kwa Viongozi wa Serikali kutokana na kutofautiana sana kati ya kauli na matendo yao, na kati ya mambo yalivyo na yanavyotakiwa kuwa.
Mfano:
1. Wafanyakazi wanaambiwa warudi nchini lakini wanaporudi wanafikia TAKUKURU na mahabusu.
2...
Huyu mama nilimuheshimu na kuanza kumfuatilia rasmi mwaka 2011.
Ilikuwa ni kongamano la Kigoda cha Mwalimu pale UDSM kama sijakosea. Siku hiyo alikuwepo pia Prof. Lipumba ambaye watanzania wengi tulikaririshwa zamani kwamba mchumi hodari Tanzania.
Bana wee, hiyo siku ndo nilimtambua huyu mama...
Janga la COVID-19 limesababisha vifo vyamaelfu kwa mamilioni ya watu nchini China naduniani kwa ujumla, na hadi sasa ugonjwa huubado unaendelea kusomba maisha ya watu katikanchi mbalimbali ambapo serikali zimeghumiwana kutojua la kufanya kutokana na kuzidiwa amakushindwa kuudhibiti kwa urahisi...
Habari wadau!
Nimewaza sana baada ya kutangazwa zile ajira elfu tisa na za walimu na kada ya afya huku waliotuma maombi ni zaidi ya 80,000 inatia kinyaa sana kuona ajira elfu tisa tu zinajadiliwa mpaka bungeni.
Nilikuwa na mapendekezo kwamba ili tatizo la ajira linachagizwa na mambo mengi...
Yani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi.
Napenda kuishi miji midogo ama kama ni jiji basi iwe miji midogo nje ya jiji,
Napenda sehem iwe nimezungukwa na mimea zaidi...
Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi.
Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.