Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
Kesho Lissu yupo Straight talk Africa na gwiji la kupinga ufisadi Afrika PLO Lumumba, mada ni legacy aliyoiacha shujaa wa Afrika, JPM. Tuungane.

Lissu kampeni yake ya kuzunguka dunia nzima kupakaza matope taifa letu iliisha ile siku aliyokutana na balozi Wilson Masilingi. Lissu alirushwarushwa kwa hoja, akakanyagwa kwa sheria na vifungu vyake kisha akafundishwa uzalendo na balozi msomi Masilingi. Lissu jasho lilimtoka na baada ya hapo alicancel ratiba ya mahojiano na Al Jazeera, NBC na KTN na badala yake alionekana sehemu nyingine.

Baada ya Lissu kushindwa kupambana na Magu akiwa hai,ameamua kumchafua alipofariki, nape alishindwa baada ya mamilioni kuomboleza kifo chake.

Japokuwa kesho sio mdahalo hasa, Lissu inabidi ajitahidi sana kucontrol adabu yake maana sidhani kama Lumumba PLO atakubali kuona shujaa wa Afrika JPM akichafuliwa na hasira za Lissu kupata kura asilimia 9 uchaguzi uliopita.

166777217_2070728973068583_8716146655938340237_n.jpg
 
Kwamba Lumumba PLO mkenya huyu ana uchungu sana na Tanzania au na Mtanzania kuliko Lissu?

Wajameni! Tuwe serious kidogo basi.

Kwamba Masilingi alimwelemea Lissu VoA? Masilingi mwenyewe hatakubaliana na wewe kwenye hilo.

PLO akapambane na BBI na akina Ruto. Hapana kusahau hata jab ya AstraZeneca ya beberu keshapata huyu!
 
Kwamba Lumumba PLO mkenya huyu ana uchungu sana na Tanzania au na mtanzania kuliko Lissu?...

hukuwa umezaliwa au hukuwa na smartphone mkuu??

ile siku ndio nilijua wasomi wa CCM wakiweka siasa chini sio watu wa mchezo mchezo.nikagundua kitu pia,kwamba kumbe lissu huwa anatoa povu sio hoja.

sasa kesho ajipange,na sijui kama hataokba udhuru.
 
Kesho Lissu yupo STraight talk Africa na gwiji la kupinga ufisadi Afrika PLO Lumumba, mada ni legacy aliyoiacha shujaa wa Afrika, JPM. Tuungane...
Huna lolote MSAGA SUMU . Plo Lumumba Mzee wa vocabulary hawezi kuelezea uhalisia wa mambo ya Tanzania kuliko Lissu kwa sababu Lissu anayaishi wakati Lumumba siyo.

Pili ule si mdahalo bali mjadala.

Odhis *
 
Back
Top Bottom