Ni muda tena.
Katika tafuta tafuta zake akaje kunicheki na kuniomba ushauri kuhusiana na duka kiujumla duka la vyakula kama muitavyo nafaka.
Maswali aliyouliza. Je, kuanzisha biashara ya kuuza unga, mchele, mafuta, maharage nk inahitaji awe na nini (Vibari gani kisheria)
Anamaanisha je...
Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa.
Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha...
Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo...
Nashauri kuwe na TANESCO kwa kila kata hata kukiwa na fundi mmoja tuu akasaidiana na hawa mafundi wasaidizi waliopo ili kutatua changamoto za umeme ambazo zinatokea kwa sababu kuna wakati inaanguka nguzo tu ya umeme lakini inaweza kuchukua hadi wiki 2 bado hawaja badilisha wakati huduma yao...
NI WAKATI SAHIHI KWA SERIKALI KUANZISHA SHERIA ZA PRENUP KWA WANAOTAKA KUINGIA KWENYE NDOA KUEPUSHA MATAPELI.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Huwezi ukawa na sheria ya Talaka alafu muda huohuo isiwepo sheria ya PreNup. Huko ni kutengeneza mazingira ya utapeli, dhulma na kuifanya ndoa isiwe...
Habar Mwanajukwaa la Mahusiano.
Kuna jambo nimelifatilia sana ila sijapata majibu shida hua ni nini haswa?
Yani Mwanamke A anakua yupo kwa mahusaiano na mwanaume B ikitokea A Na B wakaachana Hua haichukui Round Mwanamke unasikia ana Mtu wake Mwingine tena mbaya zaidi Asilimia kubwa unakuta...
Mbunge Stanslaus Mabula: Lini Serikali Itakamilisha Mchakato wa Kuanzisha Tarafa za Igoma na Mkolani - Nyamagana
SERIKALI imesema kuwa Mchakato wa kuanzisha tarafa za Igoma na Mkolani Nyamagana ulijadiriwa na kuithinishwa katika ngazi ya Kata, Baraza la madiwani, Kamati ya Ushauri ya Wilaya na...
Kauli za Serikali kuhusu swala la Mgao wa Umeme zimekuwa kero zenyewe, maana kila siku kuna Vijisababu ambavyo havina majibu.
Sasa mimi nashauri Serikali iangalie namna ya kupata mwekezaji, ambaye atatuletea huduma hii ya kuvuna umeme wa jua na kwa hili jua la Dar yaani umeme utakuwa unanguvu...
Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu
Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC) inaendelea kutangaza fursa za uanzishwaji wa viwanda vya kuchakata mazao ikiwemo mazao ya karanga, ufuta na alizeti.
Haya yamebainishwa bungeni...
Naamini izi ni habari mbaya Sana kwa Iran,proxies wake na Israel haters wote, sasa kama maca kwenyewe wanajiunga na wayaudi Sisi ni nani hata tujitenge
Wamehamia kwenye nchi ya watu na kutaka kuanza kulazimisha matambiko ya dini yao.
=========
Four Muslim students are said to have called for the introduction of strict Islamic rules at the school - including gender segregation in lessons. The police are investigating. NRW Interior Minister...
Article: By Zakaria Maseke
zakariamaseke@gmail.com
Advocate/Wakili.
(0754575246 - WhatsApp)
Unit titles (hati pacha) ni nini? 🤷♂️ Ni mfumo ambao mtu ‘ANAMILIKI’ sehemu au chumba (apartment au portion) kwenye jengo lenye vyumba vingi. 🏬 Jengo ni moja ila mnashare wengi, 🌆 kila mtu anamiliki...
Umoja ni nguvu na changamoto na shida ni chachu ya kuleta umoja wenye nguvu.
Maisha magumu sana sana na mpango huu wa bima kwa wote ndio ccm na serikali yao ya kidhalimu itajua haiju dadadeki kudadedeki acha vita ije haraka.
Wakati wa kuukataa upumbavu ushafika.
Tusubiri yajayo yana heri
Wadiz
Dogo alisomea ukulima pale Morogoro kisha akapata fursa ya kwenda kuongeza elimu na maarifa Israel, yeye ndiye mtoto wa kwanza kwenye familia yenye watoto watano, ndoto yake ilikua akirudi nyumbani afanye ukulima biashara ila magaidi ya kidini yalikua na mawazo mengine.
Mashabiki wa hayo magaidi...
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.
Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama...
Baada tu wachezaji kuingia uwanjani mashabiki wa Brazil walianza kuwarushia vitu mashabiki wa Argentina, ndipo vurumai kubwa lilipotokea.
Wachezaji wa Argentina wakiongozwa na nahodha wao Lionel Mesi wamerudi vyumba vya kubadilishia jezi na hawajatoka mpaka sasa.
Ndugu zangu nimehangaika kutafuta pesa nikabahatika kuotea kama milion tatu sasa nataka kuendeleza hii milion tatu katika biashara
Lakini nimefikiria katika biashara ya kufanya wazo likanijia nifanye biashara ya M PESA ,,AIRTEL MONEY na TIGO PESA lakini sina uzoefu na hii biashara ..Naomba...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba unendelea salama na shughuli zako za ujenzi wa Taifa.
Leo nimeleta Mjada kuhusu aina ya Biashara inayohusisha zaidi na Ununuaji na Uuzaji wa bidhaa na huduma.Biashara hii ambayo ni biashara maarufu zaidi ulimwenguni huwa inahusisha mnunuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.