kuanzisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Hatua Alizofuata Mr.Juma Kuanzisha Na Kukuza Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja

    Utangulizi. Jina langu ni Juma, na nimejikita katika biashara ya kununua, kuendeleza, na kuuza viwanja. Safari yangu ya kibiashara inaanza miaka michache iliyopita, wakati nilipogundua fursa kubwa katika sekta ya ardhi. Mara ya kwanza nilipokuwa natafuta njia ya kujiongezea kipato, nilikumbana...
  2. realMamy

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya: Kuanzisha chuo maalumu kitakachotoa taaluma kwa dada wa kazi za nyumbani

    TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI. Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa na wazazi wao wote wawili hasa mama ambaye muda mwingi alikua nyumbani. Na katika malezi haya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Vocational training center/Vocational education training center

    Habari wakuu... Kuna utafauti gani kati ya category A - C vocational training center and category D Vocational education and training center, based registration
  4. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Urusi kuanzisha safari za moja kwa moja Moscow - Tanzania ✈️

    Russia imetangaza mwaka huu inaanza safari za moja kwa moja toka Moscow hadi Tanzania, Kuwait, Saudi Arabia, na Indonesia ✈️ This year Russian airlines will launch direct flights to Tanzania, Kuwait, Indonesia and Saudi Arabia - Ministry of Transport. --- In a move aimed at enhancing...
  5. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Halmashauri kuanzisha bloks farms na kuzikopesha kwa wakulima wadogo ili kufanya mapinduzi ya kilimo

    Namshukuru Mungu nami kupata nafasi ya kuchangia mawazo yangu katika kuitafuta Tanzania tuitakayo. Maoni yangu yatajikita katika mapinduzi makubwa ya kilimo Kwa maana ya ukulima wa mazao ya mashambani, ufugaji na uvuvi Kwa kuanzisha mfumo wa mashamba vitalu (blok farms) katika Kila halmashauri...
  6. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

    Friends and Our Enemies... Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani. Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka...
  7. pro12membe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali kuanzisha mradi wa vituo vya utafiti na maendeleo ya kilimo nchini

    MRADI WA KUANZISHA VITUO VYA UTAFITI NA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI TANZANIA. kulingana na changamoto zilizopo katika sekta ya kilimo Nchini. nikaona si vibaya kufikiria juu ya sekta hii muhimu, ambayo tunasema ni utii wa mgongo wa taifa la Tanzania. Hivyo basi nikaona kuna haja ya kuanzishwa...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zambia: Wananchi wapinga Serikali kuanzisha Sheria ya Kudhibiti Vyombo vya Habari vya Mitandaoni

    Tangazo la Serikali kuitaka Mamlaka Huru ya Utangazaji (IBA) kuongeza Kanuni mpya zitakazodhibiti Uendeshaji wa Vyombo vya Habari vya Mitandaoni limeibua malalamiko ya Wananchi wanaodai zinalenga kuminya Uhuru wa Habari na Kujieleza Baadhi ya Wanahabari na Wanaharakati wamesema "Kuna haja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mnajivua nguo kwa kuanzisha michango ya kumnunulia Lissu gari la kifahari. Hampo kwa ajili ya wananchi

    Hii kampeni ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbatia kuanzisha chama kipya cha siasa

    Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo. Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Serikali zatakiwa kuanzisha Hatifungani

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kutumia njia mbalimbali bunifu ikiwa ni pamoja na kuanzisha hatifungani ya kupata fedha ili ziweze kugharamia miradi ya maendeleo kwa njia mbadala (APF) na kupunguza utegemezi kutoka Mfuko Mkuu wa Serikali. Bashungwa...
  12. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi aitaka Wizara ya Mifugo kuanzisha wakala wa mifugo na uvuvi

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(CCM),Profesa Patrick Ndakidemi ,ameitaka wizara ya Mifugo na uvuvi kuanzisha wakala wa mifugo na uvuvi ili kuweza kusimamia sekta hiyo kwa ufanisi zaidi. Profesa Ndakidemi alikuwa akichangia makadirio ya mapato na matumizi kwenye bajeti ya wizara ya Mifugo na...
  13. Angyelile99

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tuwajenge vijana wa elimu ya juu kujitegemea zaidi kwa kuanzisha kozi za ufundi stadi na ujasiliamali vyuoni

    Tanzania ni moja ya nchi za kiafrika zenye a idadi kubwa ya wasomi ambao wamekua wakiishi kwa kutegemea kuajiriwa. Hii imekua ni desturi sasa tangu kupata uhuru miaka ya 1961, ni kwasababu ya uwepo wa mfumo wa elimu ya kikoloni unao ruhusu utegemezi zaidi. Pamoja na uwepo wa jitihada kubwa za...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

    Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  16. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Hivi humu JamiiForums hatuwezi kuanzisha vikobesha

    Yaani VICOBA ili kujikwamua katika hili na lile...ni wazo tu waungwana....au ninyi mwafikirije?
  17. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa kuanzisha BOT kule kwenye East Africa Currency Board. Na pia katika makubaliana ya muungano pia kuna...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuanzisha Men Brotherhood? Kikundi cha wanaume cha kujengana?

    Wanaume kiasili ni wasiri na wasiopenda kuwa na urafiki au vikundi kama ilivyo wanawake. Pia wanaume wengi huweka vitu moyoni na sio rahisi kufunguka yanayowasibu, wengi hawaonyeshi hisia aidha za furaha au huzuni yaani ni stoic. Lakini kwa upande mwingine mwanadamu ni kiumbe social anahitaji...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Wazungu wapewe maua yao na si lawama, Utumwa ulikuwepo Dunia nzima, Wao ndio walikuwa wa kwanza kuanzisha harakati za kuufuta

    Tunaanza na hapa kwetu Afrika, utumwa ulikuwepo hata kabla ya waarabu na wazungu kuja, hapo badae soko la watumwa wa kiafrika lilikuwa kubwa na kutufanya sisi kwa sisi waafrika tuanze kuuzana kwa wageni, hivyo nasi tulishiriki kwa kiasi kikubwa sana kwenye utumwa Warabu walikuwa na watumwa na...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara

    Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara, Utafiti unaonyesha biashara mpya zinafeli ndani ya miaka 2 tu kwahiyo vijana mnaomaliza vyuo wakati mwingine ni kheri kwanza ukatafuta kazi kuliko kukimbilia biashara maana wengi wao wanakuwa awajakomaa kwenye eneo hilo na kuna...
Back
Top Bottom