Hivi ni kwanini Wanawake ndio wanaongoza kuanzisha Mahusiano Mapya ndani ya Mda mfupi tu baada ya kuachana na Mpenzi wake?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Habar Mwanajukwaa la Mahusiano.

Kuna jambo nimelifatilia sana ila sijapata majibu shida hua ni nini haswa?

Yani Mwanamke A anakua yupo kwa mahusaiano na mwanaume B ikitokea A Na B wakaachana Hua haichukui Round Mwanamke unasikia ana Mtu wake Mwingine tena mbaya zaidi Asilimia kubwa unakuta akiachwa ndani ya Mda mfupi anakua na wanaume zaidi ya mmoja.

Akiulizwa utasikia hapa nipo naangalia nani atanifaa.
Nimeamua niulize hapa Sababu hua ni nini wanawake kuwahi vile na zaidi anakua nao wawili au zaidi at the same time.

In other side washikaji au Mwanaume utakuta anaendelea na Life Lake kama kuna kitu alipoteza kwa ajili ya yule Mwanamke au Demu utakuta anapambana tena kukipata mfano alikua amewekeza sana kwake Fedha hata vitu vya gharama mda huo utasikia anakwambia tulia nipambane kwanza nitafte kingine then nikishapata ndio nitachek Demu Mwingine au utakuta yupo na wanae tu anakula good time.

Eti Wanajukwaa Issue ni nini upande wa wanawake na wanawake wenyewe mpo humu issue hua nini nyie?
 
Mbona kama kinyume? Mostly wanaume ndio tupo faster kutengenez mahusiano mapya. Tena hatusubir sana hata hayo mapya yazingue.

Lakin wapo baadhi ya wanawake wenye kuanzisha kwa haraka, anachukua yule plan B aliyekuwa ana mpigia misele sanaaa. Kila kitu kina exceptional.
 
Ni maisha yao.
Waache waishi kwa uhuru.
 
Mbona kama kinyume? Mostly wanaume ndio tupo faster kutengenez mahusiano mapya. Tena hatusubir sana hata hayo mapya yazingue.

Lakin wapo baadhi ya wanawake wenye kuanzisha kwa haraka, anachukua yule plan B aliyekuwa ana mpigia misele sanaaa. Kila kitu kina exceptional.
Fatilia Mkuu vizur hii mi nimefanya Research Mostly maeneo yenye mwingiliano sana.
Mijini na vyuoni wadada wengi au wanawake wengi hufanya hivi hadi kupelekea kuharibika kwao.
 
Nimesoma heading tu, na jibu ni rahisi. Hawawezi kuishi bila mahusiano, kwa mwanamke, mahusiano ndio kipaumbele namba 1.

Nazungumzia Afrika lakini.
Kwa Afrika ajira namba moja ya mtoto wa kike ni kubanduliwa au kuwa mpenzi wa mtu.😂

Kupitia hio ajira ndio anapatamo vichenchi vya viwalo na kutambia mjini😁 ndio maana wanakuwa wakali sana wakipata waajiri ambao ni bahili au hawakati pochi!
 
Mbona kama kinyume? Mostly wanaume ndio tupo faster kutengenez mahusiano mapya. Tena hatusubir sana hata hayo mapya yazingue.

Lakin wapo baadhi ya wanawake wenye kuanzisha kwa haraka, anachukua yule plan B aliyekuwa ana mpigia misele sanaaa. Kila kitu kina exceptional.
Mwanaume ambaye kicheche ndio anakuwa na plan B & C wakati yuko na A. Same applies na mwanamke kicheche. Hivyo ukimuacha anahamia tawi jingine tu.
 
Sijawapangia nimeuliza tu reason behind...kama ni maisha yao Reason behind ya kuishi hivo ni nini?
Wanawake ni complicated creatures. Akili zao na zetu hazifanani. hata hao wanaosema kuwa wamekuwa liberated bado wanategemea mwanaume as head kwenye mambo yao kibao.

Kuanzisha mahusiano mapya ndani ya muda mfupi ni akili za visasi zinazowasumbua. Ndo maana hata kama ukiachana naye aka move on lakini wengi wa wanawake walioachwa wakikuona na mahusiano mapya mioyo inawalipuka na kuwachemka kwa hasira na wanatamani visasi vilipwe.

Ndivyo walivyo
 
Habar Mwanajukwaa la Mahusiano.

Kuna jambo nimelifatilia sana ila sijapata majibu shida hua ni nini haswa?

Yani Mwanamke A anakua yupo kwa mahusaiano na mwanaume B ikitokea A Na B wakaachana Hua haichukui Round Mwanamke unasikia ana Mtu wake Mwingine tena mbaya zaidi Asilimia kubwa unakuta akiachwa ndani ya Mda mfupi anakua na wanaume zaidi ya mmoja.

Akiulizwa utasikia hapa nipo naangalia nani atanifaa.
Nimeamua niulize hapa Sababu hua ni nini wanawake kuwahi vile na zaidi anakua nao wawili au zaidi at the same time.

In other side washikaji au Mwanaume utakuta anaendelea na Life Lake kama kuna kitu alipoteza kwa ajili ya yule Mwanamke au Demu utakuta anapambana tena kukipata mfano alikua amewekeza sana kwake Fedha hata vitu vya gharama mda huo utasikia anakwambia tulia nipambane kwanza nitafte kingine then nikishapata ndio nitachek Demu Mwingine au utakuta yupo na wanae tu anakula good time.

Eti Wanajukwaa Issue ni nini upande wa wanawake na wanawake wenyewe mpo humu issue hua nini nyie?
kwahyo ulitaka ukimuacha akae muda gani ndipo apate msela mwingine... tupe muongozo uonavyo ww inafaa..

alafu mwanamke hata ukiwa nae anatongozwa kwahyo akiwa huru ni jambo la kukubali tu.

alafu swala lingine ni maamuzi hata sisi wanaume kuanzisha mahusiano ni kitu simple kama kumeza mate labda kwa mwanaume domo zege zwazwa ndio hupata tabu
 
Kwa Afrika ajira namba moja ya mtoto wa kike ni kubanduliwa au kuwa mpenzi wa mtu.😂

Kupitia hio ajira ndio anapatamo vichenchi vya viwalo na kutambia mjini😁 ndio maana wanakuwa wakali sana wakipata waajiri ambao ni bahili au hawakati pochi!
Au ndio maana hadi wanarogana wakipata Wababa wenye nazo😂
 
kwahyo ulitaka ukimuacha akae muda gani ndipo apate msela mwingine... tupe muongozo uonavyo ww inafaa..

alafu mwanamke hata ukiwa nae anatongozwa kwahyo akiwa huru ni jambo la kukubali tu.

alafu swala lingine ni maamuzi hata sisi wanaume kuanzisha mahusiano ni kitu simple kama kumeza mate labda kwa mwanaume domo zege zwazwa ndio hupata tabu
Usinge ni Attack mimi uka attack mada ulikua na point nzuri sana.

Ila Asante nimekupata Mkuu.
 
hii inakwenda pande zote wapo wanaume wakiona dem kaanzisha mahusiano ndani ya mwezi walioachana basi huumia sana mfano mleta mada mpka kaamua kufuatilia inamaana yashamkuta na hakuamini alipogundua dem kasharukiwa na mwamba mwingine ndani ya muda mfupi
Wanawake ni complicated creatures. Akili zao na zetu hazifanani. hata hao wanaosema kuwa wamekuwa liberated bado wanategemea mwanaume as head kwenye mambo yao kibao.

Kuanzisha mahusiano mapya ndani ya muda mfupi ni akili za visasi zinazowasumbua. Ndo maana hata kama ukiachana naye aka move on lakini wengi wa wanawake walioachwa wakikuona na mahusiano mapya mioyo inawalipuka na kuwachemka kwa hasira na wanatamani visasi vilipwe.

Ndivyo walivyo
 
Wanawake ni complicated creatures. Akili zao na zetu hazifanani. hata hao wanaosema kuwa wamekuwa liberated bado wanategemea mwanaume as head kwenye mambo yao kibao.

Kuanzisha mahusiano mapya ndani ya muda mfupi ni akili za visasi zinazowasumbua. Ndo maana hata kama ukiachana naye aka move on lakini wengi wa wanawake walioachwa wakikuona na mahusiano mapya mioyo inawalipuka na kuwachemka kwa hasira na wanatamani visasi vilipwe.

Ndivyo walivyo
Hili Jibu lina Kitu✍️
 
Revenge au kisasi cha mwanamke ili amkomoe ex wake mara nyingi ni kutafuta bwana mwingine wa kumtomba akiamini anamuumiza ex wake

Kumbe huwa wanakosea sana mwisho wa siku anakurupukia mahusiano mapya anaenda anatumika tu na kuachwa tena

Mwanamume revenge yake ni kujiboresha kimaisha na kutafuta pisi kali zaidi yake.
 
Back
Top Bottom