kuandika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuandika sana lakini ninyi wadau mtasema

    Watoto wa shule wenye umri wa miaka13-17wanapakiwa kwenye gari na kupelekwa shamba kwa nakubaliana ya malipo ya7000 kutwa baada ya kazi ya kupanda.Je hii ni dawa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania John Boko anaenda Kuandika Historia Mpya Leo!

    Salamu, Leo Novemb 5 2023 Mshambuliaji wa Taifa Captain wa Simba ,John R.Boko.anaenda Kuandika Historia Mpya katika maisha yake ya Soka! Tukutane saa moja jioni! Nakala: Gentamycin...Aione kwenye Faili.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jamii yashauriwa kuwa na tabia ya kuandika Wosia ili kupunguza migogoro kwenye familia

    Mhasibu Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha, CPA Jenipha Josephat Ntangeki ametoa ushauri huo wa Wosia wakati akitoa elimu kuhusu umuhimu wa jamii kuzingaia wosia alipokuwa akishiriki Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha kwenye Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, Jumanne Oktoba 24...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kuna anguko kubwa sana la kujua kuandika sentensi na herufi sahihi za maneno miongoni mwetu Watanzania

    Jamani hali ni mbaya sana, watu wanajua kuhesabu lakini kusoma na kuandika ni utapia kichwa, utapia ujinga unaangamiza taifa nyakati za sasa katika uga wa mawasiliano kwa njia ya maandishi, sms, chats etc. Sijui labda ni mimi tu naliona hili. Uandishi mbovu na makosa ya herufi sahihi kwenye...
  5. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Boma linauzwa Boma Ng'ombe kwa Wasomali

    Habari za wakati huu; Kutokana na dharura hili eneo lipo Sokoni. Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali Eneo lina Boma kama linavyoonekana pichani lenye vyumba 3 sebule Jiko na Dining. Pia kuna boma dogo la vyumba viwili na sebule lipo jirani. Nyumba ziko kwenye eneo la ukubwa wa 23 kwa 17 Meters...
  6. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mtoto kufukuzwa shule ya msingi kisa hajui kusoma na kuandika?

    Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule ya Serikali kisa hajui kusoma wala kuandika. Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya Serikali. Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Taratibu jamii ya Watanzania inaanza kuinyanyapaa elimu ya mtaala wa NECTA. Unaweza kuamini msomi kama Carol Ndosi anaweza kuandika kitu kama hiki

    Wewe Mtanzania ambae bado haujajuwa kwamba sasa hivi tunaishi kwenye zama za internet na kwa sasa dunia umebadili uelekeo wake utakuja kustuka ukiwa umechoka sana. Unyanyapaa dhidi ya elimu. 1. Wasomi wana nyanyapaliwa. 2. Elimu ina nyanya paliwa. 3. Mifano inatolewa mingi kwamba ambao...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaowapa Watu Kazi za Kuandika Vibao vya Majina ya Marehemu Wetu vya Makaburini tuweni nao makini

    Jina la Marehemu nalihifadhi... Kazaliwa tarehe 7 Mwezi July, 2023 Kafariki tarehe 6 Mwezi July, 2023 Kaburi la huyu Marehemu Mpendwa liko Makaburi ya Mzimuni Kawe mita chache tu upande wa Mashariki ulipo Mbuyu mkubwa wenye Vitimbi vingi na Matukio mengi. Kadhia hii hii (ambayo ipo sana...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Usipotukana watu na kuandika matusi huwezi kuishi?

    Huwa nashangaa Sana kukuta Mtu wa umri mkubwa 20s anafoka foka huku akichoka kufoka utamkuta mtandaoni anaandika matusi. Ukiona umegonga 15 yrs unabidi kujua wewe tayari ni mtu mzima unayebidi kupambania kusudio lako la kuwa hai . Sasa inakuaje unatoboa hadi 20 yrs kichwa kimejaa matusi...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba akosoa Serikali kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu

    Waziri Mkuu, mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Serikali ya kutaka kuanza kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu, akisema ni muda mrefu kwa mchakato huo. “Tumefikia mahali kama kuna utashi wa kisiasa, tunaweza kuamua juu ya haya mabadiliko, inanipa wasiwasi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Makulumbembe gani humtisha kila rais anayetaka kuandika katiba mpya na kumfanya aonekane hayawani?

    Hili la Samia kurukaruka kama maharage ya Mbeya kuhusu kuandika katiba mpya, kinyume kabisa na dhamira yake ya awali, siyo jambo geni kutokea. Likitokea pia chini ya utawala wa Kikwete mwaka 2014. Rais Kikwete alikuwa na nia ya dhati kabisa ya kuwaachia watanzania katiba mpya. Akaanzisha...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuishi kwa kula matunda na mbogamboga pekee kila siku?

    Wakuu habarini I hope wote ni wazima wa afya. Wakuu naomba kuuliza, hivi inawezekana mtu kuishi kwa kula matunda na mbogamboga as normal diet? Nauliza hivi kwa sababu I have diagnosed kuwa damu yangu ni chafu, ina bacteria wengi sana, pia figo yangu ya kulia imevimba. Hivyo nahitaji kuhuisha...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Hakuna haja ya elimu ya uraia kuandika upya Katiba

    Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya Jaji Warioba ilishatoa ufafanuzi kuwa wananchi wanaelewa aina ya katiba wanayohitaji na hakuna...
  14. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Hamna watu wanaojua kuandika meseji za kuchoma kama wanawake wakikupiga kibuti

    Nikukumbuka meseji nilizowahi kutumiwa kama mtu ana moyo mwepesi anaweza kuchukua maamuzi ya ovyo. Wana maneno makali sana hawa viumbe kwa kweli. Alafu wanachotaka ni uwajibu chochote, ukitaka uchukue points 3 wala usijieleze sama, jibu tu OK.
  15. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuandika humu ila mlimezea, leo mnalalamikia wengine

    Mwaka jana 2022 Rais wa Zanzibar aliwahi kusema kuwa "ataongea na rais mwenzake wa Tanzania waone jinsi wanavyoweza kuanzisha mfuko wa mahujaji", mwisho wa kunukuu. Niliandika kuhoji ni vipi serikali itumie pesa za watanzania kwa ajili ya kundi moja kwenda Hija Macca! Ambao wangefaidika na pesa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtaalamu wakuweza kuandika e-newsletter kwa kutumia MailChim

    Wandugu habarini za majukumu. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, nataka mtaalamu tajwa. Connent nitaziandika mwenyewe, yeye kazi yake ni kui-design kwenye MailChimp na kushare na mimi. NB: Tayari nsha-create account ya MailChimp. Kama unaweza kuifanya/ unamjua mtu anayeweza hii...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Njia pekee kukwepa mgawanyo wa mali za ndoa ni kuandika majina ya watoto

    NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya Gabriel Nimrod Kurwijila Vs Theresia Hassan Malongo inasema kuwa mali iliyoandikwa jina la mtoto haiwezi...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Slaa awakosoa waandishi kwa kuandika habari tofauti na alichokisema

    Akiwa katika Mkutano na waandishi wa habari, Dr Wilbroad Slaa amewalaumu waandishi wa habari kuwa walipewa fedha ili kuandika habari kuwa Dr. Slaa akubali mkataba wa bandari. Ambapo amesema kuonesha kuwa wamepokea fedha hata vichwa ya habari vilifanana kwa magazeti saba. Slaa ameongeza kuwa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hamad Masauni: Kamera zenye Mfumo wa utambuzi wa Sura kufungwa Dar es Salaam, Arusha na Dodoma

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 35 leo Mei 29, 2023. Ufungaji wa kamera za Ulinzi Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Hamad Masauni amesema Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi limekamilisha mradi wa ujenzi wa mji salama utakaotumia kamera zenye mfumo wa...
  20. aka2030

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa yanga uombe zuio mahakamani baadhi ya vyombo vya habari kuandika kuhusu yanga

    Hii itasaidia sana kudhibiti vyombo vya habari na waandishi wa hovyo Wafanye kama alivyofanyaga manji kuzuia vyombo vya habari ya mengi kuandika kuhusu yeye Kwa kuanzia waanze na kuzuia Efm na TVE kuzungumza kuhusu yanga Kisha waje na baadhi ya waandishi uchwara kama juma ayo Hii italeta nidhamu...
Back
Top Bottom