Plot4Sale Boma linauzwa Boma Ng'ombe kwa Wasomali

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,497
5,533
Habari za wakati huu;

Kutokana na dharura hili eneo lipo Sokoni. Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali Eneo lina Boma kama linavyoonekana pichani lenye vyumba 3 sebule Jiko na Dining. Pia kuna boma dogo la vyumba viwili na sebule lipo jirani.

Nyumba ziko kwenye eneo la ukubwa wa 23 kwa 17 Meters

Kwa wale ambao huwa wameleta concerns kuhusu BEI basi Starting Price ni 26 Milion Tanzania Shilling Negotiable

Kwa wasiofahamu Eneo la Wasomali lipo Mpakani wa Wilaya za Hai na Siha Mkoani Kilimanjaro
Boma.jpg

Size ya eneo ni 17 by 23m
Bei ni Maelewano.Tunaweza kuwasiliana kwa simu 0710323060 kama unahitaji maelezo zaidi.

Eneo limechangamka na umeme na maji yapo jirani. IT IS MUST GO DEAL so ni ya kuchangamkia.
 
Acha ubabaishaji weka bei mkuu
Mkuu ubabaishaji ni upi Mkuu, AU tafsiri ya bei maelewano huelwagi? Mali Ipo Sokoni, maelezo nimeweka in Brief, Mawasiliano nimeweka ili kufupisha biashara.

Hii inatakiwa iuzwe maana kuna dharura kama uko interested usisite kuwasiliana Boss
 
Kwa hiyo nitumie gharama zangu kukupigia simu ili nijue bei? You're not serious
Sasa unafikiri kama gharama ya kupiga simu tu inakupa stress unafikri nikiweka BEI utakuwa na uwezo w kupiga?Haya kwa wewe tuanze na Milioni 2.Umeridhika maana wakati mwingine Mtu anapoamua kutokuweka bei anakuwa na sababu zake za Msingi kabisa.Au unafikiri nilivoweka namba ya simu hapo nimeweka ili nini?You are not serious
 
Acha kudharau wateja wewe! Kwani ukiweka hiyo bei utapungukiwa nini?
 
Acha kudharau wateja wewe! Kwani ukiweka hiyo bei utapungukiwa nini?
Mkuu wala sio dharau kwa wateja Mkuu,Nikishaweka Bei hapa Nimejifunga,Na mimi nahitaji kuiuza Very Fast but nihakikisha napata best available Price.So nikiweka Bei hapa ambayo ni chini sana nakuwa nimejifunga na nikiweka pia ya juu sana nayo ita slow down Business.Ni namna tu nilivyoamua kufanya Biashara wala sio swala la dharau.Siwezi mdharau mteja bwana.Ningekuwa sijaweka namba ya simu kabisa Hapo sawa Ila hii kitu inatakiwa iondoke very fast at the best available price.
 
Habari za wakati huu;

Kutokana na dharura hili eneo lipo Sokoni. Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali Eneo lina Boma kama linavyoonekana pichani lenye vyumba 3 sebule Jiko na Dining .Pia kuna boma dogo la vyumba viwili na sebule lipo jirani.View attachment 2777899

Bei ni Maelewano.Tunaweza kuwasiliana kwa simu 0710323060 kama unahitaji maelezo zaidi.

Eneo limechangamka na umeme na maji yapo jirani.IT IS MUST GO DEAL so ni ya kuchangamkia.
Hapo si ndio penye mafutiko kipindi cha mvua.

Picha yenyewe ya kuibia!
 
Mkuu wala sio dharau kwa wateja Mkuu,Nikishaweka Bei hapa Nimejifunga,Na mimi nahitaji kuiuza Very Fast but nihakikisha napata best available Price.So nikiweka Bei hapa ambayo ni chini sana nakuwa nimejifunga na nikiweka pia ya juu sana nayo ita slow down Business.Ni namna tu nilivyoamua kufanya Biashara wala sio swala la dharau.Siwezi mdharau mteja bwana.Ningekuwa sijaweka namba ya simu kabisa Hapo sawa Ila hii kitu inatakiwa iondoke very fast at the best available price.
Weka ukubwa wa eneo husika pia picha nyingine zenye ubora na zinazoonesha kwa uwazi boma zote mbili.
 
Boss,tufanye biashara hii bado ya moto.Urgently.Kama kuna issue ndio maana nimeweka contacts
Haupo serious mkuu.

Hujaeleza ukubwa wa eneo upo vipi, picha ya jengo nayo umeipiga kimachale sana , na mapungufu mengine mengi wanajukwaa wameyaeleza. .

Hebu weka taarifa zote hapa hadharani ili tuweze kufanya maamuzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom