Niliwahi kuandika humu ila mlimezea, leo mnalalamikia wengine

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,673
22,264
Mwaka jana 2022 Rais wa Zanzibar aliwahi kusema kuwa "ataongea na rais mwenzake wa Tanzania waone jinsi wanavyoweza kuanzisha mfuko wa mahujaji", mwisho wa kunukuu. Niliandika kuhoji ni vipi serikali itumie pesa za watanzania kwa ajili ya kundi moja kwenda Hija Macca! Ambao wangefaidika na pesa hizo walinibeza japo wengine walimezea.

Hao wanaolalama kuwa serikali inayapatia makanisa pesa wasidhani serikali nayo inatoa sadaka, pesa hizo ni kwa ajili ya kufidia huduma ambazo serikali imeshindwa kuzitoa na zinatolewa na makanisa kwa niaba yake. Ni hivi karibuni serikali ilifanya makubaliano na Aga Khan katika misingi hiyohiyo.

Hebu tujiulize ni waislamu gani waliojenga msikiti na makao makuu ya Bakwata Kinondoni? Ni waislamu gani waliojenga chuo kikuu cha kiislamu Morogoro? Mbona hakuna waliolalamika, tuamini kuwa serikali haigawi hela hivihivi ni lazima ziwepo sababu za msingi, jenga mradi utakao lenga jamii moja kwa moja serikali itakusaidia(ruzuku).
 
Mwaka jana 2022 mhe. Rais wa Zanzibar aliwahi kusema kuwa "ataongea na rais mwenzake wa Tanzania waone jinsi wanavyoweza kuanzisha mfuko wa mahujaji", mwisho wa kunukuu. Niliandika kuhoji ni vipi serikali itumie pesa za watanzania kwa ajili ya kundi moja kwenda Hija Macca! Ambao wangefaidika na pesa hizo walinibeza japo wengine walimezea.
Hao wanaolalama kuwa serikali inayapatia makanisa pesa wasidhani serikali nayo inatoa sadaka, pesa hizo ni kwa ajili ya kufidia huduma ambazo serikali imeshindwa kuzitoa na zinatolewa na makanisa kwa niaba yake. Ni hivi karibuni serikali ilifanya makubaliano na Aga Khan katika misingi hiyohiyo.
Hebu tujiulize ni waislamu gani waliojenga msikiti na makao makuu ya Bakwata Kinondoni? Ni waislamu gani waliojenga chuo kikuu cha kiislamu Morogoro? Mbona hakuna waliolalamika, tuamini kuwa serikali haigawi hela hivihivi ni lazima ziwepo sababu za msingi, jenga mradi utakao lenga jamii moja kwa moja serikali itakusaidia(ruzuku).
Umechambua vizuri sana na ndio jibu sahihi wanalotaka kulifunika kufanikisha ajenda zao haramu dhidi ya rasilimali za asili za umma.
 
Zile mnazopewa kila mwezi kwenye hospital zenu mishahara mnalipiwa na Huduma gharama zake ni zilezile tu kama private sectors nyingine na hamna Huduma ya bure au bei rafiki hamuoni kama ni mfumo kristo???? In short ni business kama business nyingine na huo ukweli mnaujua

Alafu hivi hujui tu kuwa zenji ni nchi kiislam au unataka iwe ya kikafiri?? Usiwaingilie wazenji waache, mnataka hadi zenji mpeleke mfumo kristo??? Wala hamuwezi hilo kamwe, na kuhusu muungano ni matamanio ya nyerere so matamanio yake yasibadili tamaduni za watu, zenji deep inside itaendelea kuwa dola ya kiislam mpaka qiyama, ila huku juu tutakuaminisheni kuwa ni Tanzania na haina dini
 
Umewahi kwenda kutibiwa kwenye hospitali hizo au unasema tu, usiandike kitu usichokuwa na uhakika nacho, kuna mmoja aliwahi kuandika kuhusu KCMC alijaza uongo tufauti na kilichopo kwenye hospitali hiyo. Nakushauri nenda vijijini ukawaambie wanakijiji wasiende kwenye za misheni, utakipata unachokitafuta.
Unaniambia Zenji ni nchi ya kiislamu na kodi zetu pia ni za kiislamu!

Naomba usinijibu maana unaanza kutukana kutokana na kuishiwa hoja.
 
Hakuna la kusema zaidi kuwaombea neema ya Yesu kristo iwafunike hawa ndugu zetu.
 
Zile mnazopewa kila mwezi kwenye hospital zenu mishahara mnalipiwa na Huduma gharama zake ni zilezile tu kama private sectors nyingine na hamna Huduma ya bure au bei rafiki hamuoni kama ni mfumo kristo???? In short ni business kama business nyingine na huo ukweli mnaujua

Alafu hivi hujui tu kuwa zenji ni nchi kiislam au unataka iwe ya kikafiri?? Usiwaingilie wazenji waache, mnataka hadi zenji mpeleke mfumo kristo??? Wala hamuwezi hilo kamwe, na kuhusu muungano ni matamanio ya nyerere so matamanio yake yasibadili tamaduni za watu, zenji deep inside itaendelea kuwa dola ya kiislam mpaka qiyama, ila huku juu tutakuaminisheni kuwa ni Tanzania na haina dini

Punguza hasira,mfumo kristo huwezi kuukwepa katika dunia hii acha kujitoa akili.

Na zenji kamwe haitokuja kupewa mamlaka kamili for you information.
 
Umewahi kwenda kutibiwa kwenye hospitali hizo au unasema tu, usiandike kitu usichokuwa na uhakika nacho, kuna mmoja aliwahi kuandika kuhusu KCMC alijaza uongo tufauti na kilichopo kwenye hospitali hiyo. Nakushauri nenda vijijini ukawaambie wanakijiji wasiende kwenye za misheni, utakipata unachokitafuta.

Zile mnazopewa kila mwezi kwenye hospital zenu mishahara mnalipiwa na Huduma gharama zake ni zilezile tu kama private sectors nyingine na hamna Huduma ya bure au bei rafiki hamuoni kama ni mfumo kristo???? In short ni business kama business nyingine na huo ukweli mnaujua

Alafu hivi hujui tu kuwa zenji ni nchi kiislam au unataka iwe ya kikafiri?? Usiwaingilie wazenji waache, mnataka hadi zenji mpeleke mfumo kristo??? Wala hamuwezi hilo kamwe, na kuhusu muungano ni matamanio ya nyerere so matamanio yake yasibadili tamaduni za watu, zenji deep inside itaendelea kuwa dola ya kiislam mpaka qiyama, ila huku juu tutakuaminisheni kuwa ni Tanzania na haina dini
Leo huko Arusha kanisa limetoa ufafanuzi mzuri mbele ya Rais kuhusu nyie mnaopotosha jamii ya mjini kuhusu hizo pesa, jamii ya vijijini wao wanafaidika na pesa hizo kutokana huduma za bure wanazozipata kupitia miradi ya makanisa.
 
Zile mnazopewa kila mwezi kwenye hospital zenu mishahara mnalipiwa na Huduma gharama zake ni zilezile tu kama private sectors nyingine na hamna Huduma ya bure au bei rafiki hamuoni kama ni mfumo kristo???? In short ni business kama business nyingine na huo ukweli mnaujua

Alafu hivi hujui tu kuwa zenji ni nchi kiislam au unataka iwe ya kikafiri?? Usiwaingilie wazenji waache, mnataka hadi zenji mpeleke mfumo kristo??? Wala hamuwezi hilo kamwe, na kuhusu muungano ni matamanio ya nyerere so matamanio yake yasibadili tamaduni za watu, zenji deep inside itaendelea kuwa dola ya kiislam mpaka qiyama, ila huku juu tutakuaminisheni kuwa ni Tanzania na haina dini
Zanzibar sio nchi ya kiislamu, Bali Zanzibar Kuna waislam wengi.
 
Hawa jamaa kila kitu mpaka assist kama walemavu!

Inasemekana hata Baraza lao "walisaidiwa" kuundiwa na serikali.
 
Bakwata iliundwa na serikali miaka ya sitini na walipewa eneo pale Chang'ombe karibu na Duce, wamisri waliwaanzishia hospitali hapo ila iliyumba.
 
Mtoto wa nje ya ndoa nae anataka vyumba vya mbele???we subiri chumba cha uani karibu na choo 😎😎😎😎
 
Back
Top Bottom