kuandika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu ya kuandika makala nzuri (bora)

    Salaam Wakuu, Katika andiko la leo tutaangalia mbinu za ujumla za kuandika makala. Natambua kuwa zipo aina nyingi za makala na upo uandishi wa aina nyingi lakini uzi huu utajaribu kuangalia mbinu za msingi ambazo zinaweza kutumika kuandika makala. Tambua ya kuwa miundo ya kuandika Makala ipo ya...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Tuna wajibu wa kuwaelimisha Vijana wa CCM umuhimu wa kuandika Katiba Mpya

    Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa. Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), kuanza kuandika Vitabu vya Kiada kwa Masomo ya Ufundi Kidato cha Kwanza hadi cha nne

    Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa makubaliano hayo jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Juni 17, 2021 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo amesema ni wazi kuwa wataalamu wa masomo ya ufundi wapo kwenye vyuo vya ufundi na hana shaka na wataalamu...
  4. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Program ya kuandika wimbo kwa Notation na kutengeneza sauti

    Habari wakuu, Nahitaji program itakayonisaidia kuandika nyimbo kwa staf notation pamoja na kupangilia sauti kwenye kwaya. Msaada tafadhali
  5. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe ni mzuri wa kuandika ila sio kwenye TV au redio

    Enzi niko sekondari nilikuwa napata marks za juu somo la English ila kuongea ilikuwa shida. Sasa huyo kumwembe nimefuatilia makala zake kwenye mitandao na gazetini yuko vizuri. Sababu inaonekana huwa anafanya research kabla ya kuandika, lakini kwenye TV na radio si mzuri, hana sauti, anakosa...
  6. dennoo_appliances

    JamiiForums Tanzania Utumishi, hiyo format ya kuandika namba ya Kidato cha nne na Sita ni ipi?

    Msaada hio formatt ya kuandika namba ya kidato Cha nne na sita ni ipi kwa anayejua kupitia Utumishi, nimeandika kawaida (SXX/XXX) imegoma, wanasema ni (SXX - XXX) nimeweka hiyo - imegoma
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Derby Simba na Yanga, Simba ni wasaa wa kuandika historia

    Simba mtoani Kaiser Chief nusu fainali Muingie fainali..! Ndio...! Historia itasema kuwa Yanga wali utilise loophole ya kubadili ratiba kukikimbia kikosi hatari cha Maangamizi cha Simba 8/5/2021 Kilichotinga Nusu fainali/Fainali ya Champions League Ya CAF 2021 kuepuka Aibu ya Maangamizi Ya...
  8. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao

    Nchi yetu inasifika kwa kuwa na waajiri wasiowaaminifu. Hili mimi mwenyewe nimejionea. Sasa basi, ili kusaidia kukomesha hili tupeane mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao. Weka kazi yoyote, uhasibu, ualimu, mabaa medi, fundi ujenzi, udereva nk. Wizi sio lazima pesa, weka wezi...
  9. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kimbunga kizito kinakuja kutandika Dar es Salaam Jumatatu ijayo. Mjitahadhari

    Majirani mjitahadhari dhidi ya Kimbunga Kikali kinachokuja kubamiza Dar juma tatu ijayo. Kimbunga kitakuwa na upepo unaovuma at 100 kph Rare tropical cyclone is approaching one of Africa's most populated cities By Pedram Javaheri, CNN Meteorologist Updated 7:51 PM EDT, Thu April 22, 2021...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Mwafaka sasa wa kufanya amendment kwenye sifa ya elimu kwa mgombea ubunge, badala ya kujua kusoma na kuandika, twende mbali zaidi

    Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili. Hivyo ni bora sasa bunge letu kuwa na wabunge wenye elimu zaidi ya kusoma na kuandika ili kwenda...
  11. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kuandika matangazo yenye mvuto

    Somo letu la Leo tutazungumzia Jinsi ya kuandika matangazo yenye mvuto. Kwa hivyo kama unafanya biashara, unauza bidhaa au unatoa huduma, labda umeshawahi kujaribu kuandika matangazo lakini hujapata matokeo mazuri basi naomba ufuatilie kwa umakini sana makala hii kwani nataka nikupe fomula...
Back
Top Bottom