Hamna watu wanaojua kuandika meseji za kuchoma kama wanawake wakikupiga kibuti

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
Nikukumbuka meseji nilizowahi kutumiwa kama mtu ana moyo mwepesi anaweza kuchukua maamuzi ya ovyo. Wana maneno makali sana hawa viumbe kwa kweli.

Alafu wanachotaka ni uwajibu chochote, ukitaka uchukue points 3 wala usijieleze sama, jibu tu OK.
 
Unawezaje kwa habari ya mwanamke ambaye alimwacha mumewe ndani akaenda huko bustanini kuongea na nyoka?

Hivi unawazaje wanawake walivyo na mioyo migumu.

Unajibiwa lolote japo baadae huwa tunajutia 😎😎
 
Nikukumbuka meseji nilizowahi kutumiwa kama mtu ana moyo mwepesi anaweza kuchukua maamuzi ya ovyo. Wana maneno makali sana hawa viumbe kwa kweli.

Alafu wanachotaka ni uwajibu chochote, ukitaka uchukue points 3 wala usijieleze sama, jibu tu OK.
Akitukana wew usimjibu kaa kimya
 
Unawezaje kwa habari ya mwanamke ambaye alimwacha mumewe ndani akaenda huko bustanini kuongea na nyoka?

Hivi unawazaje wanawake walivyo na mioyo migumu.

Unajibiwa lolote japo baadae huwa tunajutia
Hua mnajutia nini?
 
Nikukumbuka meseji nilizowahi kutumiwa kama mtu ana moyo mwepesi anaweza kuchukua maamuzi ya ovyo. Wana maneno makali sana hawa viumbe kwa kweli.

Alafu wanachotaka ni uwajibu chochote, ukitaka uchukue points 3 wala usijieleze sama, jibu tu OK.
Screenshot_20230826-221757.jpg
 
Nikukumbuka meseji nilizowahi kutumiwa kama mtu ana moyo mwepesi anaweza kuchukua maamuzi ya ovyo. Wana maneno makali sana hawa viumbe kwa kweli.

Alafu wanachotaka ni uwajibu chochote, ukitaka uchukue points 3 wala usijieleze sama, jibu tu OK.
Mimi mmoja nilikuwaga namnyenyekea sana. Akaanzaga madharau kwasababu alijua hata akifanya nini siwezi muacha. Namuona kabisa yuko online whatsapp nikimtext hasomi. Basi ikaniuma. Sijui ujasiri ulitoka wapi nikampotezea. Baada ya wiki akaanza mwenyewe hi baby na mimi nikamchunia. Akaniomba niende kwake nikamkubalia lakini sikuenda. Akanipigia unakuja nkamuambia niko njiani kumbe nimevuta blanket nalala. Akapiga tena kwa kufoka where are you? Nikamjibu am sorry i can't come because when i was on the way coming i was attacked by herd of goats and they bite me very seriously na nikaanza kulia kwenye simu kama mbuzi meeeh meeeh meeh. Nikasikia tu fakyuu go back to Africa na kukata. Nikajisemea tu tayari nimeshakuwini kisaikolojia na kuendelea kulala.

Chaliifrancisco King Kong III Victoire Magonjwa Mtambuka Ncha Kali hydroxo Myahudi Jr II
 
Mwanaume ukivunjiwa heshima na mwanamke hautakiw kujieeleza ni udhaifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom