Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?
Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu.
Kwa mujibu wa gazeti...
Huwa sipendi kuwachosha wanajukwaa naenda moja kwa moja kwenye maada.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa " kuna kero ya board ya mikopo ya elimu ya juu hususni sheria mpya ya mwaka 2016.
Sheria hii mhe Rais ni kandamizi kwa sababu ya mambo mawili,mosi sheria hii inatumika kuwakata...
Mheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili.
Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia nguvu kukusanya kodi, kufungia biashara zao, kunyang'anya fedha kwenye akaunti kisa Sheria inawaruhusu...
Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?
Mfano naomba mnisaidie maswali haya:
1. Tutapata wapi fedha za kuwalipa wafanyakazi mishahara kila mwezi?
2. Tutapata wapi fedha za kuwakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu mikopo ya elimu?
3. Tutapata wapi fedha za...
Najua wapo watakao sema ni ukatili, hapana.
Kama ambavyo wafanyakazi wanao lipwa sh hata laki nne kwa mwezi hukatwa Kodi kila mwezi, ni wakati wa wafanyabiashara tajwa kulipa Kodi halali itakayo kusanywa na TRA, sio hivyo vitambulisho vya 20,000 ambayo hatujawahi kuambiwa huwa inakwenda wapi...
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.
Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa...
Ni ushauri mzuri kabisa ambao kama ukifuatwa basi mambo ya kubambikia kesi watu na walipakodi kuonewa kutakwisha. Hii kitu Lissu aliisema sana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
In The Wealth of Nations (1776), Adam Smith argued that taxation should follow the four principles of:-
fairness-that taxation should be compatible with taxpayers' conditions, including their ability to pay in line with personal and family needs;
certainty-meaning that taxpayers should be...
Suala la sensa katika nchi yoyote ile ni muhimu sana. Sensa hutoa picha halisi ya idadi ya watu katika nyumba katika nchi nzima.
Sensa pia hutoa taarifa rasmi ambazo zitasaidia serikali kupanga namna ya kutoa huduma mbalimbali nchini kama usafiri, elimu na afya. Hivyo kila nyumba katika nchi...
Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk biashara na ni tatizo la mazoea.
Wakati mukilenga kumtisha rais, kumbukeni pia kuna maelezo ya kupanua...
TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha
Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF...
Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
Ndugu wa Tegeta
Ndugu wa Mbezi Beach
Ngugu zetu wa goba mupoo
Chumba cha 50,000/=
6 months nalipa
Wapangaji wasizidi wa 3
Mwenye nyumba asiwepo mazingira gari iwe inafika hapo
Gypsum
Tiles muhimu
Ikiwa master ni vizuri zaidii...
Msaada jamani
RAIS SAMIA AAWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI NA KATIBU MKUU KIONGOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu amewaapisha mawaziri nane, na manaibu waziri 8 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Dodoma.
Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Katanga amechukua nafasi ya Bashiru Ally. Mwaziri walioapishwa ni...
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kodi na shughuli za maendeleo zinazofanywa na Serikali.
"Tunapotaka Serikali ifanye shughuli zaidi za maendeleo kwa fedha tunataka Serikali itumie fedha zaidi. Na kama Serikali haina fedha zaidi tunataka izipate, yaani iongeze kodi (Nyerere, 1968, uk. 20) "
Ukitaka...
Naanza kujiuliza upi msimamo wa Waziri wa Fedha kwenye kukusanya mapato? Bado ataendelea kusimamia mfumo wa mabavu?
Makamu wa Rais pia alikuwa Waziri wa Fedha wakati wafanyabiashara wananyanyaswa, leo trilioni mbili anazoelekeza litakusanywa kwa mfumo wa zamani au njia aliyoelekeza Rais...
Kwanza nianze kwakumpongeza mh Rais wetu mama Samia kwani zipo dalili zote kwamba ameanza vizuri kwenye mambo ya kodi hatahivyo yapo mambo lazima yatizamwe vizuri.
Ni wazi kwamba kwa namna TRA ilivyozoea/kuzoeshwa kukomesha wafanyabiashara ni ngumu sana kuondoa misuguano kati ya...
Wakuu naomba kutangaza kwamba ninayo maslahi kwenye suala hili maana mimi ni mfanyabiashara wa ndani na nje ya nchi , ni mlipa kodi
Kwa takribani miaka sita sasa Sisi wafanyabiashara wa nchi hii tunahenya , makadirio ya kodi kubwa , vitendea kazi tunavyoagiza kutoka nje ya nchi zikiwemo matirio...
Wakenya washinikiza kuondolewa kwa masharti ya kuzuia corona
Baadhi ya makundi ya kijamii nchini Kenya yametishia kufanya maandamano ya kupinga masharti ya kudhibiti maambukizi ya corona.
Wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alipiga marufuku usafiri wa kutoaka na kuingia majimbo matano...
Baada ya kusikia watu wengi 'wakiumizwa' na 'kupigwa' wakiwa kwenye harakati za kutafuta usafiri uliotumika nchini, nimeona sio mbaya nikitoa ushauri ni jinsi gani unaweza kuepuka majanga kwenye zoezi hilo.
Naandika kama mnunuzi au muuzaji wa aina hio ya magari, kwahio siegemei upande wowote na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.