Tundu Lissu: Bila kuweka taxpayers bill of rights walipa kodi wataendelea kuonewa na kupata dhuluma.

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,788
2,000
Hiki ndio kichwa nchi hii pamoja na kina Lema na wengineo.

Wakati Lissu akiyanena haya wakati ule wa kampeni, CCM walimshambulia, ila leo Mama anatembea mule mule ingawa bado ni kwa maneno matupu.

Kinachomgharimu Tundu Lissu nchi hii ni uwezo wake wa kuona mbali katika Taifa ambalo watu wengi uwezo wao wa kuona mbali ama ni mdogo, au wameacha watawala wafikiri kwa niaba yao, bila kusahau njaa inayozaa unafiki kwa baadhi yetu.
 

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
7,703
2,000
Ni kweli turekebishe sheria,hata za vyombo vya habari ni yaleyale,Tutafungulia lakini kwakua sheria inayosimamia ni ileile watapigwa vifungo tu
 

mkandu

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
232
500
Hapa ndipo panaingia madhaifu ya hizo sheria hivi kuna kipengele chochote kinachofunga kuwa prezider hawezi kuzibadilisha akishika mpini na hayo yamejibainisha kwa yaliyojizihirisha kwamba kaweka yale yanayoonwa ni madudu ila huyu nae aweza kuzipangua na akaja mwingine akazirejesha hapa ndipo nabaki kuzikubari zile za Mungu pekee hizi za mijadala mawengeeee tuuuuupuuuu
 

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
31,841
2,000
Tundu lissu akisema simba ikienda kucheza na al ahly asicheze mkude bali nafasi yake acheze mzamiru kuna watu watasema huyu jamaa ni bonge la genius...
Hatari sana.
 

Ramark

JF-Expert Member
May 19, 2015
1,892
2,000
Waziri tunategemea resume hiyo mapema ili ipitishwe june
Wadau tuanze kuichambua mapema
 

Pslmp

JF-Expert Member
Mar 18, 2021
1,624
2,000
Kodi ni eneo ambalo kila mtu huwa hapendi kulifanya Kwa hiari tokea enzi za Yesu, majamaa yalipeleka mashitaka kwake kutaka kujua kama ni halali kulipa Kodi,

Wakusanya Kodi walionekana ni majitu yasiyo na huruma ili Hali shida ni mlipa Kodi ndiye mwenye shida, mlipa Kodi hata akiambiwa alipe buku Bado ni shida

Ninauhakika, swala hili huwa halibebwi kisiasa, ukilibeba kisiasa, tegemea kufeli mipango ya serikali yako!!

Nani asiyewajua walipa Kodi bhana!!

Sio waungwana toka enzi na enzi
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
6,154
2,000
Kupewa, Kuwepo kwa Sheria bado Hakuondoi Kuonewa na Kuvunjwa kwa hio Sheria...

Ni mangapi yapo kisheria kwenye makaratasi ambayo yalivunjwa na yanavunjwa? Until that day ambapo watu watakuwa na morals/ubinadamu au hao wapindisha sheria watakapoanza kuhukumiwa huenda ndio tutapata mabadiliko..., Tatizo kubwa ni utekelezaji wa hizo sheria kuhakikisha kweli ni msumeno.
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
6,154
2,000
Ila hayuko original ni mvizia matukio ndio adakie ubunifu zero ! Mtu aseme ndio kwa mbali akili zinakuja!!!
Hivi kiongozi anahitaji ubunifu au inabidi atafute solution kutokana na matukio (au kuunganisha kuwapa fursa wataalamu watafute suluhisho)...

Ubunifu kwani huyu ni Msanii ?
 

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,720
2,000
Ni ushauri mzuri kabisa ambao kama ukifuatwa basi mambo ya kubambikia kesi watu na walipakodi kuonewa kutakwisha. Hii kitu Lissu aliisema sana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu

View attachment 1745100
Mtu yeyote akiliamini hili taahira, akili zake zitakua sawa na za ng'ombe, jamaa limedanganya hata kwa Shaka Sali, eti Mashauri mlinzi wa Magufuli amekufa na corona!! Hili chizi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom