kodi

  1. mgt software

    JamiiForums Tanzania Serikali bila kufungua viosk vya kukatia tiketi hili la electronic ticket hamtoweza, wajanja wa mabasi ndio tegemeo lao kukwepa kodi

    Wana JF, Baada ya Serikali kutoa tamko la kukata ticket kieletroniki sasa wafanyabiashara wa Mabus kwa kushirikiana na brokers au madalalie wa ticket. Kibaya zaidi hupewi ticket baada ya kutoa fedha. Leo nimejifunza kitu gari no. T 195DAV KVC Safari karibu abaria wote hawana ticket. Jambo...
  2. kidadari

    JamiiForums Tanzania Kodi kubwa kwenye magari kwa kigezo cha kulinda mazingira haijaleta ufanisi wowote

    Wakati serekali ikikazana kuongeza kodi kwenye magari mtumba(used) kwa kigezo za kulinda mazingira imeonyesha kutokua na ufanisi wowote. Kodi imeongezwa ili wananchi waache kununua magari yaliyotengenezwa miaka mingi na kununua ya miaka ya karibuni ili kulinda maizingira. Je, idadi ya magari...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa lisilokusanya kodi haliwezi kujiendesha. Awamu hii ya tano inajinasibu kukusanya tri 2. Je, Watanzania wananufaika?

    Bandugu bana Jf, ni wazi kuwa taifa letu linajinasibu kuwa lipo vizuri kimapato. Pamoja na mdororo wa uchumi ulioletwa na Covid 19, leo hii tril mbili zinatinga hazina. Je, haya mapato yanawanufaisha watanzania? Kwamba miundo mbinu, elimu afya na sekta muhimu zimekuwa stable? Leo hii Mtanzania...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ipitie upya masuala ya kodi kwa makampuni ya kibiashara

    Ile dhana ya kwamba makampuni mengi ya kibiashara kufunga biashara zake na kupunguza wafanyakazi limenikuta mbashara sasa. Ni baada ya kampuni moja ninayofanyia kazi kuanza kupunguza wafanyakazi na kufunga baadhi ya vituo vya kibiashara kutokana na kodi kua kubwa huku mauzo yakipungua kila...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka TRA kuacha kubambikia wafanyabiashara kodi, asema wanakadiria kodi kubwa ili wapewe rushwa!

    Rais Magufuli ameitaka TRA kuacha kuwabambikia kodi wafanyabiashara na badala yake watoe makadirio ya haki. Rais Magufuli amesema tabia ya kubambika kodi inawafanya wafanyabiashara washindwe kulipa na kutafuta njia za kukwepa kabisa kulipa. Rais Magufuli amesema baadhi ya watumishi wa TRA...
  6. ndiuka

    JamiiForums Tanzania Kodi ya VAT

    Wakuu, Kwa wale wataalamu wa masuala ya kodi naomba kuelimishwa je ni mfanyabiashara wa aina gani anapaswa kulipa VAT tra? Mfano: mfanya biashara anaesupply chakula shuleni kwa mtaji wa milioni 2 na risit anatoa za efd na Hana kampuni amesajili business name tu halmashauri, je baada ya...
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Uandikishaji majengo nyumba kwa nyumba kuanza karibuni

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema kuanzia tarehe 15 hadi 28 Februari wataendesha kampeni ya kuorodhesha majengo yote nchini ili wamiliki wake waweze kulipa kodi. Jafo amebainisha hayo jana mkoani Morogoro kwenye uzinduzi wa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: TRA inatimiza wajibu wake vizuri, wafanyabiashara walikuwa hawalipi kodi ipasavyo!

    Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba amewajibu wabunge wa CCM wanaoilalamikia TRA kwamba taasisi hiyo inatimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria. Mwigullu Nchemba amesema katika serikali iliyopita wakati akiwa Naibu waziri wa fedha uchumi wetu uliendeshwa kwa kodi za watumishi wa...
  9. paul sylvester

    JamiiForums Tanzania Tusaidie Serikali kubuni na kutoa mapendekezo mapya ya Kodi ili kuimarisha mpango wa kujitegemea

    Nilizaliwa Tanzania na nitakufa na kuzikwa Tanzania. Watanzania wengi sana tunapenda vitu vizuri, lakini kanuni ya vitu vizuri ni Lazima uumie Kwanza wakati unaelekea vitu vizuri, hii ndiyo kanuni ya maisha. Katika nchi yetu kumekuwepo na kauli mbiu ya Tanzania Lazima tujitegemee. Ni Jambo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ninapenda kuishauri Wizara ya fedha kuangalia kodi zifuatazo ili ziwe nafuu/rafiki kwa mfanyabiashara

    Natumaini miezi hii ndiyo Serikali iko kwenye maandalizi ya kutayarisha bajeti yake ya mwaka 2021/22. Pamoja na hayo ninapenda kuishauri Wizara ya fedha kuangalia kodi zifuatazo ili ziwe nafuu/rafiki kwa mfanyabiashara au zijumuishwe kwa pamoja ili mlipa kodi anapolipa basi alipe moja kwa...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali imekanusha madai ya uwapo wa kodi kandamizi kwa wafanyabiashara bali imetengeneza kodi rafiki

    Naibu Waziri wa Fedha, Mwanaidi Ali Hamis ameliambia Bunge leo Ijumaa Februari 12, 2021 Jijini Dodoma kuwa hakuna mfanyabiashara aliyekimbia biashara yake kwa sababu ya kodi. Ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Stella Fiyayo (Chadema) ambaye amehoji upi mkakati wa...
  12. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yangu kuhusu Kikotoo cha Kodi bandarini

    Napendekeza Mamlaka ya Mapato waweke kikokotoo rahisi kwa walipa kodi kukielewa. Mfano: Kuingiza gari (waweke categories kama tano tu hivi na bei yake ambayo itajumuisha kodi zote za serikali. Labda kibaki malipo ya clearance agent peke yake na hata ikibidi na yeye ajumlishwe Mfano...
  13. guzman_

    JamiiForums Tanzania Msaada. Makadirio ya kodi kutoka TRA

    Wakuu za leo. Katika kupambana na maisha nikaamua kuanzisha duka la rejareja almaarufu la mangi mitaa ya hapa Mwanza. Nikaenda TRA kusajili TIN bana jamaa wakakadiria kodi nilipe 250,000 kwa mwaka. Sasa yaani nimeshindwa hata cha kuongea nawaambia mimi kwa hii miezi miwili kwa siku hardly...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kodi ilirahisisha Nyerere kudai Uhuru wa Tanganyika

    Kodi ni uti wa mgongo wa uchumi wa taifa lolote, lakini kodi nyingi zisizolipika ni chanzo cha kuanguka dola lolote duniani. Ukisoma historia madola mengi yalianguka baada ya watawala kuwatoza watawaliwa kodi kubwa zisizolipika ili kugharamia mipango ya serikali au matumizi binafsi ya watawala...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kodi za TRA kubambika: Wabunge wa CCM mmefanya kweli, mmeleta matumaini katetea wafanyabiashara!

    Nimewasikiliza katika nyakati tofauti wabunge toka sehemu mbali mbali nchini Tanzania na nimewakubali. Wabunge Nape, Kanyasu, Msukuma na hata yule mbunge wa viti maalum kwa kweli wamenikosha. Serikali siyo kwamba hawajui kinachofanyika huko mitaani, ila wanafumba macho ili wawakamue na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Dikteta Iddi Amin alikusanya kodi kwa "task force", hatujifunzi

    Nimewasikia wabunge wakiionya Serikali ya Magufuli kuacha kukusanya kodi kwa "task force" yani Polisi, TRA na Afisa wa Usalama Taifa. Matokeo yake pesa zao zinaporwa, wanafunga biashara, wanajiondokea. TRA wanadanganya eti biashara zinafungwa lakini zinafunguliwa nyingi. Uongo wa mchana. Ndugu...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nape: Ukusanyaji wa kodi ni taaluma ila Serikali imeacha kutumia wenye taaluma inatumia task force ambao kazi yao ni kuua biashara tu

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi. Mafanikio yanayofurahiwa sasa kwenye mapato ni ya muda mfupi lakini itafika wakati hakutakuwa na cha kukusanya. Asema...
  18. Research Solutions TZ

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Ma-MC na Ma-DJ haitawezekana hadi wasajiliwe

    Hivi karibuni kumekwa na mjadala kuhusu washereheshaji, wapishi na kadhalika kulipa kodi kama ambavyo imeelekezwa kwenye document ya Halmashauri ya Sengerema huko Mwanza. Nimeangalia kwa ukaribu na nimekuja na mawazo ya kuweza kufanya hiyo kitu iwe na mafanikio ambapo kwanza inabidi kujua kama...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Spika, jinsi wabunge wanavyoiba/kufisadi pesa za walipa kodi wanazopewa kama mishahara ya makatibu, wahudumu na dereva wa mbunge

    Mh. Spika simamia ajira za wasaidizi wa Mbunge kuondoa ubinafsi, uchoyo na ufisadi. Wabunge wengi hawalipi mishahara kamili kama inavyotoka bungeni. Watumishi hao ambao ni watatu, Katibu, Dereva na Mhudumu wa ofisi hawapewi mikataba ya kazi na wabunge kinyume na agizo la Bunge. Wasaidizi hao...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Vipi mnahamasisha wengine kulipa kodi ikiwa ninyi hamlipi kodi? Mtajua vipi kodi zilizopo ni kandamizi ilihali ninyi haziwahusu?

    Mabibi na mabwana tunapo tapatapa na pumzi kuweza kupumua, kumejitokeza mielekeo chanya sana katika kuwasaidia TRA kubaini vyanzo zaidi vya mapato yasiyokuwa na utata wowote. Ni vizuri kila aitwaye mtu na hasa aliye mzalendo wa kweli akalipa kodi kwa kila aina ya pato alipatalo. Huo ndiyo ulio...
Back
Top Bottom