Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.
Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.
Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao.
Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha...
Kiwango hicho cha tozo kitaanza kutozwa tarehe 01 Februari, 2019. Kibali hiki ni kwa watakaotaka kupiga muziki kwenye Bar, Pub, au ukumbi wa starehe
Lakini pia kitawahusu wanaotarajia kupiga muziki kwenye send-off, harusi/ndoa, jando na unyago na birthday
Aidha, kibali hiki kitapaswa kukatwa...
Miye ni mjasirialmali mwenye hamu ya kujikwamua kiuchumi. Naomba kujua yafuatayo kuhusu kodi ya mabango ya matangazo ya biashara:
1. Ukiweka bango kwenye Barababa, kwa mfano ya Sirari - Mwanza linatozwa kodi na TARURA au na TANROADS? Nauliza kuhusu hizi taasisi mbili kwa vile inavyoelekea hili...
Serikali inarealize upotevu mkubwa wa mapato kwa sababu yakutumia mkono wa chuma kukusanya Kodi.
Kodi nzuri Ni ile inayokusanywa kwa mujibu wa sheria, kwa masikilizano na kwa gharama ndogo.
Leo hii nguvu inayotumiwa kukusanya Kodi ni kubwa sana, wafanya biashara wamegeuzwa wahalifu na...
Mwaka 2021 umeanza kwa kutangazwa kodi au tozo ambazo awali hazikuwepo. Tumesikia ukaguzi wa magari, garama za kuagiza magari zimepanda mara mia, tozo katika bidhaa nyingi za nje nk.
Hii inaashiria vyanzo vya mapato vilivyomo nchini vikilinganishwa na miradi tunayoanzisha nakusimamia...
The Nordic Way - BBC Reel
Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.
Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.
Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.
Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa...
Nyumba inapatikana ukonga, Mombasa
Njia ya lami kuelekea mazizini.
(Kutoka stand mpaka kwenye nyumba ni mwedo wa dakika 5)
Maelezo.
Nyumba ina vyumba viwili (ikiwemo master moja)
Sitting room, jiko, public toilet na store.
Full tiles, gypsum, shunter Windows.
Maji ya dawasco
Iko ndani ya fensi...
Sijui ni sababu ya kodi ama umasikini lakini gharama za maisha Tanzania zinasikitisha sana.
Hii nchi kweli bado masikini na kuja kutoka hapa sio leo.
Leo ukiagiza gari ya mwaka 2001, gari ambayo nchi karibu zote Duniani zimeiondoa barabarani kwa sababu ya kimazingira na kiafya isipokua...
Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kilimanjaro, Gabriel Mwangosi amesema hakuna kitu kinachoitwa ‘Kodi Kubwa’ kwenye sheria za kodi bali kodi inayostahili.
Ameyasema hayo baada ya wamiliki wa shule mkoani Kilimanjaro kulalamikia makadiri makubwa ya kodi ambapo shule nyingi...
Habari za muda huu wakuu? Heri ya mwaka mpya pia.
Leo nimekuja kuuliza na kutafuta majibu ya juu ya suala la madalali wa nyumba kulipwa kodi ya nyumba ya mwezi.
Hili suala limekaaje hii ni baada ya kuona mijadala kadha wa kadha kupitia mitandao ya kijamii tofauti.
Je, kwanini kodi ya mwezi...
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela amewataka watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara mkoani humo, kutojenga mazingira ya chuki wakati wa ukusanyaji kodi.
Alitoa jana rai hiyo wakati wa kikao cha wadau wa kodi, ambao alisema kuwa iwapo pande zote mbili zitafanya kazi...
Habari zenu
Makala hii naileta ikiwa katika muundo wa swali ambalo kama jamii na wenye mamlaka pia wanapaswa kujiuliza na hatimaye kutafuta njia sahihi za kuifanya jamii ione na iamini ya kuwa kulipa kodi ya mapato ni wajibu wa kila anaestahili na si kwa watu wachache tu kama wafanyabiashara...
Waziri wa Fedha, usiwatoe kafara watendaji wako. Wewe ndiye chanzo cha mayowe ya kodi kandamizi kwa wafanyabiashara
Ndugu zangu wanabodi, huwa napenda sana kuishi kwa kujifunza kutoka kwenye hotuba za viongozi na kupitia hotuba hizo huwa nanyakuwa baadhi ya mambo ambayo kwangu ninayoyaona...
Ukiangalia nchi nyingi zilizo endelea zilitegemea rasilimali, yaan zilitumia rasilimali vizuri ndo zikaendelea hazikutisha wanaanchi wake mzigo wa makodi Kama zifanyazo nchi za Afrika
Nchi za Afrika zina-rasilimali nyingi lakin ni maskin sababu moja wapo ni usimamiz mbovu wa rasilimali na...
Leo Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameitisha kikao na wafanyabiashara na kuongelea changamoto zinazoikabili sekta ya biashara Zanzibar na muelekeo wa kuzitatua. Kikao hiko kimehudhuriwa na wafanyabiashara pamoja na mawaziri wa serikali ya Zanzibar
Pamoja na mambo mengine, Rais wa...
Kamishna Mkuu wa TRA Dkt. Edwin Mhede amepokea orodha ya huduma za malazi iliyoboreshwa 2020 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki ili kuiwezesha TRA kukusanya tozo ya Kitanda Siku kutoka kwa Watalii wanaotumia huduma za malazi.
Hii ni katika harakati za...
Waziri wa Fedha wa #Kenya, Ukur Yatani ametangaza kurudisha kodi mbalimbali ambazo zilipunguzwa au kuondolewa ili kutoa unafuu kwa wananchi baada ya nchi hiyo kupigwa na janga la #COVID19
Watu wanaopata chini ya Ksh 24,000 sawa na takriban Tsh. 495,700 hawatalipa kodi ya mapato (PAYE). Kodi ya...
Wadau salama hapa ndani? Niliwahi kusoma uzi hapa JF kwamba kuna raia wanaosaidia kutoa gari bandarini hata kama huna pesa ya kulipia TRA mnaingia makubaliano ya kulipia kidogo kidogo baada ya yeye kulipa. Hii imekaaje? Hakuna utapeli ndani yake?
Nina mpunga kidogo hapa ambao unatosha tu...
Kodi ni malipo yanayotozwa na Serikali kwa wananchi, kampuni, au taasisi zilizopo ndani ya nchi au zilizopo nje ya nchi lakini zimesajiliwa ndani ya nchi. Lengo kubwa la kutoza kodi ni kuitengenezea mapato serikali iliyopo kwa ajili ya kufikia malengo yake katika kutoa huduma za Jamii na maslahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.