TTCL huu ndio muda wenu wa kuvuna wateja wa voda, tigo, airtel, nyinyi shusheni bei ya internet - kodi tra wanawasamehe ki siri siri

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,517
TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha

Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF...

Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
 
TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha

Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF...

Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
Wakati huko nako kuna ATCL, nyingine???yaani serikali na biashara hasa hizi za kiafrika ni ngumu mno!!!licha ya hao ATCL, kubebwa kwa kuikimbiza, fastjet na kuidhofisha precion , mbona biashara imemshinda?!!biashara sio nguvu bali ni mikakati imala tu.
 
Halina wateja kwasababu ya kuiga siasa za mitandao mingine..! Wacha waendelee hivyo hivyo

Wakikua wataacha..!
 
Back
Top Bottom