Wakenya: Serikali ondoeni lockdown tuna kodi za kulipa, njaa ni janga pia

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
13,603
20,062

Wakenya washinikiza kuondolewa kwa masharti ya kuzuia corona​

Maandamano


Baadhi ya makundi ya kijamii nchini Kenya yametishia kufanya maandamano ya kupinga masharti ya kudhibiti maambukizi ya corona.
Wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alipiga marufuku usafiri wa kutoaka na kuingia majimbo matano yanayosadikiwa kuwa na viwango vya juu vya maambukizi ukiwemo mji Mkuu wa Nairobi, kukomesha ongezeko la maabukizi ya ugonjwa wa Covid-19.
Baadhi yao wanasema wana majukumu ya


Baadhi ya wale ambao walifanya kazi katika hoteli, wanasema wana familia za kulisha lakini waajiri wao wamelazimika kufunga hoteli zaoImage caption: Baadhi ya wale ambao walifanya kazi katika hoteli, wanasema wana familia za kulisha lakini waajiri wao wamelazimika kufunga hoteli zao
Waandanaji


Rais Kenyatta pia alipiga marufuku uuzaji wa pombe katika maeneo yaliyowekewa masharti ya usafiri na kuagiza wenye migahawa kuuza vyakula vya kwenda navyo nyumbani.
Bunge la Mwananchi na Muungano wa wananchi wa Citizens Alliance unasema kuwa masharti hayo yanawaathiri wananchi wa kawaida , wakati shughuli za kisiasa zilichangia “kueneza” virusi.
 
Mekutana na hashtag #unlockourcountry, Twitter huko, watu wanaelezea makadhia yao, Aloo wakenya mnateseka sana na iyo corona, hawa jubilee puppets wanakuja bonga shit huku ilhali wananchi wao wanataka the magufuli way, many people demonstrating bila ya barakoa.
Much respect to Magufuli, RIP, he foresaw
 
#UnlockOurCountry MK254 ,unajitambaga humu mko vizuri,kumbe watu wanalia na kufa njaa.Msiwaige Wazungu,wenzenu uchumi wao mkubwa.

Naona twitter kumekucha huko watu hawataki lockdown.
 
Back
Top Bottom