Wakati muafaka sasa hawa watu kuanzia kulipa kodi serikalini kama wanavyolipa wengine. Napendekeza serikali kuanza kutoa tangazo la wote kuwa registered. Else wasiruhusiwe kamwe kujishugulisha na uuzaji wa mali zozote.
Utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani umependekeza ushuru wenye thamani ya dola bilioni 2.4 dhidi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka Ufaransa kama jibini na mikoba ya wanawake, kulipiza kisasi hatua ya Ufaransa ya kuyatoza kodi makampuni maarufu ya kidigitali kutoka Marekani, kama Google, Amazon...
Yaani Rais anamtukana Mhandisi kwa kile ambacho alipaswa ajadiliane na Mhandisi waafikiane au waeleweshane.
Maana kina mantiki kubwa. Kama Mkandarasi hakuwa sahihi basi ingetumika lugha ya busara na ya kisomi kumuelimisha.
Rais anamwita Mtumishi huyu Mpumbavu sana, na wananchi wanashangilia...
Mapema mwaka tajwa hapo juu niliambulia kiasi hicho cha pesa kutoka kwa gwiji RA kwa ajili ya soda na biscuits.
Muda huu nafsi imenisuta pengine nilikula ya kagoda au ya Richmond.
Kwa mantiki hiyo nakuja kwenu wa Tanzania kuwaombeni msamaha na nipo tayari kuirejesha.
Ee mwenyezi Mungu nisamehe
Nimefanya biashara ya vitenge kutoka Holland. Nilishirikiana na wenzangu mzigo ulishukia Ghana. Kwakuwa nilikuwa ninaanza, wateja walikuwa wananifuata nyumbani.
Nimewasiliana na kiwandani watakuwa wananitumia mzigo bandari ya Dar. Mzigo ni mkubwa, ni mpango wa kufungua duka la wholesale...
Ni takribani miezi minne sasa hakuna ndoa iliyofungwa katika kijiji kimoja la jimbo la Kano, nchini Nigeria tangu chifu wa eneo hilo kuanzisha malipo ya kodi ya harusi.
Ado Sa'id, ambaye ni chifu wa kijiji cha Kera kaskazini magharbi mwa Nigeria, amewataka mabwana harusi kulipa kodi ya kiasi...
KATIKA kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais John Magufuli, makusanyo ya kodi yameongezeka kwa kiwango cha kuridhisha. Mafanikio hayo yametokana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuweza kukabili changamoto mbalimbali, zilizokuwa zikiikwamisha kukusanya kodi mbalimbali nchini.
Hayo...
Siku hizi watu wengi sana kinachowakwamisha sio kwamba hawana mitaji, wengi mitaji wanayo ila shida ni 1 tu inakuja kwenye suala la fremu wapi atapata pesa ya pango la chumba cha yeye kufanya biashara yake.
Fremu tunajua kila mtu bei zake zilivyo na kadri frem inavyokua sehemu yenye wateja ndio...
Moja ya mifumo inayotumiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika ukusanyaji wa mapato ni pamoja na stempu za kodi za kielektroniki ambao ni mbadala wa stempu za karatasi za kubandika zilizokuwa zikitumika hapo awali.
Mfumo huu mpya ni maalumu kwa bidhaa zote zinazostahili kutozwa ushuru...
Watu hawajajitokeza kujiandikisha uchaguzi wa nini? Hakuna uwanja sawa wa kufanya siasa kati ya upinzani na ccm uchaguzi wa nini? wapinzani wanachaniwa form zao uchaguzi wa nini?
Watendaji wanakimbia ofisi kisa upinzani uchaguzi wa nini.
Yote aya uliyataka mwenyewe baada ya kuzuia siasa mpaka...
Mkuu Naomba unisaidie kuomba ushauri huko
Ni week sasa nimempisha lakin anaomba msamaha nirudi
Ishu yenyewe iko hivi, mwaka huu nilimpata Dada mmoja nesi tukapendana nilikuta amepanga nyumba, nami kwakuwa nilikuwa kwenye shughuli za kikazi maeneo yale nilikuwa nimefikia nyumba ya wagen kabla...
Salamu wakuu,
Hili nimekutana nalo jana, japo imekuwa sio ngeni ila hii niliipokea kwa uchungu mkubwa sana (sijui kwa vile ni Wachina), kama mzalendo ikabidi ‘nipachimbe’ sana.
Wanauza bidhaa kwa kile wanachoita ‘bei ya kiwandani’ hivyo mteja unategemea unafuu wa bei, na kwa kuzingatia hilo...
Habari,
Kwa utashi, uzoefu, ujuzi na hekima zenu tafadhali naomba kufahamishwa taratibu na gharama za Ushuru wa Bandari wakati wa kutoa gari kwa Port ya Dar Es Salaam.
Nimejipigapiga na kuagiza kagari toka Japan ambako gharama yake ya Ushuru wa TRA kwa mujibu wa TRA Calculator ni kama 4Million...
Habarini wana jamvi, Ningependa kufahamu kama kuna suala la kukatwa kodi na TRA pale unapoagiza mzigo toka Ebay au Amazon, mizigo kama simu, nguo, perfumes N.K, nitashukuru sana kwa msaada wenu wenye experience na hiki kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.