kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. kajunjumele

    JamiiForums Tanzania Wadau Mwenye PDF ya hiki kitabu anisaidie: The occult sciences by Anthony Norvell

    Wadau Mwenye PDF ya hiki kitabu anisaidie: The occult sciences by Anthony Norvell Husika na kichwa hapo juu. Naomba mnisaidie pdf ya kitabu hapo juu👆
  2. Napoleon the second

    JamiiForums Tanzania Upembuzi wa kitabu cha mtu tajiri zaidi babylon

    UPEMBUZI YAKINIFU WA KITABU CHA MTU TAJIRI ZAIDI BABYLON "THE RICHEST MAN IN BABYLON" Na LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA. KWAMBA, THE RICHEST MAN IN BABYLON ni kitabu kilichoandikwa na GEORGE S CLASON, kinachoongelea siri ya utajiri iliyokuwa ikitumika na ustaarabu wa kale kabisa...
  3. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipya: "Ujasusi Ni Nini Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa?"

    Tangazo la kitabu kipya kuhusu taaluma ya Ujasusi. Bei sh 45,000/= (free delivery jijini Dar, mikoani sh 5,000/=). Whatsapp/M-Pesa 0767-340-975 Yaliyomo kitabuni 👉Maana ya ujasusi 👉 Historia ya Ujasusi 👉 Aina za Ujasusi 👉 Ujasusi wa kimtandao 👉Ujasusi kama nyenzo ya diplomasia 👉Ujasusi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je umesoma kitabu gani kizuri mwaka huu?. Please share nasi tupate maarifa pia

    Tafadhali Tupia kitabu kilichobadilsha fikra zako au maisha Yako, ulichokisoma mwaka huu.
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee chenye uwezo wa kukupa afya ya akili?

    Asilimia kubwa ya watu duniani ni wagonjwa kiakili kwa kujua au kutokujua. Bahati mbaya watu hawa ambao wengi ni Maprofessionals, Maprof, Wasanii, wachungaji feki (gospelpreneurs), Wanasiasa na wafanya maamuzi ya dunia ndio wanaoaminiwa sana na watu. Hii imepelekea mlipuko mkubwa wa janga la...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha unga sera na mitaala ya elimu 2023

    Ndugu watanzana sera na mitaala ya elmu ya 2023 ni mibovu inahitaji kubadilishwa kabla ya kuanza kutumika. Mama alisema watanzania semeni ili kujenga taifa lenu sasa ego tumeamua kuongea kupitia kalamu. Mitaala na sera ni mibovu kwa kuwa waandaji (kamati) wa mitaala hawaonekani kuelewa taifa...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Bibi Titi Mohamed Katika Kitabu Cha Jim Bailey "The History of Julius Nyerere"

    BIBI TITI MOHAMED KATIKA KITABU CHA JIM BAILEY "THE HISTORY OF JULIUS NYERERE" Nilimfahamu Jim Bailey kupitia kwa Ally Sykes alikuwa na mswada wa kitabu cha picha: "Tanzania: "The Story of Julius Nyerere," na alikuwa anatafuta mhariri wa kitabu hicho. Ally Sykes akanikutanisha na Jim Bailey na...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama hauyaelewi Maisha yako na kila unachogusa ni kigumu jaribu kusoma kitabu kinaitwa 'The Power of Your Subconscious Mind'

    Kama unahisi something wrong on ur life circulation, i recommend to you this book, 'The Power of Your Subconscious Mind'. Kama unahisi Maisha yako yamepoteza maana Soma hiki Kitabu. Kila kitu unakitafuta kipo ndani yako ni swala la kuweka juhudi katika kulielekea jambo na ku-reprogram your...
  9. aka2030

    JamiiForums Tanzania Watu maarafu walioandikwa kwenye Kitabu cha Atlas ya Darasa la 6 Tanzania

  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TBC1 Kurasa Darasa: Kitabu Cha Maisha ya Rajabu Ibrahim Kirama

    ''Baada ya suluhu ile ya Captain Eltz na Alexander Le Roy iliyomaliza vita ile, Muro Mboyo aliondoka Machame kuelekea Old Moshi. Nyuma akiwa ameacha mke na mtoto mdogo wa kiume aliyeitwa Kirama Muro, ambaye mama yake alikuwa anatokea Kibosho. Jina la mama yake Kirama Muro lilikuwa Makshani...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Usomaji wa Biblia kila siku unaongeza IQ kuliko kusoma kitabu kingine duniani

    Watu wengi wenye IQ kubwakubwa mindset zao zilishawishiwa na Biblia. Newton, Galileo Galilei, Mendel na wanasayansi wengi walikuwa wanazi wa maandiko ya Biblia. Paulo kwa usomi wake maandiko aliwaoutsmart wasomi majiniasi wa kigiriki Pale Aelopagas. Daniel aliwazidi akili wachawi,waganga...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kila kitabu na zama zake, corner sofa ndiyo habari ya mjini leo.

    Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri. Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi. Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu. Ukiwa na ukuta mweupe blue...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Abdul Sykes katika PDF

    Ndugu zangu, Kitabu cha Abdul Sykes hicho hapo chini kwa atakae kukisoma. KInapatikana Hard Copy Ibn Hazm Media Centre katika maduka yake ya vitabu Msikiti wa Mtoro, Manyema (Kariakoo), Mtambani (Kinondoni) na Kichangani (Magomeni) bei Shs: 10,000.00...
  14. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dyaboli Moyo aliyeandika kitabu chenye "ukakasi" Wasomi Wajinga ni nani?

    Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi. Nimejaribu kumgoogle muandishi wake Dr Dyaboli Moyo nimeambulia patupu. Hata humu JF sijaona sehemu...
  15. mrPhysics

    JamiiForums Tanzania Je, nini sababu ya kuwepo kwa makosa makubwa kama haya kwenye kitabu cha physics kidato 4 na 1 cha TIE?

    Mimi ni muhitumu wa Phy kutoka chuo Y, nimeweza notice some very serious errors katika kitabu cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response. On my personal thought ni kuwa, watoto wanajifunza makosa ya wahariri and not all teachers can notice...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tu Wanaodhani Israel ni Mgeni Middle East kitafuteni Kitabu cha Basic Facts of the United Nations ili msiwe Majuha tena

    Wengi wenu mnadhani na mmekaririshwa kuwa Israel iliyopata Hadhi ya kuwa nchi mwaka 1948 ni Mgeni huko Mashariki ya Kati wakati kumbe si Kweli. Taarifa ikufikie kuwa Politically Palestine ndiyo mwenye hilo Eneo linalozozaniwa ila Historically na hata Kitabu Kitakatifu ( Biblia ) Kimethibitisha...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mwaka Jana nilikuwa na mpango wa kutoa kitabu cha Facebook Ads Manager, lakini sikufanikiwa kwa sababu hii

    Kwenye laptop niliyokuwa ninatumia kukiandaa, nilikuwa nimetengeneza Folder maalumu kwa ajili ya kazi hiyo. Ndani yake nilijaza screenshot ya hatua zote (muhimu) ambazo mtu yeyote (beginner) anaweza akazifuata na kuishia kutengeneza matangazo ya Sponsored ads yenye matokeo mazuri. Ila kila...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mimi, Sal Davis na Kitabu Chetu

    MIMI, SAL DAVIS NA KITABU CHETU Kwa mara ya kwanza hiki ndicho kitabu changu kilichochapwa na Amazon. Amazon sifa zao hazihitaji kuelezwa na mimi. Walianza na uuzaji wa vitabu na kukufikishia hadi kizingitini kwako nchi yoyote ulipo kiwe ndiyo kwanza kimetoka kuchapwa au cha zamani sana...
  19. The Genius

    JamiiForums Tanzania Kijue kitabu kilichotafsiriwa kwa lugha nyingi zaidi duniani

    Kitabu cha kwanza kutafsiriwa kwenda kwenye lugha nyingi ni Biblia, Ambayo ilitafsiriwa kwenda kwenye lugha takribani 3589. Kitabu cha pili kutafsiriwa kwa lugha nyingi ni Don Quixote, riwaya iliyoandikwa na Miguel de Cervantes (Pichani), Riwaya hii huhesabiwa kuwa ni riwaya bora ulaya nzima...
  20. sanalii

    JamiiForums Tanzania Watoto hawapumziki ni kitabu tu, hii imezidi

    Mtoto kasoma mika saba, likizo anakua na tuition, amemaliza la saba, anakaa wiki tatu anarudi kambini tena kwa jina la pre-form one, wazazi watakaa na watoto wao muda gani? Hivi huko kwa wenzetu nako ni mchaka mchaka hivi hivi?
Back
Top Bottom