Nifute kwenye kitabu cha kuzimu, niandike kwenye kitabu cha uzima" Hivi vitabu vikoje na uhalisia wake?

My Honest Book

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
1,356
2,100
Mimi ni mkatoliki japo mara ya mwisho kwenda kanisani ni almost two years ago,haimaanishi nimepoteza imani la hasha niko vzuri,
Japo sio mzuri sana wa vifungu vya biblia km tulivyo wakatoliki wengi.
Kwa kumbukumbu zangu zilizosahihi enzi za ukuaji wangu enzi hizo niko primary mpk mitaa ya form one nimewahi kuokoka km mara kumi,ni vile mtoto ukisikia mikutano ya injili unatia timu hujakaa sawa unasikia km hunaokoka pita mbele,hata kabla hujavuta pumzi unasikia fumben macho na mrudie maneno nitakayoongea,anasema Mh Mchungaji..

Utasikia "nifute kwny kitabu cha kuzimu na moto wa milele niandike kwny kitabu cha uzima"

Sasa naomba kuuliza hili swala la kufutwa na kuandikwa kwny hivi vitabu liko kwny maandiko kwmb mpk sasa kuna watu wako top ten ya kwny kitabu cha motoni ama ni lugha ya picha inayotumiwa na wachungaji kumcomfort anaeombewa kumpa zile hisia za kuandikwa kwny kitabu cha uzima

Karibuni watu wa mataifa mnipe muongozo
 
Inatafakarisha sana, Kwa hiyo mtu akizaliwa tu automatically unakua umeandikwa kwenye kitabu cha kuzimu?????,🤔
Haya shetani alikua malaika mkuu wa sifa huko mbinguni, Hivi hiyo roho ya uasi ya kujiinua kutaka kumzidi Mungu ilitoka wapi???? hapo kabla hiaikuepo??
 
Hizo ni rejesta za mbinguni. Ni kama namba za NIDA! Ili uingie mbinguni basi ya kupasa jina lako liwe kwenye database ya mbinguni.
Na iwapo mtu hakuonekana ameandikwa katika kitabu cha uzima, basi anaelekezwa mlango wa kutokea pale kwenye kiti cha hukumu na kupelekwa kuchomwa moto.
nani alikupa hizi taarifa?
 
Mimi ni mkatoliki japo mara ya mwisho kwenda kanisani ni almost two years ago,haimaanishi nimepoteza imani la hasha niko vzuri,
Japo sio mzuri sana wa vifungu vya biblia km tulivyo wakatoliki wengi.
Kwa kumbukumbu zangu zilizosahihi enzi za ukuaji wangu enzi hizo niko primary mpk mitaa ya form one nimewahi kuokoka km mara kumi,ni vile mtoto ukisikia mikutano ya injili unatia timu hujakaa sawa unasikia km hunaokoka pita mbele,hata kabla hujavuta pumzi unasikia fumben macho na mrudie maneno nitakayoongea,anasema Mh Mchungaji..

Utasikia "nifute kwny kitabu cha kuzimu na moto wa milele niandike kwny kitabu cha uzima"

Sasa naomba kuuliza hili swala la kufutwa na kuandikwa kwny hivi vitabu liko kwny maandiko kwmb mpk sasa kuna watu wako top ten ya kwny kitabu cha motoni ama ni lugha ya picha inayotumiwa na wachungaji kumcomfort anaeombewa kumpa zile hisia za kuandikwa kwny kitabu cha uzima

Karibuni watu wa mataifa mnipe muongozo
Kwanza huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Pili Mungu huyo, kimantiki, akiwapo, huhitaji kumuomba chochote, atakupa kizuri na kukuepusha na kibaya kutokana na sifa zake hizo.

Ukijikuta unamuomba Mungu huyo chochote, hicho kitendo cha kuomba ni kitendo cha kukubali huyo Mungu hayupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote utamuomba nini?

Kwani yeye hajui unachohitaji?
 
Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kwanza kabisa hahitaji kuandika majina kwenye vitabu wala kuombwa kitu.

Huyo Mungu hayupo katika uhalisia zaidi ni udanganyifu tu
 
Mimi ni mkatoliki japo mara ya mwisho kwenda kanisani ni almost two years ago,haimaanishi nimepoteza imani la hasha niko vzuri,
Japo sio mzuri sana wa vifungu vya biblia km tulivyo wakatoliki wengi.
Kwa kumbukumbu zangu zilizosahihi enzi za ukuaji wangu enzi hizo niko primary mpk mitaa ya form one nimewahi kuokoka km mara kumi,ni vile mtoto ukisikia mikutano ya injili unatia timu hujakaa sawa unasikia km hunaokoka pita mbele,hata kabla hujavuta pumzi unasikia fumben macho na mrudie maneno nitakayoongea,anasema Mh Mchungaji..

Utasikia "nifute kwny kitabu cha kuzimu na moto wa milele niandike kwny kitabu cha uzima"

Sasa naomba kuuliza hili swala la kufutwa na kuandikwa kwny hivi vitabu liko kwny maandiko kwmb mpk sasa kuna watu wako top ten ya kwny kitabu cha motoni ama ni lugha ya picha inayotumiwa na wachungaji kumcomfort anaeombewa kumpa zile hisia za kuandikwa kwny kitabu cha uzima

Karibuni watu wa mataifa mnipe muongozo
Ufunuo wa Yohana 3:5 Yeye ashindaye atavikwa hivyo mavazi meupe, wala sitalifuta kamwe jina lake katika kitabu cha uzima, nami nitalikiri jina lake mbele za Baba yangu, na mbele ya malaika zake.

Ufunuo wa Yohana 20:15 Na iwapo mtu ye yote hakuonekana ameandikwa katika kitabu cha uzima, alitupwa katika lile ziwa la moto.

Ufunuo wa Yohana 21:27 Na ndani yake hakitaingia kamwe cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye machukizo na uongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.

Biblia ni kitabu cha Mungu kama vile Mungu alivyokuwa na kitabu cha uzima hivyo hivyo shetani pia anakitabu cha kuzimu Kwa hiyo hivyo vitabu vipo na ni halisi kabsa
 
Mimi ni mkatoliki japo mara ya mwisho kwenda kanisani ni almost two years ago,haimaanishi nimepoteza imani la hasha niko vzuri,
Japo sio mzuri sana wa vifungu vya biblia km tulivyo wakatoliki wengi.
Kwa kumbukumbu zangu zilizosahihi enzi za ukuaji wangu enzi hizo niko primary mpk mitaa ya form one nimewahi kuokoka km mara kumi,ni vile mtoto ukisikia mikutano ya injili unatia timu hujakaa sawa unasikia km hunaokoka pita mbele,hata kabla hujavuta pumzi unasikia fumben macho na mrudie maneno nitakayoongea,anasema Mh Mchungaji..

Utasikia "nifute kwny kitabu cha kuzimu na moto wa milele niandike kwny kitabu cha uzima"

Sasa naomba kuuliza hili swala la kufutwa na kuandikwa kwny hivi vitabu liko kwny maandiko kwmb mpk sasa kuna watu wako top ten ya kwny kitabu cha motoni ama ni lugha ya picha inayotumiwa na wachungaji kumcomfort anaeombewa kumpa zile hisia za kuandikwa kwny kitabu cha uzima

Karibuni watu wa mataifa mnipe muongozo
Kutoka 32:32 - 33

Walakini sasa, ikiwa utawasamehe dhambi yao -- na kama sivyo, unifute, nakusihi, katika kitabu chako ulichoandika.

Bwana akamwambia Musa, Mtu ye yote aliyenitenda dhambi ndiye nitakayemfuta katika kitabu changu.

Ufunuo 20:12
Nikawaona wafu, wakubwa kwa wadogo, wamesimama mbele ya hicho kiti cha enzi; na vitabu vikafunguliwa; na kitabu kingine kikafunguliwa, ambacho ni cha uzima; na hao wafu wakahukumiwa katika mambo hayo yaliyoandikwa katika vile vitabu, sawasawa na matendo yao.
 
Huwa sioni mantiki ya kujudge mambo ya Mungu
Maana yapo kiimani zaidi.
Kiroho zaidi na mambo ya kiroho yanatofautiana uelewa na uwezo kutoka mtu 1 na mwingine.

Kama tulivyo wafupi, warefu, wanene au wembamba ndivyo yalivyo mambo ya rohoni.

Nadhani tushughulike na yale tunayoyaweza.

Kumchunguza sana Mungu utajikuta inakufuru bure maana hadhihiriki kukidhi haja na matamanio ya Binadamu.

Ukitaka kuyajua mema ya Mungu utayaona ( rehema, msamaha, upendo) na ukitaka kuyajua mabaya yake pia utayaona( Ana wivu, anagadhabu)

Uzuri ni kwamba Mungu ametupa UTASHI ama tufanye anayopenda au Tusifanye. Ukifanya anachopenda unapata...... usipofanya/ ukifanya kinyume unapata..... HAPA UAMUZI NI WAKO.

Jingine ni hili. Hapa duniani kila kitu/ jambo lipo katika pair. Mema/ baya, kicheko/kilio, jinsia ya kiume/ kike, Giza/ mwanga, juu/ chini, fupi/ ndefu, Uhai/ Kifo. kwamantiki hiyo basi Kuna MUNGU/ SHETANI. Lazima binadamu uangukie katika kimoja wapo.

Hitimisho: Tuishi maisha MEMA, Yale tunayopenda kutendewa ndiyo tuyatende. Tutende mema kadri tunavyoweza tungali bado Tunaishi.

Kuwa Mwema! Tenda wema! Wema ni ibaada tosha. Kuishi kwetu ni kufipi sana.
 
Unaji contradict.

Unasema huoni mantiki ya ku judge mambo ya Mungu, kwa sababu ni ya kiimani zaidi.

Halafu wewe mwenyewe una judge na kusema habari za kuogopa kukufuru.
 
hicho tu ndicho ulichokiona katika maelezo yangu?
Naweza kuwa sahihi au lah kwasababu jambo lolote ulielezee na likaeleweka lazima milango yote yafahamu ishuhudie.

Binadamu tukitaka kuprove Mambo ya Mungu inakuwa vigumu kupitia akili na ufahamu zetu.

Tungeweza kunusa/ kushika/kuona/ kuongea naye/ basi tungethibitisha na pengine kuondoa utata. Lakini ni kinyume chake.

Mungu ni roho mambo ya rohoni tusitake kushughurika nayo kimwili.
 
Kwani hicho hukukisema?

Yani umekojoa kwenye dumu la maji, halafu umenipa hayo maji yaliyochanganyika na mkojo wako ninywe. Mimi nakwambia haya maji yana mkojo, mimi sinywi mkojo wako. Unaniambia kwani dumu lina mkojo tu, si lina maji pia?

Unaona ujinga wako hapo?

Unaelewa kwamba huhitaji kunusa, kushika, kuona, wala kusikia wala kulamba kitu ili ku prove?

Unajua kwamba kuna proof za kimantiki tu?

Unajua kimantiki ni rahisi tu ku prove Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu huu hawezekani kuwepo?
 
Kwanza huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Pili Mungu huyo, kimantiki, akiwapo, huhitaji kumuomba chochote, atakupa kizuri na kukuepusha na kibaya kutokana na sifa zake hizo.

Ukijikuta unamuomba Mungu huyo chochote, hicho kitendo cha kuomba ni kitendo cha kukubali huyo Mungu hayupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote utamuomba nini?

Kwani yeye hajui unachohitaji?
Kiongozi una uhalali mkubwa wa kumpinga Mungu maana jina kiranga kwa huku kigoma,rwanda na burundi kiranga maana yake ni shetani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom