kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Mbarouk asaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa italia

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia nchini, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Mhe. Silvio Berlusconi kilichotokea tarehe 12 Juni, 2023. Mara baada ya kusaini...
  2. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Weka aya/ mstari kutoka kitabu cha dini yako unaoona umeandikwa kwa ustadi, weledi na hekima ya hali ya juu

    Ukisoma vitabu vya watu mashuhuri kama shakespeare, kuna ile unakuta mwandishi ameandika kwa ustadi wa hali ya juu...yani ametumia maneno vizuri, yani maneno ameyatumia kama rangi vile kuchora picha nzuri sana inayovutia kutazama machoni. Bila stori nyingi au maelezo mengi, weka fungu la kitabu...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kitabu: Maisha, mila na desturi za Wanyamwezi

    Muandishi: N. D. Yongolo, 1953 Unaweza kukisoma ndani ya maktaba app. TuPm Kuungwa. 1 WATOTO 2 MICHEZO NA DESTURI ZA WATOTO 3 NDOA 4 DINI NA IMANI YA WANYAMWEZI 5 SHERIA NA HAKI KATIKA NCHI 6 UCHAWI 417 MATUMIZI YA DAWA 8 HOFU NA MIIKO YA VIFO 9 MAMBO YA POMBE 6510 MAMBO YA URITHI 11 JINSI...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kitabu: Desturi za Wachagga

    Kitabu hiki kizuri sana. Kina mengi ya kujifunza yenye msaada hata leo. Kimetungwa na S. J. Ntiro Kuchapwa 1953. Unaweza kukisoma ndani ya maktaba app. TuPM Kuungwa. DIBAJI YA WATOAJI KITABU Juzi juzi mtaalamu mmoja wa mambo ya Afrika aliandika: "Bila mikusanyo mingi ya hakika ya mambo ya...
  5. babuzer

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kitabu cha Michael Shirima, mmiliki wa Precision Air

    Wakuu za weekend? Kwa masikitiko makubwa tumeamka kwa kupokea taarifa za msiba wa Michael Shirima, founder wa Precision Air. Ikani sukuma kutaka kupata kitabu chake alicho andika wakati wa uhai wake kinachoitwa "On my father's wings" Kama kuna mtu anacho akitume huku tuweze kusoma sote ambao...
  6. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Maneno ya kitabu "Confessions of an economic hitman" yametimia nchini mwetu.

    "Kukopa arusi kulipa matanga." "Uuzaji" wa bandari yetu si kwa sababu nyingine, si kwa sababu ya ufisadi au blah blah za kuongeza ufanisi. Ni sababu ya kuelemewa na madeni na hali ngumu ya uchumi iliyotukumba. Tunachekelea kuambiwa tunakopesheka na kuwa deni linahimilika. Yametufika. Ipo siku...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya: "Waliopotezwa Tanzania " Mwandishi: Sheikh Ponda Issa Ponda

    KITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA. Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review," kwa nia ya kuvitambulisha vitabu hivi kwa wasomaji na wananchi kwa jumla. Kitu kinachojitokeza kwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ujana wa Yesu kwenye Kitabu cha Urantia

    Habari wakuu. Biblia iko kimya kuhusu maisha ya Yesu Kristo tangu akiwa na miaka 12 mpaka alipoanza utume wake akiwa na miaka 30. Naomba tusome simulizi za maisha yake kwenye kitabu cha BOOK OF URANTIA, wakati mwingine huitwa pia THE URANTIA PAPPERS halafu tujadili humu yaliyomo kwenye Ile...
  9. Said Stuard Shily

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

    Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mliobahatika kusoma kitabu cha Devil on the Cross by Ngugi wa Thiong'o naomba mnipatie utangulizi tu wa hiki kitabu

    Naomba mliosoma kitabu cha Devil on the Cross naomba mnipatie utangulizi wa hiki kitabu au general overview ya hiki kitabu nahitaji kujifunza yaliyojili humo ndani ya kitabu.
  11. Dam55

    JamiiForums Tanzania CODEX GIGAS; Kitabu cha kale chenye historia ya ajabu

    KUTOKA KWA NYEMO CHILONGANI. Tuanze kupiga mastori kadhaa kuhusu mambo mbalimbali yaliyowahi kutokea miaka hiyo ya nyuma. Nataka leo nikwambie kitu kimoja kuhusu kitabu kikubwa sana, kitabu kisicho cha kawaida ambacho watu wengi wanasema ni Biblia ya Shetani. Usishtuke sana, acha tupige...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa utambuzi wa kitabu kutoka kwa java developer

    Kwa mtu aliesoma kitabu hicho chini naomba title. Nimekiokota mtandaoni chapter moja tu, hakina title book. Nimevutiwa nacho ninahitaji title na mwaandishi ili niweze kukidownload. Thanks
  13. Victoire

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
  14. JackisonDubai

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

    Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania. Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu...
  15. Tango73

    JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu cha simu ya kifo

    Wadau natafuta kitabu kiitwacho SIMU YA KIFO KImetungwa na Faraji John katalambura. Nanunua kwa bei yeyote kiwe second hand au kipya. Nipigie simu 754-290-306 au 718-184-872. Asante.
  16. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

    Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili. Nikienda kwenye mada moja Kwa...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli angemaliza muda wake na Kustaafu akaandika Kitabu haya yasingekosa, pitia uzi huu kwa Umakini

    Nitaweka makala ndefu siku ya Jumanne maana bado namalizia ku compile Makala Hiyo itahusisha Mengi ambayo hata mtu hawezi kujisema, Itahusisha mazungumzo binafsi, Maoni binafsi na ushauri alokuwa akiongea na watu wake wa karibu, yeye mwenyewe . Itaweka Mtandao uliomsumbua sana na kuhangaika...
  18. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

    Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni Ijumaa, Aprili 14, 2023 Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kitabu cha unmerried wife anitumie

    Wakuu naomba mwenye kitabu kinaitwa unmarried wife anitumie Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli 🙏
  20. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yesu Wa Tongaren Asema Hakuna Palipo Andikwa Katika Kitabu Takatifu Kuwa Atasulubishwa Mara Ya Pili

Back
Top Bottom